Yanayoendelea Wilayani Hai ni mkakati maalum

Yanayoendelea Wilayani Hai ni mkakati maalum

Ndio maana tumesema Ole ajitokeze kuongelea hizi tuhuma ili kama anachafuliwa hatua za kisheria zichukuliwe kwa mchafuaji

Kama sivyo awajibikie tuhuma zake

Tanzania ni yetu sote maendeleo hayana vyama
Ww itakuwa sabaya ni basha wakoView attachment 1748248
 
Why not address her directly?

You tell another nigga to tell another nigga then that nigga to tell mama,right?

Una shida pahala
🙏🙏🙏 Shukurani mkuu ngoja nifanye kumu DM insta
 
Usijali kuhusu familia yangu maana baba yako anaitunza vizuri sana
Sio sabaya tena?,naona bado hamuamini kilichotokea,zama za mwendazake zimepita huu sio ule utawala wa kusifu na kuabudu
 
Wewe unazungumzia Jambo usilolijua huyo kibaka wako akiwa night club na kuchukua wapenzi wa wengine kinguvu unazungumziaje na hyo ya kwenda mahali na hao group la wahuni wenzake na kugoma kulipa anafikiria hao watu vitu vya biashara wanaokota. Kijana hafai hata kidogo huyo
Wewe unatoka Machame kweli au Mtandao unakufanya uijefanye Machame.

HAPA SISI WAMACHAME DADA, MAMA,SGANGAZI ZETU kwanza hata tukiwagawana wawili wawili bado watabaki, na wenzetu Waislamu walitufundisha kuishi na mke zaidi ya mmoja. Na naamini Sisi Hai na Mwanga ndio Majimbo ya Kilimanjaro yenye Waislamu wengi majimboni.

Kwa hilo suala lako la wanawake kwa nguvu anza na Kaka Mbowe. Huku kwetu Machame tunapambana na shida nyingi za maisha chakula kizuri, nyumba kulala nzuri, kusomesha shule nzuri na maendeleo mengine muhimu kwa binadamu,

LAKINI HUKU MACHANE UKIJIWEZA WANAWAKE SIO SHIDA MPAKA UWABAKE, NI KUONGEA TUU. ACHA KUDANGANYA DADA ZANGU HAWANA SHIDA KAMA UNAJIWEZA.WAPO KAMA WENGI LAKINI UKIJIWEZA KWA YOTE. wakubwa watanielewa.
 
Aisee
Ana kweli amelaaniwa amtegemeae mwanadamunna moyoni mwake amemwacha Mungu!
 
Back
Top Bottom