Yanayoendelea Wilayani Hai ni mkakati maalum

Ndio maana tumesema Ole ajitokeze kuongelea hizi tuhuma ili kama anachafuliwa hatua za kisheria zichukuliwe kwa mchafuaji

Kama sivyo awajibikie tuhuma zake

Tanzania ni yetu sote maendeleo hayana vyama
Ni wewe au mwingine?
 
YANAYOENDELEA WILAYA YA HAI NI MKAKATI MAALUMU UMEPANGWA

Kwanza Niseme Jambo Moja Mliopo Nje Ya Wilaya Ya Hai Hamjui Kinachoendelea Huku Haya Masuala Naomba Mzingumze Kisiasa Sisi Wananchi Tunaoishi Hai Ndio Tunajua Chanzo Ni Nini kuhusu Yanayoendelea Na Nitoe Pongezi Zangu Sana Kwa DC Sabaya Kuisimama Wilaya Hii Kwa Weledi Mkubwa Sana Na Hai Ilivyo Sana Sio Ya Zamani .

Nianze Kwa Kusema Yafuatayo :

Cartbert Swai Mmiliki Wa Weruweru Lodge Mshirika Na Mfuasi Mkubwa Sana Wa Mwenyekiti Wa Chadema Freeman Aikaeli Mbowe Ambapo Ndugu Swai Ana Tuhuma Za Kuwatapeli Watumishi Wake Na Kuwarusha Mishahara Yao , Nimeona Amejirokodi Akiwa Kwenye Shamba Moja Akitoa Tuhuma Dhidi Ya Mkuu Wa Wilaya Ya Hai Ndugu Lengai Ole Sabaya Kwa Kile Kinachodaiwa Kuwa Alimfukuza Mwekezaji Kwenye Shamba Hilo.

Kwanza Naomba Tujiulize Maswali Machache Yenye Tija Na Kufikirisha Kidogo.

• Kwanini Haya Yanatokea Sasa Kuna Mpango Gani Nyuma Ya Pazia?

• Kwanini Viongozi Waandamizi Wa Chadema Akiwemo Godbless Lema , Kumbusho Dowson ( Bavicha ) , Tom Mwaipaja Msemaji Wa Bavicha Ndio Wamekuwa Wanasambaza Hiyo Clip Video Kwenye Mitandao Ya Kijamii Kuna Nini Wanataka Kukilinda Na Kwa Malengo Gani , Je Ishu Ni Cartbert Au Ni Sabaya ?

• Je Kwanini Haya Yanaibuka Wakati Rais Wetu Mama Samia Suluhu Aliposema Anajeukia Mikoa Na Wilaya Kufanya Teuzi Mpya Ndio Kujirekodi Kumetokea Kwa Cartbert Swai Mwanachama Wa Chadema Na Mfanyabiashara Wa Hai ?

• Lema , Cartbert, Tom Mwaipaja Na Kumbusho Dowson Mbona Wakati Dc Sabaya Aliporudisha Kiwanja Chetu Sisi Waislamu Tulichodhulumiwa Sikuona Mmejirokodi Clip Video Angalau Kumpongeza ?

Katika Elimu Yangu Kidogo Katika Masuala Ya Uongozi Na Siasa Nimejifunza Kuhusu Nguvu Ya Baadhi Wafanyabiashara Kutumia Ushawishi ( Power Of Convince ) Kutimiza Malengo Yao Hasi Ili Kudominate Nguvu Ya Watawala Kubow Kwao Ndicho Kinachoendelea Wilaya Ya Hai Kwa DC Sabaya Kusimama Na Wananchi Maskini Na Wanyonge Waliodhulumiwa Mashamba Yao Na Hawa Kina Cartbert Swai Ili Kuendeleza Uharamia Wao Wa Kutokugusika.

