Yanayoendelea Wilayani Hai ni mkakati maalum

Wewe sio mwananchi wa Hai, labda mana Hai ya JF. Mna kazi sana ya kumuondoa Sabaya Hai. Bi mkubwa wangu ananiambia hajawahi kuona Mkuu wa Wilaya bora kama Sabaya kwa maisha yake ya miaka 71 Mungu aliyomjalia. Na mzazi wangu ameishi ndani na nje ya nchi hii, na amekuwa mtumishi kwa ngazi ya heshima na amestafuu mwaka 2009 na kurudi Hai / Lyamungo Sinde.

Anashangaa Hai / Lyamungo Sinde imekuwa kama pepo, hakuna ujambazi wala wizi wa kijinga kijinga hata dhulma za wazi wazi.

Na kama ni chama basi huwataki chama na huwamtaki Mbowe Kama maisha yatabaki kutulia na usalama kama yalivyo leo.

Sio Sabaya ni wananchi wakazi wa Hai ndio hawamtaki Mbowe.

Wapo tayari mwanachadema mwingine agombee ambaye atawasikiliza na sio Mbowe. Na hata uchaguzi ufanye mara kumi Mbowe hawezi tena kuwa Mbunge hawamtaki.

Kama Mbowe hutundika kote tuu wamchague, basi sasa hivi hilo koti lake na dharau zake sasa hivi wamezichoka. ()Maneno ya wana Hai)

NA YEYE MBOWE ANALIJUWA VIZURI HILO, HATA APITISHWE NA CHADEMA MARA MIA MBOWE HAWEZI KUUKUBALI UTEUZI HUO.

NA WANA HAI WAMEOMBA KIBALI CHA KUANDAMANA JUMATATU KUMUUNGA MKONO DC WAO.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi Maghembe huwa ni wasambaa vile eh? Kaa kwa kutulia. Kwamba ndo itasaidia nini?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi naona mtu kuweka evidence za uchafu wa kiongozi ni haki yake Ili kama hafai aondolewe.
Hivi ile clip inayo-trend ya ujambazi hotelin alivyovamia akiwa na land cruiser ya utalii utasema yule sio Sabaya alisingiziwa?
Hivi alivyomvamia diwani wa sombetini tena nje ya territory yake utasema amesingiziwa?
Kama umetumwa kumsafisha mtu kisa umeona za mwizi 40 zimekaribia wewe sema tu Ndugu.
 
Ni vizuri tusikie pande zote. Umafia wa raia wenzetu upo sana tena sana
 
YANAYOENDELEA WILAYA YA HAI NI MKAKATI MAALUMU UMEPANGWA

Kwanza Niseme Jambo Moja Mliopo Nje Ya Wilaya Ya Hai Hamjui Kinachoendelea Huku Haya Masuala Naomba Mzingumze Kisiasa Sisi Wananchi Tunaoishi Hai Ndio Tunajua Chanzo Ni Nini kuhusu Yanayoendelea Na Nitoe Pongezi Zangu Sana Kwa DC Sabaya Kuisimama Wilaya Hii Kwa Weledi Mkubwa Sana Na Hai Ilivyo Sana Sio Ya Zamani .

Nianze Kwa Kusema Yafuatayo :

Cartbert Swai Mmiliki Wa Weruweru Lodge Mshirika Na Mfuasi Mkubwa Sana Wa Mwenyekiti Wa Chadema Freeman Aikaeli Mbowe Ambapo Ndugu Swai Ana Tuhuma Za Kuwatapeli Watumishi Wake Na Kuwarusha Mishahara Yao , Nimeona Amejirokodi Akiwa Kwenye Shamba Moja Akitoa Tuhuma Dhidi Ya Mkuu Wa Wilaya Ya Hai Ndugu Lengai Ole Sabaya Kwa Kile Kinachodaiwa Kuwa Alimfukuza Mwekezaji Kwenye Shamba Hilo.

Kwanza Naomba Tujiulize Maswali Machache Yenye Tija Na Kufikirisha Kidogo.

• Kwanini Haya Yanatokea Sasa Kuna Mpango Gani Nyuma Ya Pazia?

