Yanayojiri Bunge la Katiba Dodoma leo 06/03/2014

Hii inadhihirisha wazi kwamba kazi itakuwa ngumu kutokana na wanaofanya kazi hii kuonekana kama genge la wahuni fulani
 
wewe umekata tamaa, kwa hiyo unataka kutuvunja moyo watanzania wote, kaa kimya, hujui
kitu.
Inawezekana kabisa kuwa sijui kitu lakini tuliowadhania kuwa wanajua nahisi ukweli uko wazi kwa wanachokifanya huko.
 
mimi nicho pinga ni muungano usio na uwiano sawa, uk muungano wao hauna kifungu cha pm akiwa wa england basi deputy awe wa scotland au kupokezana vijiti, pili idadi ya wabunge inategemea na ukubwa wa sehemu, na sio wengine wanapewa nafasi zaidi mahali ratio inatakiwa kuwa 96:4 kwetu inakuwa 70:30 au zaidi ya hapo, ndio maana manunguniko hayawezi kuisha
 
Mtz asome kanuni awache kufikiria kusaini laki + laki + laki = baki na shida zako.
 
Mm najifariji hata hichi nilicho andika na nashukuru umenielewa nini nilicho sema angalau

Kweli unahitaji Faraja maana Kiswahili Kibovu sana hicho noma sana Mazee teh! teh! teh! teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…