Yanayoendelea wilayani Songwe kwenye ujenzi wa madarasa kutokana na pesa za Covid. Ni hatari tupu pesa zimeliwa

Yanayoendelea wilayani Songwe kwenye ujenzi wa madarasa kutokana na pesa za Covid. Ni hatari tupu pesa zimeliwa

Kwa heshima na taadhima ujumbe huu mhe: Rais ukufikikie popote uliopo.Mhe Raisi umekuwa mstari mbele kuhakikisha Nchi yetu inakuwa salama na tunapata maendeleo katika nyanja mbalimbali. Na umefanya jitihada za dhati kuhakikisha Nchi yetu inasonga mbele.Lakini watendaji wako wanakuangusha nilikkuwa kwenye msafara wa ukaguzi wa majengo ya pesa ya Covid yaani vituko zaidi ya vituko.Kwanza nilichogundua watumishi wa kitanzania wengi sio wazalendo. Nasema hayo kwa sababu zifuatazo.
1.kwanza walisema ujenzi umekamilika wakabumba taarifa wakapeleka tamisemi tamisemi wakakubali kweli ujenzi umekamilika bila kujiridhisha wakati ujenzi bado unaendelea.
2.majengo yaliojengwa karibia wilaya nzima tulipopita yako chini ya kiwango ina maaana sasa serikali inatakiwa kutuma pesa za ukarabati ili majengo yakarabatiwe. Hata kabla hsyajaanza kutumika nina picha nitaziweka hapa.
3Majengo mengi yamejengwa bila msingi imara na hivyo kusababisha mengi kukatika kuna moja nimeona lenta nzima ya jengo imekatika na imetoa nyufa lakini ujenzi wakauendeleza hivyo.
4.Upigaji mkubwa umefanyika kwenye madirisha. Wameyaegesha nayamelegea yako taaabani kabla hayajaanza kutumika. Na uenda hali ikawa mbaya sana yatakapoanza kutumika.
5.Madawati yalioletwa ni balaaa ni mabovu hayajapigwa msasa na misumali iko nje. Pia inaweza kuwadhuru watoto. Wakuu wa shule walichojali kutafuta mafundi ambao watahitaji hela kidogo hili wenyewe wapata za kutosha mlo.
6.Rangi na matilio yaliotumika hayafai yako chini ya kiwango.
Chenji iliobaki kwenye ujenzi wameambiwa waitafutie matimizi.
7.Mwisho kabisa baada ya kufanya madudu haya wale wasimamizi wakuu wakaomba kuhama kwenye vituovyao na kuhamia katika vituovipya ili kuwaachia msala hawa wapya waliokuja.
Serikali iwashughulikie wote walioofanya madudu katika miradi hiii either kwa kuwashusha vyeo na kuwawajibisha katika nafasi zao.Haiwwzekani majengo yanya nyufa na mengine lenta imekatika lakini wakajifanya hawaoni na wakaendelea kujenga. Serikali ianze na injinia wa wilaya kwanza vinginevyo mxhezo huu utaendelea. Nitoe Rai tu kwa watu walioaminiwa katika serika yetu kuipenda nchi yetu na kuwa waadilifu.Raisi wetu anahangaika huku na kule kuhakikisha Nchi inapata maendeleo tusimwangushe.Inno Bashe na prof Mkenda shugulikeni nawatu hawa ambao wanaomuhujumu Rais.Tanzania ni yetu Sote.
Pia maafisa utumishi wa wa wilaya hii ni wanapenda rushwa kila kitu mpk uwape rushwa. Hawafanyi kazi yako mpk uwape kitu kidogo.
Hela za Covid ni kwa ajili ya kununulia chanjo na ventileta, mmeanzaje kujengea madarasa?? 😁
 
Jamani naona huyo mtu arudishwe hapo kituoni kwake alikobadhirifu fedha hizo,halafu waziri Wa tamisemi chunguza wizara yako inawezekana Kuna return wanapewa maafisa wako .kwa kutonya tu Kuna dmo Amepandishwa Kuwa rmo wakati anatuhuma za ujenzi hospitali ya Wilaya iliyoghàrimu b2 wakati Hela iliyopokelewa ni b 4
 
Huko Songwe kwa majungu pia wanaongoza katika Tanzania pia . Huyu ni muongo kama ni kweli aweke na picha tuone.
 
