Yanayoendelea Wilayani Hai ni mkakati maalum

Hivi Sabaya alikulipa kiasi gani ili is file upuuzi kama huu hapa jamvini? 😳😳😳
YANAYOENDELEA WILAYA YA HAI NI MKAKATI MAALUMU UMEPANGWA

Kwanza Niseme Jambo Moja Mliopo Nje Ya Wilaya Ya Hai Hamjui Kinachoendelea Huku Haya Masuala Naomba Mzingumze Kisiasa Sisi Wananchi Tunaoishi Hai Ndio Tunajua Chanzo Ni Nini kuhusu Yanayoendelea Na Nitoe Pongezi Zangu Sana Kwa DC Sabaya Kuisimama Wilaya Hii Kwa Weledi Mkubwa Sana Na Hai Ilivyo Sana Sio Ya Zamani .

Nianze Kwa Kusema Yafuatayo :

Cartbert Swai Mmiliki Wa Weruweru Lodge Mshirika Na Mfuasi Mkubwa Sana Wa Mwenyekiti Wa Chadema Freeman Aikaeli Mbowe Ambapo Ndugu Swai Ana Tuhuma Za Kuwatapeli Watumishi Wake Na Kuwarusha Mishahara Yao , Nimeona Amejirokodi Akiwa Kwenye Shamba Moja Akitoa Tuhuma Dhidi Ya Mkuu Wa Wilaya Ya Hai Ndugu Lengai Ole Sabaya Kwa Kile Kinachodaiwa Kuwa Alimfukuza Mwekezaji Kwenye Shamba Hilo.

Kwanza Naomba Tujiulize Maswali Machache Yenye Tija Na Kufikirisha Kidogo.

• Kwanini Haya Yanatokea Sasa Kuna Mpango Gani Nyuma Ya Pazia?

• Kwanini Viongozi Waandamizi Wa Chadema Akiwemo Godbless Lema , Kumbusho Dowson ( Bavicha ) , Tom Mwaipaja Msemaji Wa Bavicha Ndio Wamekuwa Wanasambaza Hiyo Clip Video Kwenye Mitandao Ya Kijamii Kuna Nini Wanataka Kukilinda Na Kwa Malengo Gani , Je Ishu Ni Cartbert Au Ni Sabaya ?

• Je Kwanini Haya Yanaibuka Wakati Rais Wetu Mama Samia Suluhu Aliposema Anajeukia Mikoa Na Wilaya Kufanya Teuzi Mpya Ndio Kujirekodi Kumetokea Kwa Cartbert Swai Mwanachama Wa Chadema Na Mfanyabiashara Wa Hai ?

• Lema , Cartbert, Tom Mwaipaja Na Kumbusho Dowson Mbona Wakati Dc Sabaya Aliporudisha Kiwanja Chetu Sisi Waislamu Tulichodhulumiwa Sikuona Mmejirokodi Clip Video Angalau Kumpongeza ?

Katika Elimu Yangu Kidogo Katika Masuala Ya Uongozi Na Siasa Nimejifunza Kuhusu Nguvu Ya Baadhi Wafanyabiashara Kutumia Ushawishi ( Power Of Convince ) Kutimiza Malengo Yao Hasi Ili Kudominate Nguvu Ya Watawala Kubow Kwao Ndicho Kinachoendelea Wilaya Ya Hai Kwa DC Sabaya Kusimama Na Wananchi Maskini Na Wanyonge Waliodhulumiwa Mashamba Yao Na Hawa Kina Cartbert Swai Ili Kuendeleza Uharamia Wao Wa Kutokugusika.

