Yanayoendelea Wilayani Hai ni mkakati maalum

hii vita inaonekana kama vile ni kati ya wanywa mbege na wanywa maziwa? lkn wote ni wakazi wa kaskazini.
au ni vita kati ya masalia ya mwendazake na wanaharakati?
ngoja tuone mwelekeo unavyo kwenda na mwisho wake.
 
Tupo tunausikilizia mchezo
 
Vipi ulienda kumvist jambazi jana na kumpelekea hata sabuni
 
Ujumbe umeuleta kwa kuchelewa. Ulitakiwa uulete kabla ya mwezi May. Saivi ni too late..!!
 
Back
Top Bottom