Jina kapuniHapo nimemnukuu mwanasheria nguli.
Huo ndio ukweli mchungu sana Ndugu yangu, inatisha mnoooo. Huwa najiuliza Yaani CCM nzima hakuna MTU mwenye uchungu hata kidogo??Hayo ni maoni ya jaji mstaafu.
Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu.
Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa Kwa mikataba ambayo kisheria haina balance na anasema kua watanzania wangekua wanajua yanayofanywa na serikali hii kamwe Rais na watu wake hawakutakiwa kuwepo ofisini walitakiwa warudi makwao wakakae huko.
Ngorongoro, Loliondo, KIA, Bandari, helium ya dodoma, madini ya kimkakati pale songwe, alitaja Kwa kifupi sana hayo.
Hapo nimemnukuu mwanasheria nguli.
We are almost there KakaMagufuli alikuwa mtu wa hovyo lakini alijitahidi kulinda rasilimali. Tusipokuwa makini huyu mtu atatuuza. Huu ulikuwa muda wa kumuunga mkono Lissu
Too bad unaongea na kizazi ambacho hakitaki kufungua macho, wako busy na simba na yanga, bongo fleva na mambo ya kimbeaHayo ni maoni ya jaji mstaafu.
Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu.
Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa Kwa mikataba ambayo kisheria haina balance na anasema kua watanzania wangekua wanajua yanayofanywa na serikali hii kamwe Rais na watu wake hawakutakiwa kuwepo ofisini walitakiwa warudi makwao wakakae huko.
Ngorongoro, Loliondo, KIA, Bandari, helium ya dodoma, madini ya kimkakati pale songwe, alitaja Kwa kifupi sana hayo.
Hapo nimemnukuu mwanasheria nguli.
Faki youAcha mama atupambanie ,kiufupi wewe hujui chochote,unapomwona rais anafanya jambo jua taasisi ya urais imelifanyia tathimini na kulibariki, acha kuumiza kichwa ,hakika mama anaupiga mwingi,tumuunge mkono,hata kama humkubali naamini wewe ni miongoni mwa wale asilimia 0.1 out of 99.9 tunaomtakia heli mama.
Sio tu nasema mitano tena bali mikumi kwa mama😍😍😍
Ongeza na Misitu huko TFS....Hayo ni maoni ya jaji mstaafu.
Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu.
Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa kwa mikataba ambayo kisheria haina balance na anasema kuwa watanzania wangekuwa wanajua yanayofanywa na serikali hii kamwe Rais na watu wake hawakutakiwa kuwepo ofisini, walitakiwa warudi makwao wakakae huko.
Ngorongoro, Loliondo, KIA, Bandari, helium ya dodoma, madini ya kimkakati pale songwe, alitaja Kwa kifupi sana hayo.
Hapo nimemnukuu mwanasheria nguli.
Mama kagawa bandari kwa waarabu wenzake magaidi wapandisha majini ameona haitoshi anaendaa Korea kuwaita macho ya paka waje kuchukua rasilimali zilizobaki. Nchi ya kiqumer sana hii.Hayo ni maoni ya jaji mstaafu.