Yanayoendelea kwenye ujenzi wa Shule na Zahanati wa pesa za mkopo wa IMF

Komando tamimy

Senior Member
Joined
Nov 18, 2020
Posts
108
Reaction score
121
Habarini wapenda maendeleo. Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwa ufupi tu mimi ni mdau katika maendeleo ya nchi yetu na nimekuwa ziarani katika mikoa mbali mbali ya tanzania nakuona muamko wa wadau mbali mbali katika ujenzi wa vituo vya afya na ujenzi wa madarasa katika nchi yetu.Kwahiyo nilifanya ziara kwenye baaadhi ya mikoa ilioko Kaskazini na Kusini.

Nakote nilikotembea nilipata ushirikiano mzuri.
Nitaeleza kila nilioyaona kwenye kila kanda kwa ujumla.

KANDA YA KASKAZINI.
Nimebahatika kupita katika mikoa ya Arusha Kilimanjaro.Wamejitahidi sana katika matumizi ya pesa hizi zilizotolewa kwani ujenzi unaendelea vizuri. Na majengo ya shule na zahanati vimefikia kwenye upauaji na baadhi kwenye renta.Huko wasimamizi wakuu wamepewa wananchi wasimamie(bodi za shule)Zisimamie ujenzi, na ujenzi umeenda vizuri bila tatizo ingawa kuna changamoto za hapa na pale.Hizi hszikosekani ni lakini ni mikoa ambayo wamejitahid sana kwa matumizi sahihi pesa hizi.

KANDA YA KATI KUSINI.
Nimetembelea mikoa mitatu yaaani Songwe Njombe na Mbeya. Mbeya na njombe wamejitahidi sana ila mkoa Wa Songwe kumekuwa na ukiritimba sana na kuna baadhi ya wilaya nimepita kama ya Songwe vile kama ntakuwa sijasahau ujenzi bado haujaanza kabisa na sijui tatizo nini?!

Kama nilivyosema mkoa unaukiritimba kwa sababu ya mtu mmoja anaeitwa REO kaponda, huyu jamaaa amekuwa mvurugaji mkubwa na sijajua kwanini tamisemi na wizara ya elimu inamuacha aendeleee kuwepo pale. Amezinyima bodi za shule makali katika maaamuzi yote na amezifanya wenyewe kuwa watazamaji. Wakati wenyewe ndo wawakilishi wa wananchi. Amewapa wakuu wa shule au waalimu wakuu mamlaka kutoa pesa kwenye akaunti bila kuwa questioned.

Hii imepelekea wakuu wengi na waalimu wakuu kutafuta mafundi wasiofaaa. Na hivyo kusababisha ujenzi kutoenda kama unavyotakiwa nasikia amesisitiza pesa zibaki na akumbukwe kwenye mgawo wa hayo mabaki. Tatizo ninaliona hapa ni kutengenzwa vitu chini ya kiwango ambavyo vitakavyoDumu kwa muda mfupi, uwezi ukampa usimamizi wa miradi mtu ambae anatoka Tanga kuja kusimamia mradi songwe lazima aharibu tuuu. Wape wananchi (Bodi) wasimamie.

Waziri mwenye dhamana njooo Wilaya Songwe uone watu wanavyoishia kulipana posho na kuishia kutafuta 10 katika manunuzi ya vitu.

Wakuu wa shule wengi wamekuwa ni wapenda sana kama watu wengine lkn wenyewe wameamua kuiba.ikumbukwe wilaya hiii wananchi wanachangia tofali, mchanga, maji pia wanaleta, kwahiyo kuna pesa nyingi sana itakaobaki pia wanachi wamepangia utaratibu kujafanya kazi pindi ujenzi utakapoanza,ndio maana kaponda akashauri zitakapobaki agawiwe na yeye. Kazi kwenu.waziri tamisemi fika huko uone madudu yanayoendelea
 
Mkuu wa shule anatoaje pesa pekeyake?Hizo accounts si zinaendeshwa na watia saini toka pande mbili?
 
Pesa zilizotengwa 20 milioni kwa kila darasa ni hela ndogo kwa kujenga darasa lenye ubora unaostahili.

Kuna pesa zilitolewa na wafadhili kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ya watoto wenye mahitaji maalum na darasa moja liligharimu milioni 30 na kweli madarasa yaliyojengwa ni ya kiwango kabisa, True value for money.

Milioni 20 ujenge, uweke hadi mambo ya umeme, madawati na gharama ya maji na maeneo mengi maji ni changamoto kubwa haiwezi kutosha labda darasa liwe ni haya ya kulipua lipua kama haya yaliyaliyopo sasa hivi.

