Yanayojiri Bunge la Katiba Dodoma leo 06/03/2014

Wakuu kwa hapo ilivyo ninamashaka kama hili bunge litamalizika kama kanuni tu ni mvutano hivi sijui lakini
 
Kabla hujaomba CV za mtu yeyote yule ungetangulia kutuonyesha zako isiwe huna Cv na huna hata akili yakujua na kutathmini maana ya maneno ya mtu anapo ongea. Mh sendeka ni mtu makini sana anaejua na anae jitambua. Na ni mzalendo wa nchi yake.
Hapo penye Red Mkuu naomba nikusahihishe.
1. CV za Mtu ni Cv ya Mtu
2. Kutuonyesha badala ya Kutuonesha
3. Anaejua badala ya Anayejua
4. Anae badala ya neno anaye
Rudi Darasani Mkuu una kiswahili kibovu kama Cha Masai wa Longido
 
Matatizo makubwa ya Ole Sendeka ni kupenda kuongea sana na ubishi mwingi kwa vitu hasivyokuwa na utaalamu,ujuzi na uzoefu navyo!
 
Alaaaah kumbe jiji la Dodoma sasa A. K. A. ni yake ni "POSHO CITY"
 
Maneno makali ya mjumbe wa bunge maalumu kutoka zanzibar akimjibu sendeka alipomwomba mwenyekiti apokee maoni yake juu ya hoja yakukataa waandishi wasiruhusiwe kuingia vikao vya kamati.
 
Tatizo lake ni kujifanya kujua kila kitu..
 
Kabla hujaomba CV za mtu yeyote yule ungetangulia kutuonyesha zako isiwe huna Cv na huna hata akili yakujua na kutathmini maana ya maneno ya mtu anapo ongea. Mh sendeka ni mtu makini sana anaejua na anae jitambua. Na ni mzalendo wa nchi yake.

Eti mzalendo
Ole Sendeka ni mna.fiki aliye kubuhu , amekwamisha mradi mkubwa wa maji kwa wakazi wa Simanjiro kwa madai eti maji yawepo ya kutosha watu wasio wamasai watajaa Simanjiro kwa hiyo ni bora wakaazi wa Simanjiro wakae wakihangaika kutafuta maji zaidi ya kilometa 10 tena siku ng'ombe wake wanakunywa maji wananchi lazima wasiburi....ng'ombe kwanza binadamu baadaye.
 
Natamani wangekuwa na ufahamu WAKAYAFAHAMU haya uliyoyasema
 
Tatizo Olesendeka anajifanya mjuaji sana kuliko wengine vijembe vingine vinawafaa watu kama hao ili wawe na heshima kwa wengine.
 
bunge maalum linaloendelea dom linaweza kujikuta likiisha kwa kuigawa nchi yetu vipande vipade kutokana na misimamo ya baadhi ya wajumbe wake, leo tumeshuhudia bunge likiahirishwa baada ya mjumbe kutoka zanz akimtolea uvivu sindeka na mwenyekiti wa muda aye akiungana na mwenzake wa zanz, hivyo imepnekana dhahiri wabunge wote wa zanz wakiungana na wabunge wote wa upinzani na wale wa ccm bara wakibakia peke yao na msimamo wa chama chao, kazi ipo uwezekano wa kupata katiba mpya kwa kutumia msimamo wa ccm imekua ni vigum sanaaa, kizuri makundi yote hayaungi mkono msimamo wa ccm.
 

Hebu tuoneshe mkuu, wapi M/kiti Kificho alipomuunga mkono Mjumbe Mh Abubakar...!!
 
dah…. hata kama ni random sampling ndo iliwafikisha pale wanatakiwa kuheshimu pesa ya walipa kodi.
sendeka hilo ni bumge la katiba siyo lako na mkeo…. usitake kila kitu upange ww
 
Jamaa sio kwamba anajifanya mjuaji tu, pia sio mvumilivu anapakuwa 'challenged', nimemfuatilia mara zote akipingwa tu lazima ajibu kwa hamaki kama sio hasira. nakumbuka kama sio wiki hii, basi wiki iliyopita, Machali alimpinga jambo moja yeye akajibu kuwa anaongea kwa kuwa uraia wake hauna mashaka-badala ya kujibu kistaarabu akarukia kutaka kuwaonyesha watanzania kwamba labda-kwa mtazamo wake- uraia wa Machali una walakini.

Nadhani ndo maana jamaa hapati uongozi ndani ya chama. Hayo madawa ya kimaasai alokula/kunywa akiwa bado morani inaonekana hayajaisha mwilini mwake ndo maana anapandisha mori kijinga hata kwa mambo madogo
 
kama unakumbukumbu nzuri, alipompa nafasi mjumbe from zanz alimlinda mpaka akamaliza, dats why tunasema wazenj wameungana na mara nyingi mawazo mengi ya ccm hayapti nafasi ya kumliki mjadala
 
hakika ole Sendeka hafai kuwa kiongozi. Ni mpayukaji mno, huwa hawezi kufikiri akishapata 'challenge' kutoka kwa mtu mwingine
 
UOTE=pilau;8874586]Alaaaah kumbe jiji la Dodoma sasa A. K. A. ni yake ni "POSHO CITY"[/QUOTE]

Haswaa mkuu pilau

Endapo watu hawataki

1. Kura za siri

2. Hawawataki waandishi wa habari

Ikumbukwe na kueleka kwamba katiba niyawananchi siyo yawajumbe. Kupinga upigaji kura kwasiri na kulenga kuzuia wanahabari nikuingilia na kukandamiza haki zamsingi kwa wanachi.

Niushenzi na ujinga uliopitiliza kulazimisha kanuni na taratibu zinazopingana na katiba yetu na pia utaratibu wa siri kwa kura kama ilivyozoeleka kutumika kisheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…