Yanayoendelea wilayani Songwe kwenye ujenzi wa madarasa kutokana na pesa za Covid. Ni hatari tupu pesa zimeliwa

Hela za Covid ni kwa ajili ya kununulia chanjo na ventileta, mmeanzaje kujengea madarasa?? 😁
 
Jamani naona huyo mtu arudishwe hapo kituoni kwake alikobadhirifu fedha hizo,halafu waziri Wa tamisemi chunguza wizara yako inawezekana Kuna return wanapewa maafisa wako .kwa kutonya tu Kuna dmo Amepandishwa Kuwa rmo wakati anatuhuma za ujenzi hospitali ya Wilaya iliyoghàrimu b2 wakati Hela iliyopokelewa ni b 4
 
Huko Songwe kwa majungu pia wanaongoza katika Tanzania pia . Huyu ni muongo kama ni kweli aweke na picha tuone.
 
Huko Songwe kwa majungu pia wanaongoza katika Tanzania pia . Huyu ni muongo kama ni kweli aweke na picha tuone.
Nimevitaja vijiji na bado mashuleni hamna majungu hapa kama ni mnufaika sema
 
Wacha umbea, tupia picha tuone!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…