Mintarafu Kwa Wale Ambao Hafahamu Sakata Hili Kwa Undani Ni Kwamba Mwenyekiti Wa Chadema Freeman Aikaeli Mbowe Alimuapia Dc Sabaya Atatumia Gharama Yeyote Kuhakikisha Kuwa Hai Haitatawalika Ndani Ya Kipindi Chake Kwahiyo Haya Yanayoendelea Kuibuka Kwa Sasa Ya Mfanyabiashara Ndugu Cartbert Ni Muendelezo Wa Kauli Ya Mbowe Kuwatumia Wafanyabiashara Hawa Kisiasa Ili Kutimiza Malengo Yao Baada Ya Kuona Wilaya Ya Hai Kwasasa Wizi , Ubadhirifu Sacco's Za Wananchi , Ukandamizwaji Wa Haki , Uporaji Wa Mashamba Umedhibitiwa Ndani Ya Hai Sasa Njia Ya Kurejesha Hayo Ni Kumtoa Kafara Dc Sabaya. ( Hizi Mbinu Zinatumika Sana Na Wanasiasa Wengi Wenye Nguvu Kama Mbowe)

Siasa Za Hai Zimetamalaki Na Umafia Mwingi Kwa Pande Zote Mbili Za Baadhi Ya Wafanyabiashara Na Wanasiasa Na Sio Nyepesi Hata Kidogo Na Ikumbukwe Jimbo La Hai Lilikuwa Chini Ya Kiongozi Ambaye Alikuwa Mwamba Wa Siasa Za Kaskazini Na Kiongozi Wa Kambi Rasmi Ya Upinzani Kwa Miaka Mingi Kwa Mantiki Hiyo Haitakuwa Jambo Jepesi Sana Kwa Kijana Mdogo Kama Dc Sabaya Kupambana Hii Vita Dhidi Ya Watu Hawa Hatari Kwenye Nchi Ambao Wapo Kufanya Chochote Ili Kulinda Maslahi Yao Binafsi.

Aghalabu Katika Taaluma Ya Uongozi Kuna Kitu Kinaitwa Good - Interest Na Selfishness Katika Kile Kinachofanywa Na Mfanyabiashara Huyu Na Mwanachama Wa Chadema Ndugu Cartbert Swai Hana Good Interest Na Maisha Ya Wananchi Maskini Na Wanyonge Wa Hai Bali Ana Selfishness ( Which is Moral Cancer ) Ya Kutaka Lengo Lake La Kuendelea Kujimilikisha Mashamba Ya Wananchi Wanyonge Kama Alivyomfanyia Mama Mjane Kwa Kumpora Kwa Kisingizio Kuwa Ana Mkakati Wa Kibiashara ( Business Plan ) Hili Ni La Kukemewa Na Wananchi Wote Kwa Nguvu Zote Ndio Kaliba Ya Baadhi Ya Wafanyabiashara Wasio Waaminifu Walikuwa Na Kauli " Serikali Nimeiweka Mfukoni" Hili Halimuitaji Dc Sabaya Peke Yake Linatuhitaji Sote Kama Wananchi Wenye Mapenzi Mema Na Nchi Yetu Ili Kumsaidia Pia Mama Yetu Rais Samia Suluhu Hassan.

Mosi Ndugu Cartbert Swai Nikushauri Kuwa Uongozi Wa Awamu Hii Sita Ya Sasa Sio Uongozi Wa Fitna , Majungu , Uzandiki Na Siasa Chafu (Dirty Politics) Ili Kufanya Defamation Ya Mtu Mwingine Ili Kujijenga Wewe Kibiashara Kwa Njia Zisizo Halali Bali Ni Uongozi Uoendeshwa Kwa Misingi Ya Haki , Ustawi , Demokrasia Ya Kweli Pasipo Kumuonea Mtu Yeyote Kwa Maslahi Mapana Ya Wananchi Na Taifa Letu Hivyo Kama Wewe , Godbless Lema, Kumbusho Dowson , Tom Mwaipaja Msemaji Wenu Wa Bavicha Mmetumia Mbinu Hizi Kuchafua Viongozi Wa Serikali Ili Kumpambania Mwenyekiti Wenu Freeman Aikaeli Mbowe Kwenye Nafasi Yake Ya Kisiasa Jimbo La Hai Hii Umefeli Brother Tafuta Njia Bora Ya Kushughulika Na Changamoto Zinapotokea Ili Kutafuta Njia Nzuri Na Bora Kufikia Maelewano Ya Pamoja { Memorandum Of Understanding)

