Yanayoendelea Wilayani Hai ni mkakati maalum

Yanayoendelea Wilayani Hai ni mkakati maalum

YANAYOENDELEA WILAYA YA HAI NI MKAKATI MAALUMU UMEPANGWA

Kwanza Niseme Jambo Moja Mliopo Nje Ya Wilaya Ya Hai Hamjui Kinachoendelea Huku Haya Masuala Naomba Mzingumze Kisiasa Sisi Wananchi Tunaoishi Hai Ndio Tunajua Chanzo Ni Nini kuhusu Yanayoendelea Na Nitoe Pongezi Zangu Sana Kwa DC Sabaya Kuisimama Wilaya Hii Kwa Weledi Mkubwa Sana Na Hai Ilivyo Sana Sio Ya Zamani .

Nianze Kwa Kusema Yafuatayo :

Cartbert Swai Mmiliki Wa Weruweru Lodge Mshirika Na Mfuasi Mkubwa Sana Wa Mwenyekiti Wa Chadema Freeman Aikaeli Mbowe Ambapo Ndugu Swai Ana Tuhuma Za Kuwatapeli Watumishi Wake Na Kuwarusha Mishahara Yao , Nimeona Amejirokodi Akiwa Kwenye Shamba Moja Akitoa Tuhuma Dhidi Ya Mkuu Wa Wilaya Ya Hai Ndugu Lengai Ole Sabaya Kwa Kile Kinachodaiwa Kuwa Alimfukuza Mwekezaji Kwenye Shamba Hilo.

Kwanza Naomba Tujiulize Maswali Machache Yenye Tija Na Kufikirisha Kidogo.

• Kwanini Haya Yanatokea Sasa Kuna Mpango Gani Nyuma Ya Pazia?

• Kwanini Viongozi Waandamizi Wa Chadema Akiwemo Godbless Lema , Kumbusho Dowson ( Bavicha ) , Tom Mwaipaja Msemaji Wa Bavicha Ndio Wamekuwa Wanasambaza Hiyo Clip Video Kwenye Mitandao Ya Kijamii Kuna Nini Wanataka Kukilinda Na Kwa Malengo Gani , Je Ishu Ni Cartbert Au Ni Sabaya ?

• Je Kwanini Haya Yanaibuka Wakati Rais Wetu Mama Samia Suluhu Aliposema Anajeukia Mikoa Na Wilaya Kufanya Teuzi Mpya Ndio Kujirekodi Kumetokea Kwa Cartbert Swai Mwanachama Wa Chadema Na Mfanyabiashara Wa Hai ?

• Lema , Cartbert, Tom Mwaipaja Na Kumbusho Dowson Mbona Wakati Dc Sabaya Aliporudisha Kiwanja Chetu Sisi Waislamu Tulichodhulumiwa Sikuona Mmejirokodi Clip Video Angalau Kumpongeza ?

Katika Elimu Yangu Kidogo Katika Masuala Ya Uongozi Na Siasa Nimejifunza Kuhusu Nguvu Ya Baadhi Wafanyabiashara Kutumia Ushawishi ( Power Of Convince ) Kutimiza Malengo Yao Hasi Ili Kudominate Nguvu Ya Watawala Kubow Kwao Ndicho Kinachoendelea Wilaya Ya Hai Kwa DC Sabaya Kusimama Na Wananchi Maskini Na Wanyonge Waliodhulumiwa Mashamba Yao Na Hawa Kina Cartbert Swai Ili Kuendeleza Uharamia Wao Wa Kutokugusika.