• Kwanini Viongozi Waandamizi Wa Chadema Akiwemo Godbless Lema , Kumbusho Dowson ( Bavicha ) , Tom Mwaipaja Msemaji Wa Bavicha Ndio Wamekuwa Wanasambaza Hiyo Clip Video Kwenye Mitandao Ya Kijamii Kuna Nini Wanataka Kukilinda Na Kwa Malengo Gani , Je Ishu Ni Cartbert Au Ni Sabaya ?

• Je Kwanini Haya Yanaibuka Wakati Rais Wetu Mama Samia Suluhu Aliposema Anajeukia Mikoa Na Wilaya Kufanya Teuzi Mpya Ndio Kujirekodi Kumetokea Kwa Cartbert Swai Mwanachama Wa Chadema Na Mfanyabiashara Wa Hai ?

• Lema , Cartbert, Tom Mwaipaja Na Kumbusho Dowson Mbona Wakati Dc Sabaya Aliporudisha Kiwanja Chetu Sisi Waislamu Tulichodhulumiwa Sikuona Mmejirokodi Clip Video Angalau Kumpongeza ?

Katika Elimu Yangu Kidogo Katika Masuala Ya Uongozi Na Siasa Nimejifunza Kuhusu Nguvu Ya Baadhi Wafanyabiashara Kutumia Ushawishi ( Power Of Convince ) Kutimiza Malengo Yao Hasi Ili Kudominate Nguvu Ya Watawala Kubow Kwao Ndicho Kinachoendelea Wilaya Ya Hai Kwa DC Sabaya Kusimama Na Wananchi Maskini Na Wanyonge Waliodhulumiwa Mashamba Yao Na Hawa Kina Cartbert Swai Ili Kuendeleza Uharamia Wao Wa Kutokugusika.

Mintarafu Kwa Wale Ambao Hafahamu Sakata Hili Kwa Undani Ni Kwamba Mwenyekiti Wa Chadema Freeman Aikaeli Mbowe Alimuapia Dc Sabaya Atatumia Gharama Yeyote Kuhakikisha Kuwa Hai Haitatawalika Ndani Ya Kipindi Chake Kwahiyo Haya Yanayoendelea Kuibuka Kwa Sasa Ya Mfanyabiashara Ndugu Cartbert Ni Muendelezo Wa Kauli Ya Mbowe Kuwatumia Wafanyabiashara Hawa Kisiasa Ili Kutimiza Malengo Yao Baada Ya Kuona Wilaya Ya Hai Kwasasa Wizi , Ubadhirifu Sacco's Za Wananchi , Ukandamizwaji Wa Haki , Uporaji Wa Mashamba Umedhibitiwa Ndani Ya Hai Sasa Njia Ya Kurejesha Hayo Ni Kumtoa Kafara Dc Sabaya. ( Hizi Mbinu Zinatumika Sana Na Wanasiasa Wengi Wenye Nguvu Kama Mbowe)

Siasa Za Hai Zimetamalaki Na Umafia Mwingi Kwa Pande Zote Mbili Za Baadhi Ya Wafanyabiashara Na Wanasiasa Na Sio Nyepesi Hata Kidogo Na Ikumbukwe Jimbo La Hai Lilikuwa Chini Ya Kiongozi Ambaye Alikuwa Mwamba Wa Siasa Za Kaskazini Na Kiongozi Wa Kambi Rasmi Ya Upinzani Kwa Miaka Mingi Kwa Mantiki Hiyo Haitakuwa Jambo Jepesi Sana Kwa Kijana Mdogo Kama Dc Sabaya Kupambana Hii Vita Dhidi Ya Watu Hawa Hatari Kwenye Nchi Ambao Wapo Kufanya Chochote Ili Kulinda Maslahi Yao Binafsi.

