Yanayoendelea Ukraine ni zaidi ya ilivyokuwa Rwanda 1994

Yanayoendelea Ukraine ni zaidi ya ilivyokuwa Rwanda 1994

Wakomunisti buana! Ili uwajue kwamba hamnazo basi we badili vitu viwili tu kwenye Russia weka US, kwenye Ukraine weka Iraq, basi mkasa huu huu watasema ni kweli na wataitukana US kwa hasira Kali.
 
Kwa heshima ya Rwanda Grenoside 1994 naomba rekebisha heading.

Rwanda kulifanyika ubakaji wa wanaume wengi mtu unabakwa hadi kufa...
Rwanda kina mama wajawazito walitumbuliwa matumbo vichanga vikaning'inizwa kwenye miti.

Ndugu Rwanda ni habari nyingine mengine sijasema
Au kwa vile ni Africa?
Ww kubakwa unachukulia ni kitendo kidogo e!! Yan mamako abakwe utaona sio unyama? Tena na wanaume wengi wanaotumia Viagra?!! Acha masikhara mkuu
 
🤣🤣🤣kweli nimewajua
Wakomunisti buana! Ili uwajue kwamba hamnazo basi we badili vitu viwili tu kwenye Russia weka US, kwenye Ukraine weka Iraq, basi mkasa huu huu watasema ni kweli na wataitukana US kwa hasira Kali.
 
Hayo mambo siyo Mageni hapa Duniani,Wamarekani wenyewe washabaka sana huko vitani,Hayo ni matokeo ya Vita,Waache wapambane na Hali zao.Vita haina Macho.
 
Ww kubakwa unachukulia ni kitendo kidogo e!! Yan mamako abakwe utaona sio unyama? Tena na wanaume wengi wanaotumia Viagra?!! Acha masikhara mkuu
Nikubaliane na nyie basi waliobakwa Ukraine ni vibaya kuliko Rwanda
 
Wana JF nimewakubali Sana, propaganda za magharibi hawazitaki kabisa.
 
Nikubaliane na nyie basi waliobakwa Ukraine ni vibaya kuliko Rwanda
Kiswahili naona kinakuchanganya,wapi nimesema "KULIKO" kuna tofauti kati ya zaidi na kuliko
 
Nikubaliane nawe pia mauaji ya Ukraine ni zaidi ya Rwanda
images (5).jpeg
images (4).jpeg
images (3).jpeg
walio lala hapo waliuliwa kwa kuchinjwa kama kuku, wengine waliuliwa kwa kubakwa na kutumbuliwa matumbo yao
 
Back
Top Bottom