Mintarafu Kwa Wale Ambao Hafahamu Sakata Hili Kwa Undani Ni Kwamba Mwenyekiti Wa Chadema Freeman Aikaeli Mbowe Alimuapia Dc Sabaya Atatumia Gharama Yeyote Kuhakikisha Kuwa Hai Haitatawalika Ndani Ya Kipindi Chake Kwahiyo Haya Yanayoendelea Kuibuka Kwa Sasa Ya Mfanyabiashara Ndugu Cartbert Ni Muendelezo Wa Kauli Ya Mbowe Kuwatumia Wafanyabiashara Hawa Kisiasa Ili Kutimiza Malengo Yao Baada Ya Kuona Wilaya Ya Hai Kwasasa Wizi , Ubadhirifu Sacco's Za Wananchi , Ukandamizwaji Wa Haki , Uporaji Wa Mashamba Umedhibitiwa Ndani Ya Hai Sasa Njia Ya Kurejesha Hayo Ni Kumtoa Kafara Dc Sabaya. ( Hizi Mbinu Zinatumika Sana Na Wanasiasa Wengi Wenye Nguvu Kama Mbowe)

Siasa Za Hai Zimetamalaki Na Umafia Mwingi Kwa Pande Zote Mbili Za Baadhi Ya Wafanyabiashara Na Wanasiasa Na Sio Nyepesi Hata Kidogo Na Ikumbukwe Jimbo La Hai Lilikuwa Chini Ya Kiongozi Ambaye Alikuwa Mwamba Wa Siasa Za Kaskazini Na Kiongozi Wa Kambi Rasmi Ya Upinzani Kwa Miaka Mingi Kwa Mantiki Hiyo Haitakuwa Jambo Jepesi Sana Kwa Kijana Mdogo Kama Dc Sabaya Kupambana Hii Vita Dhidi Ya Watu Hawa Hatari Kwenye Nchi Ambao Wapo Kufanya Chochote Ili Kulinda Maslahi Yao Binafsi.

Aghalabu Katika Taaluma Ya Uongozi Kuna Kitu Kinaitwa Good - Interest Na Selfishness Katika Kile Kinachofanywa Na Mfanyabiashara Huyu Na Mwanachama Wa Chadema Ndugu Cartbert Swai Hana Good Interest Na Maisha Ya Wananchi Maskini Na Wanyonge Wa Hai Bali Ana Selfishness ( Which is Moral Cancer ) Ya Kutaka Lengo Lake La Kuendelea Kujimilikisha Mashamba Ya Wananchi Wanyonge Kama Alivyomfanyia Mama Mjane Kwa Kumpora Kwa Kisingizio Kuwa Ana Mkakati Wa Kibiashara ( Business Plan ) Hili Ni La Kukemewa Na Wananchi Wote Kwa Nguvu Zote Ndio Kaliba Ya Baadhi Ya Wafanyabiashara Wasio Waaminifu Walikuwa Na Kauli " Serikali Nimeiweka Mfukoni" Hili Halimuitaji Dc Sabaya Peke Yake Linatuhitaji Sote Kama Wananchi Wenye Mapenzi Mema Na Nchi Yetu Ili Kumsaidia Pia Mama Yetu Rais Samia Suluhu Hassan.

Mosi Ndugu Cartbert Swai Nikushauri Kuwa Uongozi Wa Awamu Hii Sita Ya Sasa Sio Uongozi Wa Fitna , Majungu , Uzandiki Na Siasa Chafu (Dirty Politics) Ili Kufanya Defamation Ya Mtu Mwingine Ili Kujijenga Wewe Kibiashara Kwa Njia Zisizo Halali Bali Ni Uongozi Uoendeshwa Kwa Misingi Ya Haki , Ustawi , Demokrasia Ya Kweli Pasipo Kumuonea Mtu Yeyote Kwa Maslahi Mapana Ya Wananchi Na Taifa Letu Hivyo Kama Wewe , Godbless Lema, Kumbusho Dowson , Tom Mwaipaja Msemaji Wenu Wa Bavicha Mmetumia Mbinu Hizi Kuchafua Viongozi Wa Serikali Ili Kumpambania Mwenyekiti Wenu Freeman Aikaeli Mbowe Kwenye Nafasi Yake Ya Kisiasa Jimbo La Hai Hii Umefeli Brother Tafuta Njia Bora Ya Kushughulika Na Changamoto Zinapotokea Ili Kutafuta Njia Nzuri Na Bora Kufikia Maelewano Ya Pamoja { Memorandum Of Understanding)

Nihitimishe Kwa Kusema Wazi Wilaya Ya Hai Kulikuwa Na Umafia Mwingi Sana Ulifanyika Kwa Miaka Mingi Kwa Baadhi Ya Wafanyabiashara Sampuli Ya Cartbert Swai Ambaye Pia Miaka Karibuni Alikopa Kiasi Kikubwa Sana Cha Mkopo Toka Benk Ya CRDB Na Kushindwa Kulipa Na Ilipelekea Nyumba Yake Kupigwa Mnada Hadharani Kufidia Deni Hilo, Je Nikuulize Na Haya Dc Sabaya Anahusika? Ifike Mahali Siasa Na Biashara Tusichanganye Na Kuharibu Taswira Ya Viongozi Kwa Maslahi Yetu Binafsi .

