Yanayoendelea Wilayani Hai ni mkakati maalum

Hata ukimtetea tuna taarifa zake nyingi sana huyo mkuu wa wilaya haitabadilisha matokeo ni swala la muda tu
 
Jambazi Saabaya ana kesi ya kujibu hata iwe vipi na wewe ni mshirika wake, acha ujinga.
 
Bwashee Kasomi,
Ulichoandika hapa ni uharo, ujinga, upuuzi na utetezi wa kihuni!
Je, wewe ndiye Ole Sabaya au amekutuma????
Let me tell you this and listen dearly and clearly! Huyu mama yetu Mhe. SSH hana muda wa kusoma huu UHARO wako! Mama amejitanabaisha wazi kabisa hataki hayo mabifu ya kishennx yalokuwa yakifanywa na kina OLE SABAYA KWA KUWANYANYASA WAPINZANI NA WAFANYIBIASHA4A ILI HAYATI JIWE ATAWALE ANAVOTAKA!!! IT'S OVER.

Wale ambao mmetumika vibaya na mliowekwa kimkakati na Hayati Magufuli ili kuwadhibiti Wapinzani ikiwemo CHADEMA, ACT Wazalendo, NCCR Mageuzi n.k, mjue kuwa your time is over. Ole Sabaya ajiandae kuvaa rubega kwenda kuchunga ng'ombe wa kimasai. Kwa habari ya u-DC asahau katika awamu hii ya Mama Sameer Suluhu Hassan!
 
Kwa hiyo hata mghwira nae katumwa!
Tupo kwenye taifa la hovyo sana aisee
 
Kuna ambaye alikua na uthubutubwa kuyasema mabaya ya wateule wa jiwe akabaki salama enzi za mwenda zake?

Hivi Dr Abbas bado yupo ofisini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…