Tatizo serikali inataka mwisho wa siku pesa hii tuliyokopeshwa na IMF ifanye mengi kwa pamoja eti bila kuathiri ubora kitu ambacho hakiwezekani.
Quantity must compromise quality whether they like it or not.
 
UMETUMWA..?
 
Sasa kuzunguka kote huko kwanini, Si ungenyooka tu moja kwa moja? Huyo afisa elimu ndiye ulimkusudia kumuanika humu liko wazi hilo halina ubishi

Tukirudi kwenye hoja zako... kwanza kajipatie muda wa kutosha ujifunze force account mashuleni inamaanisheje, pili fedha zinazotolewa na maelekezo ya matumizi yake ni mbingu na ardhi. Namaanisha (makadirio ya) matumizi ni makubwa kuliko fedha iliyopo

Hilo la pili ndilo uliloliona huko kwako halafu kwa akili yako ukadhani ni upigaji kumbe usikute walimu wamegoma (wamesusa) kuanzisha ujenzi wakihofia pesa waliyokabidhiwa kulinganisha na quotation walizofanya madukani

Mwisho nikusihi tu usihukumu bila ushahidi madhubuti. "NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK"

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Habarini wapenda maendeleo. Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwa ufupi tu mimi ni mdau katika maendeleo ya nchi yetu na nimekuwa ziarani katika mikoa mbali mbali ya tanzania nakuona muamko wa wadau mbali mbali katika ujenzi wa vituo vya afya na ujenzi wa madarasa katika nchi yetu.Kwahiyo nilifanya ziara kwenye baaadhi ya mikoa ilioko Kaskazini na Kusini.

Nakote nilikotembea nilipata ushirikiano mzuri.
Nitaeleza kila nilioyaona kwenye kila kanda kwa ujumla.

KANDA YA KASKAZINI.
Nimebahatika kupita katika mikoa ya Arusha Kilimanjaro.Wamejitahidi sana katika matumizi ya pesa hizi zilizotolewa kwani ujenzi unaendelea vizuri. Na majengo ya shule na zahanati vimefikia kwenye upauaji na baadhi kwenye renta.Huko wasimamizi wakuu wamepewa wananchi wasimamie(bodi za shule)Zisimamie ujenzi, na ujenzi umeenda vizuri bila tatizo ingawa kuna changamoto za hapa na pale.Hizi hszikosekani ni lakini ni mikoa ambayo wamejitahid sana kwa matumizi sahihi pesa hizi.

KANDA YA KATI KUSINI.
Nimetembelea mikoa mitatu yaaani Songwe Njombe na Mbeya. Mbeya na njombe wamejitahidi sana ila mkoa Wa Songwe kumekuwa na ukiritimba sana na kuna baadhi ya wilaya nimepita kama ya Songwe vile kama ntakuwa sijasahau ujenzi bado haujaanza kabisa na sijui tatizo nini?!

Kama nilivyosema mkoa unaukiritimba kwa sababu ya mtu mmoja anaeitwa REO kaponda, huyu jamaaa amekuwa mvurugaji mkubwa na sijajua kwanini tamisemi na wizara ya elimu inamuacha aendeleee kuwepo pale. Amezinyima bodi za shule makali katika maaamuzi yote na amezifanya wenyewe kuwa watazamaji. Wakati wenyewe ndo wawakilishi wa wananchi. Amewapa wakuu wa shule au waalimu wakuu mamlaka kutoa pesa kwenye akaunti bila kuwa questioned.

Hii imepelekea wakuu wengi na waalimu wakuu kutafuta mafundi wasiofaaa. Na hivyo kusababisha ujenzi kutoenda kama unavyotakiwa nasikia amesisitiza pesa zibaki na akumbukwe kwenye mgawo wa hayo mabaki. Tatizo ninaliona hapa ni kutengenzwa vitu chini ya kiwango ambavyo vitakavyoDumu kwa muda mfupi, uwezi ukampa usimamizi wa miradi mtu ambae anatoka Tanga kuja kusimamia mradi songwe lazima aharibu tuuu. Wape wananchi (Bodi) wasimamie.

Waziri mwenye dhamana njooo Wilaya Songwe uone watu wanavyoishia kulipana posho na kuishia kutafuta 10 katika manunuzi ya vitu.

