Tetesi: Yanayoendelea Simba yana uhusiano na kukamatwa kwa unga

Tetesi: Yanayoendelea Simba yana uhusiano na kukamatwa kwa unga

Gulwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Posts
10,597
Reaction score
16,394
Hivi karibuni kuna kocha wa makipa alikamatwa na madawa ya kulevya. Haraka haraka simba wakatoa taarifa ya kumkana kuwa hakuwa mwajiriwa wao japo.

Mda utaongea zaidi
 
20221210_202220.jpg
 
Hivi karibuni kuna kocha wa makipa alikamatwa na madawa ya kulevya. Haraka haraka simba wakatoa taarifa ya kumkana kuwa hakuwa mwajiriwa wao japo... Mda utaongea zaidi
Tuliunganisha dots.... kutekwa kwa Mo hadi leo haijawahi elezwa sababu ya yy kutekwa... si yy wala so watekaji... iko namna!!!!
 
Halafu wakuu ujue kiutani utani MORROCO wanaweza kubeba ndoo ya WeridKapu Africa ikaondoa gundu
 
Tuliunganisha dots.... kutekwa kwa Mo hadi leo haijawahi elezwa sababu ya yy kutekwa... si yy wala so watekaji... iko namna!!!!
Wenye akili tunajua kinachoendelea, mo yuko uarabuni mda sasa
 
Back
Top Bottom