Yanayoendelea kwenye ujenzi wa Shule na Zahanati wa pesa za mkopo wa IMF

Mjumbe BOQ inaandaliwa tu (kwa kupendekeza vifaa tu) halafu inakabidhiwa shuleni moja kwa moja habari ya bei manunuzi sijui takataka gani zote itajua kamati yenyewe (ambapo kamati yenyewe ni Mwl Mkuu kama mwenyekiti, Mwalimu wa ujenzi kama katibu na wajumbe wengine kutoka kwenye kamati ya shule)

Mwalimu mkuu na Mwalimu wake wa ujenzi ndo watafanya quotation za bei madukani, kwa mafundi seremala na kila kitu mfano mawe mchanga kokoto nk kwa kusaidiana na wajumbe wao

Kichekesho zaidi viongozi wa serikali ya kijiji au kata wanaingia kama wadau tu kwenye kamati hizo lakini kuna 20% ya nguvu ya jamii ambayo Mwalimu Mkuu analazimika kumfuata boss wa kijiji ili aipate wakati huo huyo boss hajapewa mamlaka yoyote kwenye kamati za shule (kamati ya ujenzi ya manunuzi na ya mapokezi)

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ahsante kwa taarifa, hayo mapungufu ni ya kufanyiwa kazi...
 
Mkuu umemlenga huyo REO wenu Kaponda. Si useme tu?
 
Wewe utakuwa ni mwalimu mkuu wa shule za msingi za songwe.
 
Tukiacha utani maji uweke ya nin ndani ya darasa [emoji23]
Yan kwa watoto hawa hawa wa kibongo ? Maji yawe toi na jikoni
Nimeongelea maji kwa ajili ya ujenzi. Please be informed accordingly.
 
Utaratibu huu haupo labda upo kwenu
 
Haya ndo kayaongea kaponda nami nimeyawakilisha bodi haina nguvu nguvu kapewa msimamizi mkuu wa kituo yaaani yeye ndo mununuzi wavifaaa msafirishaji yeye namuweka stooo yeye na mgawia mafundi yeye shida iko hapo.Na kasisitiza akumbukwe kwenye mgao wa pesa itakayobaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…