Yanayoendelea maduka ya Vunja Bei ni shida

Mbona Zambia nako kupiga kura ilikuwa ni kupoteza muda zaidi ya Tanzania mara mia ila wamefanikiwa kupata haki yao?
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Tanzania na Zambia
Mimi nimepiga kura mwaka jana nimejionea. Bila tume huru ya uchaguzi kupiga bado ni kupoteza muda
 
Yani wamepagawa hatari,Mkinga yule kawafanyia kitu mbaya hawatomsahau[emoji3][emoji3][emoji3]
Mnajipa moyo na mishumizi yenu mibaya,vunja bei kitu gani kibaya alichokifanya kwa Yanga!hamna Mwananchi atakaenunua shumizi za mikia na hamna mkia atakaenunua jezi za Wananchi,kila mtu atanunua jezi kutokana na mapenzi ya timu yake,sasa vunja bei kafanyaje hadi useme katufanyia kitu mbaya,tunachoongelea uzuri na quality ya jezi za mikia ni mbovu na ndio propaganda kibao kwenye mauzo zinawekwa hadi video za kitambo kuhaminisha watu ni jana!kwanza shumizi zenyewe za kucopy kwa arsenal na timu ya taifa ya tunisia





 
Anawajaza makolo kolo wavae shumizi halafu yy anatinga kitu cha hamza

 

Calm down, kunywa Mo Energy,pumzika kama dk 15 hivi,kisha ingia mitandaoni,angalia Jezi za Simba zinavyouzika Nchi nzima.Pole mtani,utazoea tu.Lakini pia nikukumbushe tar 12 safari ya kilio kwenu inaanza rasmi[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kabla sijajua ni copy & paste,nikasema safari hii mtani katushinda kwenye designing ya jersey,kumbe loh[emoji24][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa sisi na wewe na anashindana na mwenzake?

Haya basi eh jezi yenu nzuri
Tuonyeshe na makombe yenu msimu uliopita ya maana


Ingekua jezi ndo mpira arsenal na spur wangekua mabingwa sana ila kwa sababu mpira sio jezi basi tulia
Tujiandae kisaiokolojia sisi....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kama tu nyie kapumbu hamkujiandaa una nguvu gani ya kutoa ushauri ww?
 
Halafu mmempa vunja Bei kwa 2b, biashara kubwa hivyo na cjui kwa misimu mingapi... Hapa ndo Simba tunafel
 
Wamejipanga haswa ndiyo maana wakamzawadiwa Kapumbu
 
Calm down, kunywa Mo Energy,pumzika kama dk 15 hivi,kisha ingia mitandaoni,angalia Jezi za Simba zinavyouzika Nchi nzima.Pole mtani,utazoea tu.Lakini pia nikukumbushe tar 12 safari ya kilio kwenu inaanza rasmi[emoji3][emoji3][emoji3]
Goli za chini tutakazowapiga wale ni kuanzia 3
 
Subiri mechi yenu na Rivers ipite ndio tutajua kama mmejipanga.
 
Hiyo video ni ya zamani wakati Vunjabei anafungua maduka yake mkoani, pembeni hapo kuna wasanii. Jezi za Simba zitanunuliwa na zinauzika kabisa bilq ya propaganda za kishamba kama za hiyo video.
Binafsi nilijiuliza baada ya kuona kwenye foleni kuna mtu ana jezi ya njano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…