Aghalabu Katika Taaluma Ya Uongozi Kuna Kitu Kinaitwa Good - Interest Na Selfishness Katika Kile Kinachofanywa Na Mfanyabiashara Huyu Na Mwanachama Wa Chadema Ndugu Cartbert Swai Hana Good Interest Na Maisha Ya Wananchi Maskini Na Wanyonge Wa Hai Bali Ana Selfishness ( Which is Moral Cancer ) Ya Kutaka Lengo Lake La Kuendelea Kujimilikisha Mashamba Ya Wananchi Wanyonge Kama Alivyomfanyia Mama Mjane Kwa Kumpora Kwa Kisingizio Kuwa Ana Mkakati Wa Kibiashara ( Business Plan ) Hili Ni La Kukemewa Na Wananchi Wote Kwa Nguvu Zote Ndio Kaliba Ya Baadhi Ya Wafanyabiashara Wasio Waaminifu Walikuwa Na Kauli " Serikali Nimeiweka Mfukoni" Hili Halimuitaji Dc Sabaya Peke Yake Linatuhitaji Sote Kama Wananchi Wenye Mapenzi Mema Na Nchi Yetu Ili Kumsaidia Pia Mama Yetu Rais Samia Suluhu Hassan.

Mosi Ndugu Cartbert Swai Nikushauri Kuwa Uongozi Wa Awamu Hii Sita Ya Sasa Sio Uongozi Wa Fitna , Majungu , Uzandiki Na Siasa Chafu (Dirty Politics) Ili Kufanya Defamation Ya Mtu Mwingine Ili Kujijenga Wewe Kibiashara Kwa Njia Zisizo Halali Bali Ni Uongozi Uoendeshwa Kwa Misingi Ya Haki , Ustawi , Demokrasia Ya Kweli Pasipo Kumuonea Mtu Yeyote Kwa Maslahi Mapana Ya Wananchi Na Taifa Letu Hivyo Kama Wewe , Godbless Lema, Kumbusho Dowson , Tom Mwaipaja Msemaji Wenu Wa Bavicha Mmetumia Mbinu Hizi Kuchafua Viongozi Wa Serikali Ili Kumpambania Mwenyekiti Wenu Freeman Aikaeli Mbowe Kwenye Nafasi Yake Ya Kisiasa Jimbo La Hai Hii Umefeli Brother Tafuta Njia Bora Ya Kushughulika Na Changamoto Zinapotokea Ili Kutafuta Njia Nzuri Na Bora Kufikia Maelewano Ya Pamoja { Memorandum Of Understanding)

Nihitimishe Kwa Kusema Wazi Wilaya Ya Hai Kulikuwa Na Umafia Mwingi Sana Ulifanyika Kwa Miaka Mingi Kwa Baadhi Ya Wafanyabiashara Sampuli Ya Cartbert Swai Ambaye Pia Miaka Karibuni Alikopa Kiasi Kikubwa Sana Cha Mkopo Toka Benk Ya CRDB Na Kushindwa Kulipa Na Ilipelekea Nyumba Yake Kupigwa Mnada Hadharani Kufidia Deni Hilo, Je Nikuulize Na Haya Dc Sabaya Anahusika? Ifike Mahali Siasa Na Biashara Tusichanganye Na Kuharibu Taswira Ya Viongozi Kwa Maslahi Yetu Binafsi .

Kazi Iendelee...

Wasaalamu:

Raia Mwema Toka Hai
Kama ni kutumwa basi na wewe umetumwa. kama wewe umekubali kutumwa kwanini unawalaumu wengine waliotumwa? Wivu au nini?
 
Mimi naona mtu kuweka evidence za uchafu wa kiongozi ni haki yake Ili kama hafai aondolewe.
Hivi ile clip inayo-trend ya ujambazi hotelin alivyovamia akiwa na land cruiser ya utalii utasema yule sio Sabaya alisingiziwa?
Hivi alivyomvamia diwani wa sombetini tena nje ya territory yake utasema amesingiziwa?
Kama umetumwa kumsafisha mtu kisa umeona za mwizi 40 zimekaribia wewe sema tu Ndugu.
Dah kweli mkuu Sabaya anayo kazi
 
Nani aliye mzungumzia Mbowe!
Tatizo ni wizi wa sabaya au tatizo ni umri aliyoishi huyo Mama yako?
Wewe ni wa kupuuzwa kama sabaya huna lolote!
Mwana Nchi wa Hai anakuwaje!???
Nikisikiliza au nikiona comments za humu JF najuwa mara moja huyu ni mwana Hai au msumbufu fulani hivi. Sabaya wana Hai wanaoshi Hai wamemkubali, na hawamwiti DC wanamwita kijana wetu, kina mama na kina baba wa kimachame wameji milikisha Sabaya.