Kazi Iendelee...

Wasaalamu:

Raia Mwema Toka Hai

Tukiacha hilo la Swai na Weruweru Lodge vipi kuhusu Sabaya kuvamia duka la mfanyabiashara Arusha,clip imeonyesha,nalo anasingiziwa? Vp kutokuwa na heshima kwa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,clip imeonyesha,nalo ni Fitina? Kwa kifupi mleta mada huna hoja,kajipange tena
 
Acha propaganda huyu mjinga ataishia pabaya kijana mdogo anafanya madudu akitegemea aliyemteua ambaye ni mwanadamu licha ya kuwa Rais katangulia mbele ya haki, na karma ipo ataishia pabaya ajiandae kwenda kuchunga ng'ombe na rubega lake uko umasaini
Dogo mimi siasa za uongozi Nitafanya mizaha kwingine, Dar, Morogoro, Tanga na sehemu ingine ya Tanzania, lakini ilifikia Hai huja kivingine na nakuwa tofauti sana. Hapo naangalia maslahi sahihi ya Hai,

Na hata uongozi ubadilike tayari wana Hai tunayo yard stick ya Hai inavyoweza kutulia, akiondoka Sabaya atakaye kuja tutamfundisha U- Sabaya wa kuendesha Hai.

Lazima nihakikishe mama Jerry anaishi kwa amani na utulivu akiwa Lyamungo au awe Uroki ama akiwa Uswaa.

Kumetulia mambo ya kijinga kijinga hayapo tena. Bodi ya Maji wezi, na wakaji milikisha Maji ya Machame, Ardhi wezi, Idara ya biashara wezi, mabwana Shamba hawa fanyi kazi, Mabwana Mifugo hovyo, ukidhulumiwa hapati haki, aaahaa tulichoswa.

Kumbe mama Grace anaweza kuishi vizuri na amani na sio mali yake imtese. Tulichoshwa.
 
Hata kabla mwendazake hajaenda zake Jehanami, kilichokuwa kinaendelea Hai ulikuwa ni mkakati Maalumu pia.

Sabaya is a Devil.
it's a matter of time the Devil will be hanged on the Cross
 
Dogo mimi siasa za uongozi Nitafanya mizaha kwingine, Dar, Morogoro, Tanga na sehemu ingine ya Tanzania, lakini ilifikia Hai huja kivingine na nakuwa tofauti sana. Hapo naangalia maslahi sahihi ya Hai,

Na hata uongozi ubadilike tayari wana Hai tunayo yard stick ya Hai inavyoweza kutulia, akiondoka Sabaya atakaye kuja tutamfundisha U- Sabaya wa kuendesha Hai.

Lazima nihakikishe mama Jerry anaishi kwa amani na utulivu akiwa Lyamungo au awe Uroki ama akiwa Uswaa.

Kumetulia mambo ya kijinga kijinga hayapo tena. Bodi ya Maji wezi, na wakati milikisha Maji ya Machame, Ardhi wezi, Idara ya biashara wezi, mabwana Shamba hawa fanya kazi, Mabwana Mifugo hovyo, ukidhulumiwa hapati haki, aaahaa tulichoswa.

Kumbe mama Grace anaweza kuishi vizuri na amani na sio mali yake imtese. Tulichoshwa.
Hai haihitaji wapumbavu walioletwa kukomoa watu, Hai existed before Tanganyika na haihitaji viingozi wapuuzi wasio na akili, na haitegemei huruma ya wajinga wajinga waliopelekwa kukomoa, itaendelea kuwepo licha ya hao wapuuzi kupita ka walivokuwa madictator uchwara walivopita.
 