Nihitimishe Kwa Kusema Wazi Wilaya Ya Hai Kulikuwa Na Umafia Mwingi Sana Ulifanyika Kwa Miaka Mingi Kwa Baadhi Ya Wafanyabiashara Sampuli Ya Cartbert Swai Ambaye Pia Miaka Karibuni Alikopa Kiasi Kikubwa Sana Cha Mkopo Toka Benk Ya CRDB Na Kushindwa Kulipa Na Ilipelekea Nyumba Yake Kupigwa Mnada Hadharani Kufidia Deni Hilo, Je Nikuulize Na Haya Dc Sabaya Anahusika? Ifike Mahali Siasa Na Biashara Tusichanganye Na Kuharibu Taswira Ya Viongozi Kwa Maslahi Yetu Binafsi .

Kazi Iendelee...

Wasaalamu:

Raia Mwema Toka Hai
 
Wewe siyo Raia mwema tokea Hai bali ni shetani tokea hapo Hai utetezi wako haramu ni wa kishetani huyo Sabaya hasafishiki hata mje na utetezi tokea wapi, hizo propaganda zenu za kijinga bakieni nazo huko kwa wavuta Bangi lakini kwa watanzania wenye Akili timamu hawawezi kukaa kusoma ujinga wako huu ulioujaza humu
 
Umetumwa si bure ht kumaliza kusoma tu nmeona kichefuchefu, Huyo DC hasafishiki hata kwa Magadi
Mleta mada atakuwa anavuta Bangi gheto kwa Cyprian Musiba kwani utetezi wake kwa sabaya ni wa kijuha sana
 
Mwanangu, tuchukulie kuwa unayosema ni ukweli. Je kesho akikamatwa Bashite utasema haya haya au nawe una namna? Kama ameonewa , mahakama zipo zitamsafisha mwanangu.
 
pumba tupu
 
Haya ni maneno tu,hata kwenye kanga yapo,umeongea porojo nyingi,lakini hakuna ushahidi wowote,dogo kuwa makini usitumike kama spin doctor,
 
Wewe ni mke wa sabaya au mshika mapembe acha uzembe serikali nayo imemuenea??nenda KISONGO KAMPELEKEE MUMEO CHAI
 
Naomba kujua. Kwa mujibu wa KESI alizofunguluwa Mabaya, nyingi ni za Arusha na Si Hao. Nafikiri jaribu boi Angalia hizo tuhuma na enda mpo zikiongezwa na hz za mitandaoni itakuwa balaa kubwa
 
Mfuate shujaa wako Kisongo. Usishangae ukimkuta anashanga
 
Wewe siyo Raia mwema tokea Hai bali ni shetani tokea hapo Hai utetezi wako haramu ni wa kishetani huyo Sabaya hasafishiki hata mje na utetezi tokea wapi, hizo propaganda zenu za kijinga bakieni nazo huko kwa wavuta Bangi lakini kwa watanzania wenye Akili timamu hawawezi kukaa kusoma ujinga wako huu ulioujaza humu
Pole pole mkuu hivi aliyo yafanya Sabaya hao wengine hawakuwepo?
 
Wewe ni mke wa sabaya au mshika mapembe acha uzembe serikali nayo imemuenea??nenda KISONGO KAMPELEKEE MUMEO CHAI
Wanao mfunga unazani hawakuwepo kipindi Sabaya anafanya Hayo?
Unaelewa nini ukisikia siasa ni mchezo mchafu.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
YANAYOENDELEA WILAYA YA HAI NI MKAKATI MAALUMU UMEPANGWA

Kwanza Niseme Jambo Moja Mliopo Nje Ya Wilaya Ya Hai Hamjui Kinachoendelea Huku Haya Masuala Naomba Mzingumze Kisiasa Sisi Wananchi Tunaoishi Hai Ndio Tunajua Chanzo Ni Nini kuhusu Yanayoendelea Na Nitoe Pongezi Zangu Sana Kwa DC Sabaya Kuisimama Wilaya Hii Kwa Weledi Mkubwa Sana Na Hai Ilivyo Sana Sio Ya Zamani .