Mintarafu Kwa Wale Ambao Hafahamu Sakata Hili Kwa Undani Ni Kwamba Mwenyekiti Wa Chadema Freeman Aikaeli Mbowe Alimuapia Dc Sabaya Atatumia Gharama Yeyote Kuhakikisha Kuwa Hai Haitatawalika Ndani Ya Kipindi Chake Kwahiyo Haya Yanayoendelea Kuibuka Kwa Sasa Ya Mfanyabiashara Ndugu Cartbert Ni Muendelezo Wa Kauli Ya Mbowe Kuwatumia Wafanyabiashara Hawa Kisiasa Ili Kutimiza Malengo Yao Baada Ya Kuona Wilaya Ya Hai Kwasasa Wizi , Ubadhirifu Sacco's Za Wananchi , Ukandamizwaji Wa Haki , Uporaji Wa Mashamba Umedhibitiwa Ndani Ya Hai Sasa Njia Ya Kurejesha Hayo Ni Kumtoa Kafara Dc Sabaya. ( Hizi Mbinu Zinatumika Sana Na Wanasiasa Wengi Wenye Nguvu Kama Mbowe)

Siasa Za Hai Zimetamalaki Na Umafia Mwingi Kwa Pande Zote Mbili Za Baadhi Ya Wafanyabiashara Na Wanasiasa Na Sio Nyepesi Hata Kidogo Na Ikumbukwe Jimbo La Hai Lilikuwa Chini Ya Kiongozi Ambaye Alikuwa Mwamba Wa Siasa Za Kaskazini Na Kiongozi Wa Kambi Rasmi Ya Upinzani Kwa Miaka Mingi Kwa Mantiki Hiyo Haitakuwa Jambo Jepesi Sana Kwa Kijana Mdogo Kama Dc Sabaya Kupambana Hii Vita Dhidi Ya Watu Hawa Hatari Kwenye Nchi Ambao Wapo Kufanya Chochote Ili Kulinda Maslahi Yao Binafsi.

Aghalabu Katika Taaluma Ya Uongozi Kuna Kitu Kinaitwa Good - Interest Na Selfishness Katika Kile Kinachofanywa Na Mfanyabiashara Huyu Na Mwanachama Wa Chadema Ndugu Cartbert Swai Hana Good Interest Na Maisha Ya Wananchi Maskini Na Wanyonge Wa Hai Bali Ana Selfishness ( Which is Moral Cancer ) Ya Kutaka Lengo Lake La Kuendelea Kujimilikisha Mashamba Ya Wananchi Wanyonge Kama Alivyomfanyia Mama Mjane Kwa Kumpora Kwa Kisingizio Kuwa Ana Mkakati Wa Kibiashara ( Business Plan ) Hili Ni La Kukemewa Na Wananchi Wote Kwa Nguvu Zote Ndio Kaliba Ya Baadhi Ya Wafanyabiashara Wasio Waaminifu Walikuwa Na Kauli " Serikali Nimeiweka Mfukoni" Hili Halimuitaji Dc Sabaya Peke Yake Linatuhitaji Sote Kama Wananchi Wenye Mapenzi Mema Na Nchi Yetu Ili Kumsaidia Pia Mama Yetu Rais Samia Suluhu Hassan.

Mosi Ndugu Cartbert Swai Nikushauri Kuwa Uongozi Wa Awamu Hii Sita Ya Sasa Sio Uongozi Wa Fitna , Majungu , Uzandiki Na Siasa Chafu (Dirty Politics) Ili Kufanya Defamation Ya Mtu Mwingine Ili Kujijenga Wewe Kibiashara Kwa Njia Zisizo Halali Bali Ni Uongozi Uoendeshwa Kwa Misingi Ya Haki , Ustawi , Demokrasia Ya Kweli Pasipo Kumuonea Mtu Yeyote Kwa Maslahi Mapana Ya Wananchi Na Taifa Letu Hivyo Kama Wewe , Godbless Lema, Kumbusho Dowson , Tom Mwaipaja Msemaji Wenu Wa Bavicha Mmetumia Mbinu Hizi Kuchafua Viongozi Wa Serikali Ili Kumpambania Mwenyekiti Wenu Freeman Aikaeli Mbowe Kwenye Nafasi Yake Ya Kisiasa Jimbo La Hai Hii Umefeli Brother Tafuta Njia Bora Ya Kushughulika Na Changamoto Zinapotokea Ili Kutafuta Njia Nzuri Na Bora Kufikia Maelewano Ya Pamoja { Memorandum Of Understanding)

Nihitimishe Kwa Kusema Wazi Wilaya Ya Hai Kulikuwa Na Umafia Mwingi Sana Ulifanyika Kwa Miaka Mingi Kwa Baadhi Ya Wafanyabiashara Sampuli Ya Cartbert Swai Ambaye Pia Miaka Karibuni Alikopa Kiasi Kikubwa Sana Cha Mkopo Toka Benk Ya CRDB Na Kushindwa Kulipa Na Ilipelekea Nyumba Yake Kupigwa Mnada Hadharani Kufidia Deni Hilo, Je Nikuulize Na Haya Dc Sabaya Anahusika? Ifike Mahali Siasa Na Biashara Tusichanganye Na Kuharibu Taswira Ya Viongozi Kwa Maslahi Yetu Binafsi .