Haya maneno ya kutunga yatafikia mwisho. Kwa sababu tuu ya anakotokea na pride yetu hatuwezi kumpa Ubunge kutawaliwa na mageni kwa kumchagua, lakini kwa hali ya utulivu na kutamalaki kwa amani Hai akigombea ubunge na Mbowe tutampa Sabaya.

Ongea na wana Hai huko Machame utajuwa Sabaya anachukuliwa vipi huko. Kurudisha heshima ya wazazi wetu kwa kurudisha haki na kuondoa uonevu pamoja na uwajibikaji wa utumishi wa umma Wilayani . ( maisha ya kibabe )

Waliofaidika na siasa chafu za kale ndio wanapata matatizo na kumuona Sabaya hafai. Haya ni maneno ya kutunga. Sabaya kama binadamu anão upungufu hasa anapo washugulikia wakosefu lakini wakazi wanankubali.

MAMA SAMIA TUACHIE SABAYA WETU HAI.
 
😀😀😀😀😀😀😀😀 hasafishiki huyo!
Ni suala la muda tu.....
 
Acha uongo wa kutetea mvovu wewe
 
🙏🙏🙏 Dah kwahiyo wana hai ni kawaida kujivunia Sabaya
 
Sabaya nikuambie kitu, hakuna atayejisumbua kusoma bandiko hili mpaka mwisho. Wewe jiandae kuwajibika, mtesi mkubwa wewe! Samia akikuacha, ujue tutaendelea kumlilia Mungu. Majibu utayapata.
 
🙏🙏🙏
 
Nikisikiliza au nikiona comments za humu JF najuwa mara moja huyu ni mwana Hai au msumbufu fulani hivi. Sabaya wana Hai wanaoshi Hai wamemkubali, na hawamwiti DC wanamwita kijana wetu, kina mama na kina baba wa kimachame wameji milikisha Sabaya.

Haya maneno ya kutunga yatafikia mwisho. Kwa sababu tuu ya anakotokea na pride yetu hatuwezi kumpa Ubunge kutawaliwa na mageni kwa kumchagua, lakini kwa hali ya utulivu na kutamalaki kwa amani Hai akigombea ubunge na Mbowe tutampa Sabaya.

Ongea na wana Hai huko Machame utajuwa Sabaya anachukuliwa vipi huko. Kurudisha heshima ya wazazi wetu kwa kurudisha haki na kuondoa uonevu pamoja na uwajibikaji wa utumishi wa umma Wilayani . ( maisha ya kibabe )

Waliofaidika na siasa chafu za kale ndio wanapata matatizo na kumuona Sabaya hafai. Haya ni maneno ya kutunga. Sabaya kama binadamu anão upungufu hasa anapo washugulikia wakosefu lakini wakazi wanankubali.

MAMA SAMIA TUACHIE SABAYA WETU HAI.
Huu mwandiko wa mpumbavu Saabaya
Safarihii kiduku kinaenda kunyolewa kwa chupa gereza la Arusha kwa kesi ya utekaji ukitokea Hai kuingia Arusha Dc hili ulikwepi
 
YANAYOENDELEA WILAYA YA HAI NI MKAKATI MAALUMU UMEPANGWA

Kwanza Niseme Jambo Moja Mliopo Nje Ya Wilaya Ya Hai Hamjui Kinachoendelea Huku Haya Masuala Naomba Mzingumze Kisiasa Sisi Wananchi Tunaoishi Hai Ndio Tunajua Chanzo Ni Nini kuhusu Yanayoendelea Na Nitoe Pongezi Zangu Sana Kwa DC Sabaya Kuisimama Wilaya Hii Kwa Weledi Mkubwa Sana Na Hai Ilivyo Sana Sio Ya Zamani .