Nianze Kwa Kusema Yafuatayo :

Cartbert Swai Mmiliki Wa Weruweru Lodge Mshirika Na Mfuasi Mkubwa Sana Wa Mwenyekiti Wa Chadema Freeman Aikaeli Mbowe Ambapo Ndugu Swai Ana Tuhuma Za Kuwatapeli Watumishi Wake Na Kuwarusha Mishahara Yao , Nimeona Amejirokodi Akiwa Kwenye Shamba Moja Akitoa Tuhuma Dhidi Ya Mkuu Wa Wilaya Ya Hai Ndugu Lengai Ole Sabaya Kwa Kile Kinachodaiwa Kuwa Alimfukuza Mwekezaji Kwenye Shamba Hilo.

Kwanza Naomba Tujiulize Maswali Machache Yenye Tija Na Kufikirisha Kidogo.

• Kwanini Haya Yanatokea Sasa Kuna Mpango Gani Nyuma Ya Pazia?

• Kwanini Viongozi Waandamizi Wa Chadema Akiwemo Godbless Lema , Kumbusho Dowson ( Bavicha ) , Tom Mwaipaja Msemaji Wa Bavicha Ndio Wamekuwa Wanasambaza Hiyo Clip Video Kwenye Mitandao Ya Kijamii Kuna Nini Wanataka Kukilinda Na Kwa Malengo Gani , Je Ishu Ni Cartbert Au Ni Sabaya ?

• Je Kwanini Haya Yanaibuka Wakati Rais Wetu Mama Samia Suluhu Aliposema Anajeukia Mikoa Na Wilaya Kufanya Teuzi Mpya Ndio Kujirekodi Kumetokea Kwa Cartbert Swai Mwanachama Wa Chadema Na Mfanyabiashara Wa Hai ?

• Lema , Cartbert, Tom Mwaipaja Na Kumbusho Dowson Mbona Wakati Dc Sabaya Aliporudisha Kiwanja Chetu Sisi Waislamu Tulichodhulumiwa Sikuona Mmejirokodi Clip Video Angalau Kumpongeza ?

Katika Elimu Yangu Kidogo Katika Masuala Ya Uongozi Na Siasa Nimejifunza Kuhusu Nguvu Ya Baadhi Wafanyabiashara Kutumia Ushawishi ( Power Of Convince ) Kutimiza Malengo Yao Hasi Ili Kudominate Nguvu Ya Watawala Kubow Kwao Ndicho Kinachoendelea Wilaya Ya Hai Kwa DC Sabaya Kusimama Na Wananchi Maskini Na Wanyonge Waliodhulumiwa Mashamba Yao Na Hawa Kina Cartbert Swai Ili Kuendeleza Uharamia Wao Wa Kutokugusika.

Mintarafu Kwa Wale Ambao Hafahamu Sakata Hili Kwa Undani Ni Kwamba Mwenyekiti Wa Chadema Freeman Aikaeli Mbowe Alimuapia Dc Sabaya Atatumia Gharama Yeyote Kuhakikisha Kuwa Hai Haitatawalika Ndani Ya Kipindi Chake Kwahiyo Haya Yanayoendelea Kuibuka Kwa Sasa Ya Mfanyabiashara Ndugu Cartbert Ni Muendelezo Wa Kauli Ya Mbowe Kuwatumia Wafanyabiashara Hawa Kisiasa Ili Kutimiza Malengo Yao Baada Ya Kuona Wilaya Ya Hai Kwasasa Wizi , Ubadhirifu Sacco's Za Wananchi , Ukandamizwaji Wa Haki , Uporaji Wa Mashamba Umedhibitiwa Ndani Ya Hai Sasa Njia Ya Kurejesha Hayo Ni Kumtoa Kafara Dc Sabaya. ( Hizi Mbinu Zinatumika Sana Na Wanasiasa Wengi Wenye Nguvu Kama Mbowe)

Siasa Za Hai Zimetamalaki Na Umafia Mwingi Kwa Pande Zote Mbili Za Baadhi Ya Wafanyabiashara Na Wanasiasa Na Sio Nyepesi Hata Kidogo Na Ikumbukwe Jimbo La Hai Lilikuwa Chini Ya Kiongozi Ambaye Alikuwa Mwamba Wa Siasa Za Kaskazini Na Kiongozi Wa Kambi Rasmi Ya Upinzani Kwa Miaka Mingi Kwa Mantiki Hiyo Haitakuwa Jambo Jepesi Sana Kwa Kijana Mdogo Kama Dc Sabaya Kupambana Hii Vita Dhidi Ya Watu Hawa Hatari Kwenye Nchi Ambao Wapo Kufanya Chochote Ili Kulinda Maslahi Yao Binafsi.