Wakuu wa shule wengi wamekuwa ni wapenda sana kama watu wengine lkn wenyewe wameamua kuiba.ikumbukwe wilaya hiii wananchi wanachangia tofali, mchanga, maji pia wanaleta, kwahiyo kuna pesa nyingi sana itakaobaki pia wanachi wamepangia utaratibu kujafanya kazi pindi ujenzi utakapoanza,ndio maana kaponda akashauri zitakapobaki agawiwe na yeye. Kazi kwenu.waziri tamisemi fika huko uone madudu yanayoendelea
REO =Regional Education Officer (Afisa Elimu Mkoa)
Huyu yuko chini ya Katibu Tawala Mkoa (RAS)
Usimamizi wa miradi hii uko chini ya Wakuu wa Mikoa wakishirikiana na ma RAS wao kisha Wakurugenzi wa Halmashauri wakishirikiana na wataalamu wao.
Huyo REO hayo unayoyasema juu yake amepata wapi uwezo huo au una chuki na huyo mtu ?
REO anawezaje kutoa mwongozo mzito namna hiyo bila kuruhusiwa na RAS ?
Taarifa nina mashaka nayo kwa kiwango kikubwa sana.
Huenda ni bifu kati yako na REO
 
Pesa zilizotengwa 20 milioni kwa kila darasa ni hela ndogo kwa kujenga darasa lenye ubora unaostahili.

Kuna pesa zilitolewa na wafadhili kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ya watoto wenye mahitaji maalum na darasa moja liligharimu milioni 30 na kweli madarasa yaliyojengwa ni ya kiwango kabisa, True value for money.

Milioni 20 ujenge, uweke hadi mambo ya umeme, madawati na gharama ya maji na maeneo mengi maji ni changamoto kubwa haiwezi kutosha labda darasa liwe ni haya ya kulipua lipua kama haya yaliyaliyopo sasa hivi.

Tatizo serikali inataka mwisho wa siku pesa hii tuliyokopeshwa na IMF ifanye mengi kwa pamoja eti bila kuathiri ubora kitu ambacho hakiwezekani.
Quantity must compromise quality whether they like it or not.

Tukiacha utani maji uweke ya nin ndani ya darasa [emoji23]
Yan kwa watoto hawa hawa wa kibongo ? Maji yawe toi na jikoni
 
REO =Regional Education Officer (Afisa Elimu Mkoa)
Huyu yuko chini ya Katibu Tawala Mkoa (RAS)
Usimamizi wa miradi hii uko chini ya Wakuu wa Mikoa wakishirikiana na ma RAS wao kisha Wakurugenzi wa Halmashauri wakishirikiana na wataalamu wao.
Huyo REO hayo unayoyasema juu yake amepata wapi uwezo huo au una chuki na huyo mtu ?
REO anawezaje kutoa mwongozo mzito namna hiyo bila kuruhusiwa na RAS ?
Taarifa nina mashaka nayo kwa kiwango kikubwa sana.
Huenda ni bifu kati yako na REO
Huyu mleta mada ndio wale watu waliokubuhu kwenye majungu na huenda ni Mwalimu. Mnyororo wa Ujenzi unahusisha MAHANDISI ambae huandaa BOQ, PMU Kufanya manunuzi kadri mhandisi alivyoelekeza, Wakuu wa Shule na Wenyeviti wa Kamati za Ujenzi, Watendaji wa Kata na Vijiji vyenye mradi husika woooote wanakaa meza moja kupokea mgao wa manunuzi kama yalivyofanywa na PMU. Sasa hapo REO au DEO anaingia wapi? Tuache kutumia JF kuchafua wenzetu na Members wa JF wa aina hiii mngekuwa mnapigwa LIFE BAN ili muendekeze majungu kwenye familia zenu tu.
 
Mwandishi alikuwa na hoja nzuri ila sema ameiwasilisha kea mihemko mikubwa ,kila shule ina kamati tatu 1.kamati ya manunuzi.
2.kamati ya mapokezi.
3.kamati ya utekelezaji mradi

Kila kamati inaundwa na walimu wa shule husika,akihusishwa mjumbe mmoja mwakilishi wa jamii.kamati hizo zinasimamia mradi huku zikiwa karibu na muhandisi muelekezi.kila hatua Ni lazima muhandisi atoe certificate ya ukamilifu kwa ubora na viwango ili fundi aweze kulipwa.Hapo REO Hana nafasi ya kutoa maagizo yoyote zaidi ya kuhimiza uharaka wa ujenzi.
Kazi za ujenzi zinaenda vyema ila changomoto kubwa Ni kupanda kwa bei ya vifaa hasa mikoa ya pembezoni.cement 23000,bati G 28 tsh 37500,na vingine vingi.
Tuwatie moyo walimu wetu wanaosimamia miradi hiyo.

Mbali ya yote Ila lazina pesa zipigwe na mradi lazima ukamilike.
 
Back
Top Bottom