Yanayoendelea kwa sasa kwenye Rasilimali za nchi, watanzania wangefumbua macho kidogo huyu Rais alitakiwa aachie madaraka, kupisha wanaoweza kuzilinda

Magufuli alikuwa mtu wa hovyo lakini alijitahidi kulinda rasilimali. Tusipokuwa makini huyu mtu atatuuza. Huu ulikuwa muda wa kumuunga mkono Lissu
Rasilimali Ndiyo uhai wa nchi yoyote duniani. Mama alipofikia inatosha apewe mkono wa kwaheri. Lisu hatoshi kuwa Rais ya nchi hii. Watanzania kwa wingi wetu na mmoja wetu hatuwezi kukosa mtu makini na mwadilifu wa kutuvusha. Wapo majaji wastaafu na ambao bado wako kazini waadilifu wa kutukuka tunawajua kwa majina. Na wala rushwa tunawajua sana.
 
Amesema zinafanywaje? Kwamba huyo jaji anajua kuliko watu wooite huko Serikalini,kuliko vyombo vya Dola nk?

Mwambie aache upumbavu wake wa kijamaa usio na faida
 
Halafu nchi tumpe bb yako yl gay
 
Shida ni fisiemu hawawezi kuruhusu mambo mazuri kama hayo
 

Jaji gani? Hana jina?

Yeye kama jaji amefanya nini kusaidia au nae analialia kama wanyonge? Huyo jaji ni kilaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…