Kwa heshima na taadhima ujumbe huu mhe: Rais ukufikikie popote uliopo.Mhe Raisi umekuwa mstari mbele kuhakikisha Nchi yetu inakuwa salama na tunapata maendeleo katika nyanja mbalimbali. Na umefanya jitihada za dhati kuhakikisha Nchi yetu inasonga mbele.Lakini watendaji wako wanakuangusha nilikkuwa kwenye msafara wa ukaguzi wa majengo ya pesa ya Covid yaani vituko zaidi ya vituko.Kwanza nilichogundua watumishi wa kitanzania wengi sio wazalendo. Nasema hayo kwa sababu zifuatazo.

1.kwanza walisema ujenzi umekamilika wakabumba taarifa wakapeleka tamisemi tamisemi wakakubali kweli ujenzi umekamilika bila kujiridhisha wakati ujenzi bado unaendelea.

2.majengo yaliojengwa karibia wilaya nzima tulipopita yako chini ya kiwango ina maaana sasa serikali inatakiwa kutuma pesa za ukarabati ili majengo yakarabatiwe. Hata kabla hsyajaanza kutumika nina picha nitaziweka hapa.
3Majengo mengi yamejengwa bila msingi imara na hivyo kusababisha mengi kukatika kuna moja nimeona lenta nzima ya jengo imekatika na imetoa nyufa lakini ujenzi wakauendeleza hivyo.

4.Upigaji mkubwa umefanyika kwenye madirisha. Wameyaegesha nayamelegea yako taaabani kabla hayajaanza kutumika. Na uenda hali ikawa mbaya sana yatakapoanza kutumika.

5.Madawati yalioletwa ni balaaa ni mabovu hayajapigwa msasa na misumali iko nje. Pia inaweza kuwadhuru watoto. Wakuu wa shule walichojali kutafuta mafundi ambao watahitaji hela kidogo hili wenyewe wapata za kutosha mlo.
6.Rangi na matilio yaliotumika hayafai yako chini ya kiwango.

Chenji iliobaki kwenye ujenzi wameambiwa waitafutie matimizi.

7.Mwisho kabisa baada ya kufanya madudu haya wale wasimamizi wakuu wakaomba kuhama kwenye vituovyao na kuhamia katika vituovipya ili kuwaachia msala hawa wapya waliokuja.

Serikali iwashughulikie wote walioofanya madudu katika miradi hiii either kwa kuwashusha vyeo na kuwawajibisha katika nafasi zao.

Haiwezekani majengo yana nyufa na mengine lenta imekatika lakini wakajifanya hawaoni na wakaendelea kujenga. Serikali ianze na injinia wa wilaya kwanza vinginevyo mchezo huu utaendelea. Nitoe Rai tu kwa watu walioaminiwa katika serika yetu kuipenda nchi yetu na kuwa waadilifu.

Rais wetu anahangaika huku na kule kuhakikisha Nchi inapata maendeleo tusimwangushe.Inno Bashe na prof Mkenda shugulikeni nawatu hawa ambao wanaomuhujumu Rais.Tanzania ni yetu Sote.

Pia maafisa utumishi wa wa wilaya hii ni wanapenda rushwa kila kitu mpaka uwape rushwa. Hawafanyi kazi yako mpaka uwape kitu kidogo.
Kuna sekondari moja madawati mabovu jengo limekatika madirisha ya alluminium mabovu ipo maeneo ya muheza hatukulipokea ubabishaji kwenye maeneo ya ratio ya sement pia ni wakubabatiza.
Kuna sehemu moja maweni kafanya ila kwenye finishing ya madirisha na madawati kavuvurunda.
Sume hali ni mbaya zaidi hapaeleweki.
Manda ujenzi unaendelea lakini wameandika taarifa kwamba wamemaliza na wameshakabidhi.
Magamba sooon madarasa mapya yataaanguka. MORE UPDATES TO COME
Wacha umbea, tupia picha tuone!
 
Back
Top Bottom