BEDO NYALUTOGO
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 1,328
- 194
Wakuu kwa hapo ilivyo ninamashaka kama hili bunge litamalizika kama kanuni tu ni mvutano hivi sijui lakini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo penye Red Mkuu naomba nikusahihishe.Kabla hujaomba CV za mtu yeyote yule ungetangulia kutuonyesha zako isiwe huna Cv na huna hata akili yakujua na kutathmini maana ya maneno ya mtu anapo ongea. Mh sendeka ni mtu makini sana anaejua na anae jitambua. Na ni mzalendo wa nchi yake.
sasa wewe ole sendeka hujui kama amekulia porini kama mnyama akichunga ng'ombe? hawezi kufanana na mtu aliyeishi mazingira bora ndio maana hata akili yake imeoza.
Kabla hujaomba CV za mtu yeyote yule ungetangulia kutuonyesha zako isiwe huna Cv na huna hata akili yakujua na kutathmini maana ya maneno ya mtu anapo ongea. Mh sendeka ni mtu makini sana anaejua na anae jitambua. Na ni mzalendo wa nchi yake.
bunge maalum linaloendelea dom linaweza kujikuta likiisha kwa kuigawa nchi yetu vipande vipade kutokana na misimamo ya baadhi ya wajumbe wake, leo tumeshuhudia bunge likiahirishwa baada ya mjumbe kutoka zanz akimtolea uvivu sindeka na mwenyekiti wa muda aye akiungana na mwenzake wa zanz, hivyo imepnekana dhahiri wabunge wote wa zanz wakiungana na wabunge wote wa upinzani na wale wa ccm bara wakibakia peke yao na msimamo wa chama chao, kazi ipo uwezekano wa kupata katiba mpya kwa kutumia msimamo wa ccm imekua ni vigum sanaaa, kizuri makundi yote hayaungi mkono msimamo wa ccm.
Tatizo Olesendeka anajifanya mjuaji sana kuliko wengine vijembe vingine vinawafaa watu kama hao ili wawe na heshima kwa wengine.