Yanayoendelea maduka ya Vunja Bei ni shida

Yanayoendelea maduka ya Vunja Bei ni shida

Unamdanganya Nani?unajidanganya mwenyewe,utataka TRA wakafuatilie kodi yao.Ujanja wote unataka kushindana na Yanga na GSM ,usiige kunya kwa Tembo utapasuka Msamba.Kuanzia Mwaka huu mtapata sana shida mjiandae kisaikolojia Yanga na GSM wamejipanga kweli kweli
Mtoto wa kiume unahusda kama mke mwenza....kwani vunjabei haiwezi fanikiwa bila kuishudha GSM
 
Mtoto wa kiume unahusda kama mke mwenza....kwani vunjabei haiwezi fanikiwa bila kuishudha GSM
Mapambano yanaendelea na huu ndo ukubwa wa simba
 
Attachments

  • Hizi_Jezi_zimejua_kugombaniwa_jamani_😂😂😂🤣🤣🤣🤣_Ziongezwe_zingine_🤣🤣😂_hakuna_Jezi_imeuzika_kama_y...mp4
    9 MB
video za uzinduzi wa maduka ya vunja bei. simba wameanza kuzitumia maajabu hayaishi Tanzania.
Vunja bai haziduagi maduka mchana tumia akili hata kidogo nakuongezea na nyingine
 
Attachments

  • Hizi_Jezi_zimejua_kugombaniwa_jamani_😂😂😂🤣🤣🤣🤣_Ziongezwe_zingine_🤣🤣😂_hakuna_Jezi_imeuzika_kama_y...mp4
    9 MB
video za uzinduzi wa maduka ya vunja bei. simba wameanza kuzitumia maajabu hayaishi Tanzania.
Mda huu bado unateseka

E-bp7xqX0AMHmHM.jpeg
 
Hii haina ubishi kuwa GSM wameshindwa kabisa marketing , watu wanafedha unatoa jezi kidogo tena unauzia dar peke yake. Sasa asubiri huyu fred sijui ni mchaga amfundishe namna biashara zinavyofanyika. Yeye analeta habari za biashara za kizamani za waarabu na wahindi za kufunga maduka wakati wa mwezi na wakati wa swala sasa wameingia wachaga na wakinga muda wote wamefungua maduka customer service ya hali ya juu sasa wanaanza kufilisika.
 
Wameshikwa na matumbo ya kuhara! Vunjabe kawapa uppercut GSM na Designer wao Sheria Ngowi [emoji3][emoji3]
We ni mwehu sio bure, unamlinganisha gsm na vunjabei kwenye mauzo ya jezi🤣🤣🤣 aisee ebu fanya research kidogo utajua gsm mpaka sasa kauza jezi kiasi gani alafu urudi apa utwambie
 
We ni mwehu sio bure, unamlinganisha gsm na vunjabei kwenye mauzo ya jezi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee ebu fanya research kidogo utajua gsm mpaka sasa kauza jezi kiasi gani alafu urudi apa utwambie

Kama mimi ni mwehu,basi wewe ni Punguwani Wahedi.Huyo GSM ni nani kwani asilinganishwe na Freddy,yes GSM amepewa Uppercut mbaya na mtoto wa Kikinga,unalinganishaje mtu ameuzia Dar peke yake tena muuazaji wa jumla akiwa Sunderland pekee kwa zaidi ya week moja na Vunjabei amesambaza mzigo Mikoa yote mikubwa na mzigo unatembea kwa wakati mmoja na ameanza kuuza si chini ya masaa 26 mpaka sasa hivi na kauza jezi zaidi ya 42K chini ya masaa 8.Utopolo hebu kachukue akili zako kwa Manara maana naona umemwachia afikirie kwa niaba yako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
We ni mwehu sio bure, unamlinganisha gsm na vunjabei kwenye mauzo ya jezi🤣🤣🤣 aisee ebu fanya research kidogo utajua gsm mpaka sasa kauza jezi kiasi gani alafu urudi apa utwambie
Hivi kuna mtu anadhani GSM anaweza kushindana na Vunja Bei?!!..Au wanadhani Vunja Bei ni mtoto kazaliwa Jana!!..Wakinga,wahehe,wanyakyusa,wabena,waluguru na wasukuma hawa huwaambii Kwa Vunja Bei!!..Wachaga,wapare,wazambaa,wamakondonde sijui watu wanawezaje kushindana na Vunja Bei!!..Mtu ambae anauza Jezi masaa 24,mtu ambae ana maduka karibia nchi nzima!!..unataka kumfananisha na mwenye Duka mlimani city,msasani,gongo la mboto huko!!.. wakati mwengine tukubali tu Vunja Bei kaja kuvunja yote!!..
 