Nianze Kwa Kusema Yafuatayo :

Cartbert Swai Mmiliki Wa Weruweru Lodge Mshirika Na Mfuasi Mkubwa Sana Wa Mwenyekiti Wa Chadema Freeman Aikaeli Mbowe Ambapo Ndugu Swai Ana Tuhuma Za Kuwatapeli Watumishi Wake Na Kuwarusha Mishahara Yao , Nimeona Amejirokodi Akiwa Kwenye Shamba Moja Akitoa Tuhuma Dhidi Ya Mkuu Wa Wilaya Ya Hai Ndugu Lengai Ole Sabaya Kwa Kile Kinachodaiwa Kuwa Alimfukuza Mwekezaji Kwenye Shamba Hilo.

Kwanza Naomba Tujiulize Maswali Machache Yenye Tija Na Kufikirisha Kidogo.

• Kwanini Haya Yanatokea Sasa Kuna Mpango Gani Nyuma Ya Pazia?

• Kwanini Viongozi Waandamizi Wa Chadema Akiwemo Godbless Lema , Kumbusho Dowson ( Bavicha ) , Tom Mwaipaja Msemaji Wa Bavicha Ndio Wamekuwa Wanasambaza Hiyo Clip Video Kwenye Mitandao Ya Kijamii Kuna Nini Wanataka Kukilinda Na Kwa Malengo Gani , Je Ishu Ni Cartbert Au Ni Sabaya ?

• Je Kwanini Haya Yanaibuka Wakati Rais Wetu Mama Samia Suluhu Aliposema Anajeukia Mikoa Na Wilaya Kufanya Teuzi Mpya Ndio Kujirekodi Kumetokea Kwa Cartbert Swai Mwanachama Wa Chadema Na Mfanyabiashara Wa Hai ?

• Lema , Cartbert, Tom Mwaipaja Na Kumbusho Dowson Mbona Wakati Dc Sabaya Aliporudisha Kiwanja Chetu Sisi Waislamu Tulichodhulumiwa Sikuona Mmejirokodi Clip Video Angalau Kumpongeza ?

Katika Elimu Yangu Kidogo Katika Masuala Ya Uongozi Na Siasa Nimejifunza Kuhusu Nguvu Ya Baadhi Wafanyabiashara Kutumia Ushawishi ( Power Of Convince ) Kutimiza Malengo Yao Hasi Ili Kudominate Nguvu Ya Watawala Kubow Kwao Ndicho Kinachoendelea Wilaya Ya Hai Kwa DC Sabaya Kusimama Na Wananchi Maskini Na Wanyonge Waliodhulumiwa Mashamba Yao Na Hawa Kina Cartbert Swai Ili Kuendeleza Uharamia Wao Wa Kutokugusika.

Mintarafu Kwa Wale Ambao Hafahamu Sakata Hili Kwa Undani Ni Kwamba Mwenyekiti Wa Chadema Freeman Aikaeli Mbowe Alimuapia Dc Sabaya Atatumia Gharama Yeyote Kuhakikisha Kuwa Hai Haitatawalika Ndani Ya Kipindi Chake Kwahiyo Haya Yanayoendelea Kuibuka Kwa Sasa Ya Mfanyabiashara Ndugu Cartbert Ni Muendelezo Wa Kauli Ya Mbowe Kuwatumia Wafanyabiashara Hawa Kisiasa Ili Kutimiza Malengo Yao Baada Ya Kuona Wilaya Ya Hai Kwasasa Wizi , Ubadhirifu Sacco's Za Wananchi , Ukandamizwaji Wa Haki , Uporaji Wa Mashamba Umedhibitiwa Ndani Ya Hai Sasa Njia Ya Kurejesha Hayo Ni Kumtoa Kafara Dc Sabaya. ( Hizi Mbinu Zinatumika Sana Na Wanasiasa Wengi Wenye Nguvu Kama Mbowe)

