kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,340
- 12,055
Hii inadhihirisha wazi kwamba kazi itakuwa ngumu kutokana na wanaofanya kazi hii kuonekana kama genge la wahuni fulaniumenena mkuu! hii ni sanaa tupu! maendeleo TZ ni ndoto kwa mwendo huu! It looks like there is an evil spirit behind us! nashindwa kuamini kusikia wasomi maprof wakishadidia kura ya wazi kwa kutumia hoja zisizo na mashiko! ningekuwa mm ndo naamua peke yangu ningelipiga chini bunge hili mapema kabla hatujafika mbali! Mtikira alisema kuwa ni genge la wahuni watu wakambeza lakini yako wapi mawazo ya watu wenye hekima tuliyoyatarajia? tunakazi ya kufanya mabadiliko!