Kazi Iendelee...

Wasaalamu:

Raia Mwema Toka Hai
Sawa...SABAYA TUMEKUSIKIA...
 
Sabaya acha utoto...umeandika uzi mrefu wenye mashudu tupu
 
Mimi sijakuelewa unataka tujue na tuelewe nini hasa kwa sisi tusioijua hiyo Hai...

Inawezekana una tatizo kidogo la kushindwa kujieleza ili kujenga hoja thabiti...

Kwa upande mwingine, wewe huna jingine bali una matatizo yako binafsi na Freeman Mbowe na CHADEMA kwa ujumla...

Unatumia uchochoro huo kumtetea DC wa Hai, Ole Sabaya ambaye kwa vyovyote vile hana ethics za uongozi and he has to go...
 
Wewe ndie Ole Sabaya unajitetea. Matendo yako na historia yako itakuzika kisiasa soon
 
Mtoa Post Ni mpuuzi TU
1-unasema swai Ni mwanachadema, je kuwa mwanachadema Ni kosa la jinai?(zwazwa wewe)
2-tuhuma za swai kwa DC zilianza 2019 alitoa malalamiko yake kwenye kikao Cha wafanyabiashara na tra
3-huyo DC alivamia hotel ya mbowe (Aishi hotel machame) na picha za CCTV camera zipo Ni haramia
4-zama zenu za ushamba na uharamia zilishaisha ,shika jembe ukalime
👏👏👏
 
Sasa nikuulize, Wewe unasema wametumwa na umewataja kwa majina.

Swali langu kwako.
Ni nani amekutuma wewe kuandika haya uliyoandika
Nimeleta uzi humu kuhusu mabaya aliyo fanya mods wakapita nao.
Nikaona si vyema kukaa hivi ngoja nifurahishe jopo la mods kwa uzi huu na mpaka sasa unaishi🙏🙏🙏
All is well, kukumbuke kujifukiza.
KAGAMEE njoo usome
 
Wewe ndiye SABAYA na kwa taarifa yako tu ni kuwa kati ya kesho au kesho kutwa hicho kiti ulicho kikalia kwa kofia ya dc,hutokuwa na nafasi ya kukikalia tena.

Ndiyo mwisho wa ajira yako ya kuhudumu serikalini maana huna sifa hiyo.
Hahaah 🤣🤣🤣
Mpeni salamu Sabaya
 
Kwahiyo ni mkakati watu wamemuambia amdharau Boss wake? Mabega yapo juu sana kwa huyu kijana mwenzetu.
Ishi na watu vizuri hata utakaposhuka watakuinua.
 
Nimeleta uzi humu kuhusu mabaya aliyo fanya mods wakapita nao.
Nikaona si vyema kukaa hivi ngoja nifurahishe jopo la mods kwa uzi huu na mpaka sasa unaishi🙏🙏🙏
All is well, kukumbuke kujifukiza.
KAGAMEE njoo usome
Hahaa Sabaya awamu hii hana chake.Aungane na Makonda wakaunde serikali ya wahuni huko Syria.
 
Kwahiyo ni mkakati watu wamemuambia amdharau Boss wake? Mabega yapo juu sana kwa huyu kijana mwenzetu.
Ishi na watu vizuri hata utakaposhuka watakuinua.
Uvccm wote hamna roho ya kibinadamu.
Woote mnanuka dharau na ukatili
 
YANAYOENDELEA WILAYA YA HAI NI MKAKATI MAALUMU UMEPANGWA

Kwanza Niseme Jambo Moja Mliopo Nje Ya Wilaya Ya Hai Hamjui Kinachoendelea Huku Haya Masuala Naomba Mzingumze Kisiasa Sisi Wananchi Tunaoishi Hai Ndio Tunajua Chanzo Ni Nini kuhusu Yanayoendelea Na Nitoe Pongezi Zangu Sana Kwa DC Sabaya Kuisimama Wilaya Hii Kwa Weledi Mkubwa Sana Na Hai Ilivyo Sana Sio Ya Zamani .