Aghalabu Katika Taaluma Ya Uongozi Kuna Kitu Kinaitwa Good - Interest Na Selfishness Katika Kile Kinachofanywa Na Mfanyabiashara Huyu Na Mwanachama Wa Chadema Ndugu Cartbert Swai Hana Good Interest Na Maisha Ya Wananchi Maskini Na Wanyonge Wa Hai Bali Ana Selfishness ( Which is Moral Cancer ) Ya Kutaka Lengo Lake La Kuendelea Kujimilikisha Mashamba Ya Wananchi Wanyonge Kama Alivyomfanyia Mama Mjane Kwa Kumpora Kwa Kisingizio Kuwa Ana Mkakati Wa Kibiashara ( Business Plan ) Hili Ni La Kukemewa Na Wananchi Wote Kwa Nguvu Zote Ndio Kaliba Ya Baadhi Ya Wafanyabiashara Wasio Waaminifu Walikuwa Na Kauli " Serikali Nimeiweka Mfukoni" Hili Halimuitaji Dc Sabaya Peke Yake Linatuhitaji Sote Kama Wananchi Wenye Mapenzi Mema Na Nchi Yetu Ili Kumsaidia Pia Mama Yetu Rais Samia Suluhu Hassan.

Mosi Ndugu Cartbert Swai Nikushauri Kuwa Uongozi Wa Awamu Hii Sita Ya Sasa Sio Uongozi Wa Fitna , Majungu , Uzandiki Na Siasa Chafu (Dirty Politics) Ili Kufanya Defamation Ya Mtu Mwingine Ili Kujijenga Wewe Kibiashara Kwa Njia Zisizo Halali Bali Ni Uongozi Uoendeshwa Kwa Misingi Ya Haki , Ustawi , Demokrasia Ya Kweli Pasipo Kumuonea Mtu Yeyote Kwa Maslahi Mapana Ya Wananchi Na Taifa Letu Hivyo Kama Wewe , Godbless Lema, Kumbusho Dowson , Tom Mwaipaja Msemaji Wenu Wa Bavicha Mmetumia Mbinu Hizi Kuchafua Viongozi Wa Serikali Ili Kumpambania Mwenyekiti Wenu Freeman Aikaeli Mbowe Kwenye Nafasi Yake Ya Kisiasa Jimbo La Hai Hii Umefeli Brother Tafuta Njia Bora Ya Kushughulika Na Changamoto Zinapotokea Ili Kutafuta Njia Nzuri Na Bora Kufikia Maelewano Ya Pamoja { Memorandum Of Understanding)

Nihitimishe Kwa Kusema Wazi Wilaya Ya Hai Kulikuwa Na Umafia Mwingi Sana Ulifanyika Kwa Miaka Mingi Kwa Baadhi Ya Wafanyabiashara Sampuli Ya Cartbert Swai Ambaye Pia Miaka Karibuni Alikopa Kiasi Kikubwa Sana Cha Mkopo Toka Benk Ya CRDB Na Kushindwa Kulipa Na Ilipelekea Nyumba Yake Kupigwa Mnada Hadharani Kufidia Deni Hilo, Je Nikuulize Na Haya Dc Sabaya Anahusika? Ifike Mahali Siasa Na Biashara Tusichanganye Na Kuharibu Taswira Ya Viongozi Kwa Maslahi Yetu Binafsi .

Kazi Iendelee...

Wasaalamu:

Raia Mwema Toka Hai
Uzi wako ni utumbo. Sabaya ni jambazi. Alipo sasa panafaa milele, au zaidi sana anastahili anyongwe HADI AFE.
 
Back
Top Bottom