Nani na nani sababu nini?Kimenuka mjengoni ngumi zinataka kupigwa hapa!
Kwani huyu mwanasheria mkuu wa Zanzibar siyo mnazi wa ccm? Mbona Ole Sendeka amemnanga hivo?
Ole Sendeka inabidi achezee kichapo kwanza ili awe na adabu mbwa kabisa huyu.
Kwani hawa CUF na CCM si wanaendesha serikali ya umoja wa kitaifa kwa pamoja kule Zanzibar?
Eti Mbwa ni tusi au jina?Mkuu jaribu kuepuka matusi hili sio jukwaa la wahuni!
Hivi wewe ukiitwa mbwa utajiskiaje?!