Nianze Kwa Kusema Yafuatayo :

Cartbert Swai Mmiliki Wa Weruweru Lodge Mshirika Na Mfuasi Mkubwa Sana Wa Mwenyekiti Wa Chadema Freeman Aikaeli Mbowe Ambapo Ndugu Swai Ana Tuhuma Za Kuwatapeli Watumishi Wake Na Kuwarusha Mishahara Yao , Nimeona Amejirokodi Akiwa Kwenye Shamba Moja Akitoa Tuhuma Dhidi Ya Mkuu Wa Wilaya Ya Hai Ndugu Lengai Ole Sabaya Kwa Kile Kinachodaiwa Kuwa Alimfukuza Mwekezaji Kwenye Shamba Hilo.

Kwanza Naomba Tujiulize Maswali Machache Yenye Tija Na Kufikirisha Kidogo.

• Kwanini Haya Yanatokea Sasa Kuna Mpango Gani Nyuma Ya Pazia?

• Kwanini Viongozi Waandamizi Wa Chadema Akiwemo Godbless Lema , Kumbusho Dowson ( Bavicha ) , Tom Mwaipaja Msemaji Wa Bavicha Ndio Wamekuwa Wanasambaza Hiyo Clip Video Kwenye Mitandao Ya Kijamii Kuna Nini Wanataka Kukilinda Na Kwa Malengo Gani , Je Ishu Ni Cartbert Au Ni Sabaya ?

• Je Kwanini Haya Yanaibuka Wakati Rais Wetu Mama Samia Suluhu Aliposema Anajeukia Mikoa Na Wilaya Kufanya Teuzi Mpya Ndio Kujirekodi Kumetokea Kwa Cartbert Swai Mwanachama Wa Chadema Na Mfanyabiashara Wa Hai ?

• Lema , Cartbert, Tom Mwaipaja Na Kumbusho Dowson Mbona Wakati Dc Sabaya Aliporudisha Kiwanja Chetu Sisi Waislamu Tulichodhulumiwa Sikuona Mmejirokodi Clip Video Angalau Kumpongeza ?

Katika Elimu Yangu Kidogo Katika Masuala Ya Uongozi Na Siasa Nimejifunza Kuhusu Nguvu Ya Baadhi Wafanyabiashara Kutumia Ushawishi ( Power Of Convince ) Kutimiza Malengo Yao Hasi Ili Kudominate Nguvu Ya Watawala Kubow Kwao Ndicho Kinachoendelea Wilaya Ya Hai Kwa DC Sabaya Kusimama Na Wananchi Maskini Na Wanyonge Waliodhulumiwa Mashamba Yao Na Hawa Kina Cartbert Swai Ili Kuendeleza Uharamia Wao Wa Kutokugusika.

Mintarafu Kwa Wale Ambao Hafahamu Sakata Hili Kwa Undani Ni Kwamba Mwenyekiti Wa Chadema Freeman Aikaeli Mbowe Alimuapia Dc Sabaya Atatumia Gharama Yeyote Kuhakikisha Kuwa Hai Haitatawalika Ndani Ya Kipindi Chake Kwahiyo Haya Yanayoendelea Kuibuka Kwa Sasa Ya Mfanyabiashara Ndugu Cartbert Ni Muendelezo Wa Kauli Ya Mbowe Kuwatumia Wafanyabiashara Hawa Kisiasa Ili Kutimiza Malengo Yao Baada Ya Kuona Wilaya Ya Hai Kwasasa Wizi , Ubadhirifu Sacco's Za Wananchi , Ukandamizwaji Wa Haki , Uporaji Wa Mashamba Umedhibitiwa Ndani Ya Hai Sasa Njia Ya Kurejesha Hayo Ni Kumtoa Kafara Dc Sabaya. ( Hizi Mbinu Zinatumika Sana Na Wanasiasa Wengi Wenye Nguvu Kama Mbowe)

Siasa Za Hai Zimetamalaki Na Umafia Mwingi Kwa Pande Zote Mbili Za Baadhi Ya Wafanyabiashara Na Wanasiasa Na Sio Nyepesi Hata Kidogo Na Ikumbukwe Jimbo La Hai Lilikuwa Chini Ya Kiongozi Ambaye Alikuwa Mwamba Wa Siasa Za Kaskazini Na Kiongozi Wa Kambi Rasmi Ya Upinzani Kwa Miaka Mingi Kwa Mantiki Hiyo Haitakuwa Jambo Jepesi Sana Kwa Kijana Mdogo Kama Dc Sabaya Kupambana Hii Vita Dhidi Ya Watu Hawa Hatari Kwenye Nchi Ambao Wapo Kufanya Chochote Ili Kulinda Maslahi Yao Binafsi.

