Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi karibuni kuna kocha wa makipa alikamatwa na madawa ya kulevya. Haraka haraka simba wakatoa taarifa ya kumkana kuwa hakuwa mwajiriwa wao japo... Mda utaongea zaidi
Kasi ya ufungaji aliyonayo Mbappe akiendelea nayo kwa miaka 10 atawafunika wote kwenye magoli
Kweli Mbabe akitulia akaacha mashkara na utoto utoto anawafunika hao wadekaji hapo juu.Kasi ya ufungaji aliyonayo Mbappe akiendelea nayo kwa miaka 10 atawafunika wote kwenye magoli
Hili liko wazi, takwimu zake zinajielezaKweli Mbabe akitulia akaacha mashkara na utoto utoto anawafunika hao wadekaji hapo juu.
Tuliunganisha dots.... kutekwa kwa Mo hadi leo haijawahi elezwa sababu ya yy kutekwa... si yy wala so watekaji... iko namna!!!!Hivi karibuni kuna kocha wa makipa alikamatwa na madawa ya kulevya. Haraka haraka simba wakatoa taarifa ya kumkana kuwa hakuwa mwajiriwa wao japo... Mda utaongea zaidi
Zidane.Nani huyu ?
Kumbe aliwahi kuchezea Algeria ?Zidane.
Wenye akili tunajua kinachoendelea, mo yuko uarabuni mda sasaTuliunganisha dots.... kutekwa kwa Mo hadi leo haijawahi elezwa sababu ya yy kutekwa... si yy wala so watekaji... iko namna!!!!
Makolo ninyi ni wauza unga wahuni ninyi
Bilionea wa ungaWenye akili tunajua kinachoendelea, mo yuko uarabuni mda sasa
Umeshalewa unga tayari hapoHalafu wakuu ujue kiutani utani MORROCO wanaweza kubeba ndoo ya WeridKapu Africa ikaondoa gundu