Yanayoendelea maduka ya Vunja Bei ni shida

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Your browser is not able to display this video.

Twendeni taratibu wana Simba muda bado upo. Fred ashauriwe kufungua matawi mengi Dar ili kuepusha msongamano.

Mtendaji mkuu wa klabu ya Simba SC,🦁 Babra Gonzalez 👸 amesema kuwa baada ya kuingiza jezi mpya za Simba 🦁 sokoni ndani ya masaa 8 jumla ya jezi 42,000 zilikuwa zimeshauzwa na mawakala mbalimbali Nchini Tanzania Kwa bei ya 35,000/= ni sawa na sh 1,470,000,000

One Team One Dream #NguvuMoja
 
Kuna msukule utakuja kukukwambia huo ni uzinduzi wa dukula la vunja bei
 
Kuna msukule utakuja kukukwambia huo ni uzinduzi wa dukula la vunja bei
Ndio , ni uzinduzi wa duka la Vunjabei mkoani huko, achana na propaganda za kishamba. Simba ni kubwa, hahitaji propaganda uchwara kama hizi ili kuuza jezi, haya ni madhara ya kuwaachia kina Mwijaku kuwa sehemu ya uhamisishaji Simba.
 
Unamdanganya Nani?unajidanganya mwenyewe,utataka TRA wakafuatilie kodi yao.Ujanja wote unataka kushindana na Yanga na GSM ,usiige kunya kwa Tembo utapasuka Msamba.Kuanzia Mwaka huu mtapata sana shida mjiandae kisaikolojia Yanga na GSM wamejipanga kweli kweli
 
Ndio , ni uzinduzi wa duka la Vunjabei mkoani huko, achana na propaganda za kishamba. Simba ni kubwa, hahitaji propaganda uchwara kama hizi ili kuuza jezi, haya ni madhara ya kuwaachia kina Mwijaku kuwa sehemu ya uhamisishaji Simba.
Ushawahi kuona Fred anazindukua duka zake mchana? Tumia akili acha kutumia matako,, uwe unafatilia mambo
 
Hiyo yanga hakuna msimu ambao haijipanga tushawazoea
 
Mo Dewji anapiga faida sana. Naimani hili dili la VunjaBei kuna mkono wake, watavuna pesa sana na Fred Vunjabei utajiri wake utaongezeka kwa kasi
 
Kongo na Agrey hiyo
 
Ndio , ni uzinduzi wa duka la Vunjabei mkoani huko, achana na propaganda za kishamba. Simba ni kubwa, hahitaji propaganda uchwara kama hizi ili kuuza jezi, haya ni madhara ya kuwaachia kina Mwijaku kuwa sehemu ya uhamisishaji Simba.

Tunajua ni ngumu kuukubali ukweli[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…