Aghalabu Katika Taaluma Ya Uongozi Kuna Kitu Kinaitwa Good - Interest Na Selfishness Katika Kile Kinachofanywa Na Mfanyabiashara Huyu Na Mwanachama Wa Chadema Ndugu Cartbert Swai Hana Good Interest Na Maisha Ya Wananchi Maskini Na Wanyonge Wa Hai Bali Ana Selfishness ( Which is Moral Cancer ) Ya Kutaka Lengo Lake La Kuendelea Kujimilikisha Mashamba Ya Wananchi Wanyonge Kama Alivyomfanyia Mama Mjane Kwa Kumpora Kwa Kisingizio Kuwa Ana Mkakati Wa Kibiashara ( Business Plan ) Hili Ni La Kukemewa Na Wananchi Wote Kwa Nguvu Zote Ndio Kaliba Ya Baadhi Ya Wafanyabiashara Wasio Waaminifu Walikuwa Na Kauli " Serikali Nimeiweka Mfukoni" Hili Halimuitaji Dc Sabaya Peke Yake Linatuhitaji Sote Kama Wananchi Wenye Mapenzi Mema Na Nchi Yetu Ili Kumsaidia Pia Mama Yetu Rais Samia Suluhu Hassan.

Mosi Ndugu Cartbert Swai Nikushauri Kuwa Uongozi Wa Awamu Hii Sita Ya Sasa Sio Uongozi Wa Fitna , Majungu , Uzandiki Na Siasa Chafu (Dirty Politics) Ili Kufanya Defamation Ya Mtu Mwingine Ili Kujijenga Wewe Kibiashara Kwa Njia Zisizo Halali Bali Ni Uongozi Uoendeshwa Kwa Misingi Ya Haki , Ustawi , Demokrasia Ya Kweli Pasipo Kumuonea Mtu Yeyote Kwa Maslahi Mapana Ya Wananchi Na Taifa Letu Hivyo Kama Wewe , Godbless Lema, Kumbusho Dowson , Tom Mwaipaja Msemaji Wenu Wa Bavicha Mmetumia Mbinu Hizi Kuchafua Viongozi Wa Serikali Ili Kumpambania Mwenyekiti Wenu Freeman Aikaeli Mbowe Kwenye Nafasi Yake Ya Kisiasa Jimbo La Hai Hii Umefeli Brother Tafuta Njia Bora Ya Kushughulika Na Changamoto Zinapotokea Ili Kutafuta Njia Nzuri Na Bora Kufikia Maelewano Ya Pamoja { Memorandum Of Understanding)

Nihitimishe Kwa Kusema Wazi Wilaya Ya Hai Kulikuwa Na Umafia Mwingi Sana Ulifanyika Kwa Miaka Mingi Kwa Baadhi Ya Wafanyabiashara Sampuli Ya Cartbert Swai Ambaye Pia Miaka Karibuni Alikopa Kiasi Kikubwa Sana Cha Mkopo Toka Benk Ya CRDB Na Kushindwa Kulipa Na Ilipelekea Nyumba Yake Kupigwa Mnada Hadharani Kufidia Deni Hilo, Je Nikuulize Na Haya Dc Sabaya Anahusika? Ifike Mahali Siasa Na Biashara Tusichanganye Na Kuharibu Taswira Ya Viongozi Kwa Maslahi Yetu Binafsi .

Kazi Iendelee...

Wasaalamu:

Raia Mwema Toka Hai
Mumeo Sabaya anakufanya uandike Waraka mrefu kiasi hiki????
 
Sabaya hafai kuwa DC katika Awamu hii. Mambo yote muulizeni RC wa KILIMANJARO.
 
Back
Top Bottom