Yanayojiri Azam VS El Mereikh

Yanayojiri Azam VS El Mereikh

Mkuu Masuke,

Shukrani kwa linki hiyo hata sisi ambao tupo barabarani na bundle ya kutosha ya intaneti tunatazama mechi za leo Jumapili AZAM TV FLASH LIVE STREAM AZAM Media Flash Page, baada ya usindi wa AZAM FC 2- El-Merrikh 0, ngoja tuone KMKM dhini ya Al HILAL dakika ya ''Hamsa'' yaani 50 ya mchezo live Al -Hilal wanapata bao la 2.
Karibu kiongozi, wazungu wanasema "Sharing is caring".
 
Azam wana shughuli pevu kuliko Yanga
 
Ulizeni simba ukifikakule wanaongelea 4-0. Awanaadabukabisa
 
Ulizeni simba ukifikakule wanaongelea 4-0. Awanaadabukabisa

usisahau kuwa wapinzani wao el merreikh nikiwa nawaongelea AL HILAL wamewafunga KMKM kutoka zanzibar 2-0,vipi kuhusu waarabu hawa wa zanzibar nao watawaogesha 4 wasudani...!? nakuonesha mpira jinsi ulivyo tofauti.
 
game imerushwa live na uwanjani nyomi, yanga mawazo mgando
 
game imerushwa live na uwanjani nyomi, yanga mawazo mgando

Yule kanjibai wa yanga hata mimi ameniacha hoi kabisa, eti kazuia game ya yanga kurushwa live kisa idadi ya watu ya kwenda uwanjan itapungua!!! Nashangaa chamanzi alifura mtu si mchezo na bado game ilirushwa live. Manji ametukosea sana wana jangwani.
 
kwa mara ya kwanza umeongea point Mkolaji
 
Azam wanaisikitia sana Yanga kutoonwsha pambano
 
download (1).jpg
 
download.jpg
huyu naona hajitambui kabisa na ingekuwa Taifa siujui ingekuwaje
 
Back
Top Bottom