Yeye anajua Hai iko vile kwa hisani ya serikali[emoji23][emoji23]
Akameulize Nyerere kule Butiama...
 
Yeye anajua Hai iko vile kwa hisani ya serikali[emoji23][emoji23]
Akameulize Nyerere kule Butiama...
Hai miaka yote haijawahi kusumbua ka huyo anavomtetea kibaka wake mbona watumishi hufanya kazi vizuri na Mambo mengine huenda vizuri, Tena huyo sabaya ndo kaenda kuvuruga na kuibia watu na kujeuri watu Hadi wamekuwa walemavu. Mimi nilitamani huyu kijana amfate mwendazake maana Wana miroho ya kufanana yenye uovu ndani yake
 
Hapo hai napajua vyema sana. Tuna vinasaba napo. Wako njema sana. Kiujumla tu klm haitegemei mbeleko za serikali. Sisi hatukuomba lami. Lami ndo zilitufuata sisi
 
Hai haihitaji wapumbavu walioletwa kukomoa watu, Hai existed before Tanganyika na haihitaji viingozi wapuuzi wasio na akili, na haitegemei huruma ya wajinga wajinga waliopelekwa kukomoa, itaendelea kuwepo licha ya hao wapuuzi kupita ka walivokuwa madictator uchwara walivopita.
Hai iliyo kuwepo kipindi cha Zamani sana ilitupa usawi, ikaja kuwa tofauti sana 2007 - 2015. Na ndio Hai hiyo tunayo ipigia kelele.

Wamachame ni watukutu kwa asili yetu, ukipata kiongozi zembe zembe hauto iweza Hai. Sasa kumbe kipimo tunacho. Na nyinyi ambao mnapiga kelele mitandaoni tunawashangaa sana, kuna mabaliko Hai kijamii, unakaa miaka miwili husika I Bunduki.

Kuna wananchi wanadhani kumbe Hai bila Mbowe ni Hai nzuri sana.
Hao wanao onewa wengine ni wajomba zetu lakini ndio wako mbele kudhulumu wazee. Aaahaa wache wazazi wetu waishi kwa amani.

Hapa wakati nakujibu nimepata simu zaidi ya kumi kunipongeza, kwa kawaida mimi hujibu mara moja na kuondoka, lakini sio suala linalo husu Hai au mama Grace nitatapika ukweli.
 
Hai iliyo kuwepo kipindi cha Zamani sana ilitupa usawi, ikaja kuwa tofauti sana 2007 - 2015. Na ndio Hai hiyo tunayo ipigia kelele.

Wamachame ni watukutu kwa asili yetu, ukipata kiongozi zembe zembe hauto iweza Hai. Sasa kumbe kipimo tunacho. Na nyinyi mbao piga kelele mitandaoni tunawashangaa sana sivyo Hai ilivyo sasa.

Kuna wananchi wanadhani kumbe Hai bila Mbowe ni Hai nzuri sana.
Hao wanao onewa wengine ni wajomba zetu lakini ndio wako mbele kudhulumu wazee. Aaahaa wache wazazi wetu waishi kwa amani.

Hapa nakujibu nimepata simu zaidi ya kumi kunipongeza, kwa kawaida mimi hujibu mara moja na kuondoka, lakini sio suala linalo husu Hai au mama Grace nitatapika ukweli.
Hai haihangaikagi na wajinga watu huwa wako busy mno, Hai haijengwi na wakuja Tena wachunga ng'ombe watu ni timamu tangu enzi, hyo ya utukutu ilikuwa ni ujinga na mawazo ya huyo jizi mchunga ng'ombe aliyeletwa na huyo shetani mtu aliyetangulia huko ahera.
Watu kule ni wastaarabu na ndio maana huyo mjinga akapata hata sehemu za kuwa ibia watu wa janja hela zake maana ni watu wenye akili. Aliye mweka hayupo Sasa ajifanye kunyanyua hizo pembe zake aone sasa
 