Siasa Za Hai Zimetamalaki Na Umafia Mwingi Kwa Pande Zote Mbili Za Baadhi Ya Wafanyabiashara Na Wanasiasa Na Sio Nyepesi Hata Kidogo Na Ikumbukwe Jimbo La Hai Lilikuwa Chini Ya Kiongozi Ambaye Alikuwa Mwamba Wa Siasa Za Kaskazini Na Kiongozi Wa Kambi Rasmi Ya Upinzani Kwa Miaka Mingi Kwa Mantiki Hiyo Haitakuwa Jambo Jepesi Sana Kwa Kijana Mdogo Kama Dc Sabaya Kupambana Hii Vita Dhidi Ya Watu Hawa Hatari Kwenye Nchi Ambao Wapo Kufanya Chochote Ili Kulinda Maslahi Yao Binafsi.

Aghalabu Katika Taaluma Ya Uongozi Kuna Kitu Kinaitwa Good - Interest Na Selfishness Katika Kile Kinachofanywa Na Mfanyabiashara Huyu Na Mwanachama Wa Chadema Ndugu Cartbert Swai Hana Good Interest Na Maisha Ya Wananchi Maskini Na Wanyonge Wa Hai Bali Ana Selfishness ( Which is Moral Cancer ) Ya Kutaka Lengo Lake La Kuendelea Kujimilikisha Mashamba Ya Wananchi Wanyonge Kama Alivyomfanyia Mama Mjane Kwa Kumpora Kwa Kisingizio Kuwa Ana Mkakati Wa Kibiashara ( Business Plan ) Hili Ni La Kukemewa Na Wananchi Wote Kwa Nguvu Zote Ndio Kaliba Ya Baadhi Ya Wafanyabiashara Wasio Waaminifu Walikuwa Na Kauli " Serikali Nimeiweka Mfukoni" Hili Halimuitaji Dc Sabaya Peke Yake Linatuhitaji Sote Kama Wananchi Wenye Mapenzi Mema Na Nchi Yetu Ili Kumsaidia Pia Mama Yetu Rais Samia Suluhu Hassan.

Mosi Ndugu Cartbert Swai Nikushauri Kuwa Uongozi Wa Awamu Hii Sita Ya Sasa Sio Uongozi Wa Fitna , Majungu , Uzandiki Na Siasa Chafu (Dirty Politics) Ili Kufanya Defamation Ya Mtu Mwingine Ili Kujijenga Wewe Kibiashara Kwa Njia Zisizo Halali Bali Ni Uongozi Uoendeshwa Kwa Misingi Ya Haki , Ustawi , Demokrasia Ya Kweli Pasipo Kumuonea Mtu Yeyote Kwa Maslahi Mapana Ya Wananchi Na Taifa Letu Hivyo Kama Wewe , Godbless Lema, Kumbusho Dowson , Tom Mwaipaja Msemaji Wenu Wa Bavicha Mmetumia Mbinu Hizi Kuchafua Viongozi Wa Serikali Ili Kumpambania Mwenyekiti Wenu Freeman Aikaeli Mbowe Kwenye Nafasi Yake Ya Kisiasa Jimbo La Hai Hii Umefeli Brother Tafuta Njia Bora Ya Kushughulika Na Changamoto Zinapotokea Ili Kutafuta Njia Nzuri Na Bora Kufikia Maelewano Ya Pamoja { Memorandum Of Understanding)

Nihitimishe Kwa Kusema Wazi Wilaya Ya Hai Kulikuwa Na Umafia Mwingi Sana Ulifanyika Kwa Miaka Mingi Kwa Baadhi Ya Wafanyabiashara Sampuli Ya Cartbert Swai Ambaye Pia Miaka Karibuni Alikopa Kiasi Kikubwa Sana Cha Mkopo Toka Benk Ya CRDB Na Kushindwa Kulipa Na Ilipelekea Nyumba Yake Kupigwa Mnada Hadharani Kufidia Deni Hilo, Je Nikuulize Na Haya Dc Sabaya Anahusika? Ifike Mahali Siasa Na Biashara Tusichanganye Na Kuharibu Taswira Ya Viongozi Kwa Maslahi Yetu Binafsi .

Kazi Iendelee...

Wasaalamu:

Raia Mwema Toka Hai
Pumbafu
 
Back
Top Bottom