Yanayojiri Bunge la Katiba Dodoma leo 06/03/2014

Yanayojiri Bunge la Katiba Dodoma leo 06/03/2014

Mwenyekiti alitakiwa kumtoa kwanza Sendeka kwa lugha ya kuudhi, kuleta uchama ndani ya bunge
 
Bunge limeahirishwa wakati huu hadi saa kumi jioni, sababu, Mjumbe toka Zanzibar amamlalamikia Mwnyekiti wa muda wa bunge kuwa anaruhusu wajumbe kutoa hoja mpya wakati walikuwa na muda wa kupeleka kwa maandishi hoja zao katika kamati ya kanuni hivyo kusababisha mvutano mkali bungeni, mjumbe huyo wa zanzibar alikuwa anamlenga Ole Sendeka kuwa analeta hoja mpya bungeni na mwenyekiti anamkubalia kuizungumza wakati alikuwa na muda wa kutosha wa kuileta katika kamati na kuandaliwa majibu.
 
Leo kumeibuka malumbano makubwa bunge la katiba mpaka mwenyekiti mwa muda mh. Pandu Ameir Kificho ameahirisha kikao. Chanzo inaonekana ni wajumbe kutoka upande wa pili wa Muungano (Z'bar) kutokubaliana na mwenyekiti kukubali mawazo ya mjumbe mwingine toka bara kubadidilisha kifungu cha kanuni ya uendeshaji wa bunge la katiba. Hii imesababisha mjumbe huyo kumrushia maneno makali Dr. Mwakyembe na kusababisha mwenyekiti kuahirisha semina hiyo. Kwa mtindo huu wa utumiaji muda usio makini, je tutafika?
 
Kwa mara nyingine Mwenyekiti Kificho imebidi aahirishe bunge maalumu la katiba baada ya kutokea maneno kati ya Ole Sendeka na Mabruk hadi kupelekea kukashifiana. Wabunge wengine wakawa wanataka Ole Sendeka aombe radhi huku wengine wakipinga kwa misingi ya chama. Imeonekana Aden Rage akizuiwa na wajumbe wengine asipigane na mjumbe mwingine ingawa alionekana kama kutania. Hata hivo nyuma kabisa ya ukumbi, wajumbe walionekana kutaka kuzipiga hali iliyopelekea Mwenyekiti kuahirisha semina.
Sijui tunaenda wapi nchi yetu!
 
Naona bunge limeahirishwa mapema jee sababu ya msingi ni nini?


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Ole Sendeka inabidi achezee kichapo kwanza ili awe na adabu mbwa kabisa huyu.
 
Hawa jamaa wanakera sana!!! Utadhani mijitu mingine imeokotwa vijiweni tuuu!!! So sad, hasa ukizingatia uzito na umuhimu wa kazi walliyopewa......
 
Mimi na wakumbusha wabunge wa bunge la katiba wakumbuke tuliwachagua kwa siri , pinda akumbuke walichofanya kule jimboni mwake iweje leo mnataka kura ya wazi? Inasikitisha wasomi wote wanawashangaa nyinyi ccm
 
Na bado tutaona mengi sana hadi bunge hilo kumalizika!

Na kumbukeni niliwahi kusema huko nyuma humu jamvini kwamba hii katiba itakuwa mbaya kuliko hata hii ya sasa,muda ukifika myaniambia na kukubaliana na mimi!!
 
Kwani hawa CUF na CCM si wanaendesha serikali ya umoja wa kitaifa kwa pamoja kule Zanzibar?
 
Kwani huyu mwanasheria mkuu wa Zanzibar siyo mnazi wa ccm? Mbona Ole Sendeka amemnanga hivo?

Bakar Khamis Bakar ni waziri wa sheria zanzibar kwa tiketi ya chama cha wananchi cuf, katika serikali ya umoja wa ki Taifa.
 
RASTA MAN'S PRAYER LYRICS - LUCKY DUBE

There comes a time

In everyman's life where he's got to face
The truth no matter what.
We are coming to you father
With our sins and everything
To thank you

Politicians thank you father
For making them to be able
To lie with a straight face
While the nation cries
They wanna thank you lord
 
Mpaka wapigane ndo tutapata katiba mpya au kuamua kubaki na hii tuliyonayo.
 
Ole Sendeka atandikwe mangumi hata nje ya bunge ili awe na adabu.
 
wamevuta 300,000 wameahirisha kirahisi hivyo. Big result now ni ndoto za mchana Tanzania
 
Wanapiga kelele utadhani ni wanafunzi wa chekechea, ni aibu sana
 
Back
Top Bottom