Hapo hai napajua vyema sana. Tuna vinasaba napo. Wako njema sana. Kiujumla tu klm haitegemei mbeleko za serikali. Sisi hatukuomba lami. Lami ndo zilitufuata sisi
Watu kule huwa wako busy na hawaitaji ubwabwa na kanga za ccm ili wa survive ka huyo anayejifanya mjanja
 
Mbona kachelewa kukutuma mwambie upepo umegeuka Bi mkubwa na wasaidizi wake wanapanga safu mpya ya Wakuu wa Wilaya na Mikoa.
🙏🙏🙏Sawa mkuu habari itamfikia
 
Tukiacha hilo la Swai na Weruweru Lodge vipi kuhusu Sabaya kuvamia duka la mfanyabiashara Arusha,clip imeonyesha,nalo anasingiziwa? Vp kutokuwa na heshima kwa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,clip imeonyesha,nalo ni Fitina? Kwa kifupi mleta mada huna hoja,kajipange tena
🙏🙏🙏 Sawa mkuu ngoja nikatengeneze hoja tena
 
Hahahaaa

Nguchiro wa Sabaya just like all other Nguchiros

Ongea mpaka kesho,Sabaya is a killer,bad for business

Aondoke kutoa hizi polarizations,he is a known bad leader..let him go!

Analalamikiwa na nchi nzima

Nendeni zenu huko maiti nyie nyote
Duh kazi ipo aisee
 
Hai haihangaikagi na wajinga watu huwa wako busy mno, Hai haijengwi na wakuja Tena wachunga ng'ombe watu ni timamu tangu enzi, hyo ya utukutu ilikuwa ni ujinga na mawazo ya huyo jizi mchunga ng'ombe aliyeletwa na huyo shetani mtu aliyetangulia huko ahera.
Watu kule ni wastaarabu na ndio maana huyo mjinga akapata hata sehemu za kuwa ibia watu wa janja hela zake maana ni watu wenye akili. Aliye mweka hayupo Sasa ajifanye kunyanyua hizo pembe zake aone sasa
Hata sikuelewi, naona unapiga kelele au mtu wa Sumbawanga anazungumzia Hai ambayo wazee wetu wanaishi. Mmachame siku zote ni mjanja na mwerevu na mvumilivu na anajituma.

Lakini sijui kilipita kirusi gani all vices fell in place in Machame, to make it worse in both leadership, the district government leadership , the elected leadership. Things never went right the way we people expected. Nidhamu ya uongozi ilibadilika sana. Siku hizi DC anafuatilia malipo ya wastaafu, ajabu.

It is not necessarily to have Sabaya as DC, but we need his style of leadership in many areas like, security, and all matters to do public in general.
We welcome the change of face but not leadership style.
 
sabaya ni jambazi la kutumia silaha. kavamia duka la waarabu arusha na kapora hela. sabaya kwake ni jela.
 
Hata sikuelewi, naona unapiga kelele au mtu wa Sumbawanga anazungumzia Hai ambayo wazee wetu wanaishi. Mmachame siku zote ni mjanja na mwerevu na mvumilivu na anajituma.

Lakini sijui kilipita kirusi gani all vices fell in place in Machame, to make it worse in both leadership, the district government leadership , the elected leadership. Things never went right the way we people expected. Nidhamu ya uongozi ilibadilika sana. Siku hizi DC anafuatilia malipo ya wastaafu, ajabu.

It is not necessarily to have Sabaya as DC, but we need his style of leadership in many areas like, security, and all matters to do public in general.
We welcome the change of face but not leadership style.
Dah Sabaya kazi anayo
 
Hatutaki viongoz wezi na vibaka ka huyo sabaya anayetesa na kuvunja watu viungo ili kumfuraisha aliye mteua, anaenda kwa wafanyabiashara na kuchukua hela zao kinguvu kwa kutumia kivuli Cha aliye mteua kukomoa watu na kuibia watu hivi anajua hata biashara inahitaji Nini?
Huyo hata akiachwa karma iko naye itamfunza tu, ulimwengu utamfundisha, Yuko wapi bashite aliyekuwa jeuri na ambaye alikuwa untouchable kuanzia kwa waziri mkuu had makamu wa Rais, Sasa hivi kasahaulika anaishi tu kwa wasiwasi
 
Back
Top Bottom