Ndio , ni uzinduzi wa duka la Vunjabei mkoani huko, achana na propaganda za kishamba. Simba ni kubwa, hahitaji propaganda uchwara kama hizi ili kuuza jezi, haya ni madhara ya kuwaachia kina Mwijaku kuwa sehemu ya uhamisishaji Simba.
Weka link ya hiyo picha kuthibitisha.
 
Hivi kuna mtu anadhani GSM anaweza kushindana na Vunja Bei?!!..Au wanadhani Vunja Bei ni mtoto kazaliwa Jana!!..Wakinga,wahehe,wanyakyusa,wabena,waluguru na wasukuma hawa huwaambii Kwa Vunja Bei!!..Wachaga,wapare,wazambaa,wamakondonde sijui watu wanawezaje kushindana na Vunja Bei!!..Mtu ambae anauza Jezi masaa 24,mtu ambae ana maduka karibia nchi nzima!!..unataka kumfananisha na mwenye Duka mlimani city,msasani,gongo la mboto huko!!.. wakati mwengine tukubali tu Vunja Bei kaja kuvunja yote!!..

Utawaweza hao Misukule wa GSM,wanamwabudu utadhani Mungu wao. Vunjabei kamkalisha chini huyo Ghalib na Chawa wake Hersi na vijiduka vyao vya hapa Dar! Vunjabei mbali ya Maduka yake ya Mwanza,Arusha,Dodoma,Iringa na Mbeya,Mikoa iliyobaki yote amewapa mawakala na wao wamepokea mizigo kutoka kwa Maduka yake ya Mikoani,halafu mtu anakuja hapa na ngonjera zake za GSM nye nye nye[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwamedi kashaanza kuwalipa Waandishi habari wampigie promo kama kawaida yake

Uto tulikwambia hapa jana ulianza kusherehekea jezi kuvuja,kuwa Freddy kapata hasara! Mbona sasa hivi ngonjera za kuvuja zimekwisha! Mtoto wa Kikinga kawajaza kwenye 18 zake mkajaa wazima wazima mkaanza kupiga promo bila kujijua,mnastuka Jezi zinatembea Nchi nzima.Huyu ndiyo Vunjabei ukisoma uwe unalisoma jina lake kwa kituo[emoji3][emoji3]
 
Watu walidanganywa zimevuja zipo mtaani!!!..sasa wanaojua biashara wakaona kwasababu pressure ni kubwa mzigo tuachie sasa!!.. unaambiwa haijawahi kutokea jezi za team kuuzwa kama hizi za Mnyama!!..Hivi hawa Utopolo wanakutana wapi kujadili mambo Yao?!!..Sisi Jana tulikua na CEO live huko kwenye spaces katuambia katueleza na katufafanulia mambo ya club yetu,wao wako wapi?!!..
 
Yeye analeta habari za biashara za kizamani za waarabu na wahindi za kufunga maduka wakati wa mwezi na wakati wa swala sasa wameingia wachaga na wakinga muda wote wamefungua maduka customer service ya hali ya juu sasa wanaanza kufilisika.

Wafilisike kwa kufunga maduka wakati wa mwezi(Ramadhani) na wakati wa swala?
 
Watu walidanganywa zimevuja zipo mtaani!!!..sasa wanaojua biashara wakaona kwasababu pressure ni kubwa mzigo tuachie sasa!!.. unaambiwa haijawahi kutokea jezi za team kuuzwa kama hizi za Mnyama!!..Hivi hawa Utopolo wanakutana wapi kujadili mambo Yao?!!..Sisi Jana tulikua na CEO live huko kwenye spaces katuambia katueleza na katufafanulia mambo ya club yetu,wao wako wapi?!!..

Utopolo na Digital platform wapi na wapi,wao waambie habari za Mzee Mpili watakuelewa vizuri[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom