Yanayojiri Bunge la Katiba Dodoma leo 06/03/2014

Yanayojiri Bunge la Katiba Dodoma leo 06/03/2014

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1387.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Christopher[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Olonyokie[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Ole-Sendeka[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Simanjiro[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]P.O.Box 14384, Arusha[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 768 300000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]csendeka@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]1 January 1964[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]MS.TCDC & Kimage Manor College (IRELAND)[/TD]
[TD="align: center"]Community Development Course[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[TD="align: center"]DIPLOMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Oldmoshi High School[/TD]
[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1985[/TD]
[TD="align: center"]1987[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Monduli Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Naberera Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1974[/TD]
[TD="align: center"]1980[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY[/TH]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH]Company Name[/TH]
[TH="align: center"]Position[/TH]
[TH="align: center"]From[/TH]
[TH="align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania[/TD]
[TD]Member - Simanjiro Constituency[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Non-Government Organisations- NGO's[/TD]
[TD]Programme Coordinator/ Officer[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Prime Minister's Office[/TD]
[TD]Secretary[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi - CCM[/TD]
[TD]Head of Admnistration (UVCCM-HQ)[/TD]
[TD="align: center"]1999[/TD]
[TD="align: center"]2001[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi - CCM[/TD]
[TD]Member of National Executive Council(NEC)[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi - CCM[/TD]
[TD]Chairman - Simanjiro District[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]2007[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi - CCM[/TD]
[TD]Chairman -UVCCM[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi - CCM[/TD]
[TD]Leader of Student Union(UVCCM)[/TD]
[TD="align: center"]1975[/TD]
[TD="align: center"]1987[/TD]
[/TR]
[/TABLE]






Ukiona cv academic inatoka chini kwenda juu ujuwe ni full magumashi, hata kibajaj darasa saba angalia cv yake alivyojaza kurasa kama hujui utajuwa kuna msomi hapa, na kama hamuamini maneno yangu anayetumia pc atuwekee cv ya Idd Azzan hapa ndio mcheke vizuri utapeli wa maccm, angalau kidigo Idd Azzan amekuwa mkweli kwenye secondary alisoma QT.
 
Semina ya Wabunge wa bunge maalumu kupitisha kanuni imepoteza muelekeo! Na mara nyingine wanaonekana wana-stall makusudi ili siku za kukaa pale ziongezeke.!
 
Wameahirisha bunge lao mpaka saa kumi..ilikuwa ni zomeazomea tu, wabunge hawataki kukaa, mwenyekiti wa muda kashindwa kabisa kuwanyamazisha hatimae akaahirisha bunge. Kuna baadhi ya wabunge walitaka kupigana...hiyo jioni sijui itakuaje maana niliyoyaona leo asbh ni balaa...
 
Kabla hujaomba CV za mtu yeyote yule ungetangulia kutuonyesha zako isiwe huna Cv na huna hata akili yakujua na kutathmini maana ya maneno ya mtu anapo ongea. Mh sendeka ni mtu makini sana anaejua na anae jitambua. Na ni mzalendo wa nchi yake.
 
Nimekaa kimya nikiwatazama wachangiaji na malengo yao nini hasa,kwani wanapoteza mda na kodi za wananchi.
Ifikie wakati wajitambue wapo kule kwa ajili ya nini na ni kwa nini,na kwa faida ya nani, wanaharibu hali ya hewa ya nchi pasipo wao kujua,pia wajue kuongea kwingi sio kujua sana.
 
Leo kanikela sana ndio chanzo cha bunge kuhailishwa... eti ana mapigo ya kutisha, naona makelele tu na kurudia hoja za wenzake ndio mapigo....

Malliya ajiandae vizuri ammungoe 2015,
Pole bwana vumilia utayazoea tu.
 
Nashukuru Mungu nimeacha kufuatilia bunge la katiba hadi huu upuuzi wa kanuni uishe.source wall ya zitto

Haya ni maneno yaliyoandikwa na zitto kwenye wall yake ya FB hivi ni kweli bunge maalum linajadili upuuzi kwenye kanuni kama zitto alivyoona tutafakari maneno haya kwa kina na tujadili
Kwahito yeye siyo mbunge? au ameshasau alivyokimbilia mahakamani kunusuru ubunge wake?

Naona ni hasira za mfa maji kuona Taifa limepotezea upuuzi wa ACT na badala Taifa zima linafuatilia bunge la katiba.

Pole sana dogo Zitto mmeshindwa kusoma alama za nyakati na mmezinduwa chama in bad timing, lakini wewe huna la kupoteza maana siku zote ofisi zako ni Facebook na Twitter.
 
Mbona unajisaidia kitu ambacho hakitoki fafanua kachafua nn??
Sema usaidiwe kama kunachakuwajibika au laaa
 
We toa tu kwani kashifa inaua rais jk amekashifiwa sana lakini hadi leo anaongoza taifa vema kabisa.

Inamaana kwa vile ni mbunge wa CCM hata aliyotenda leo huyaoni. Ama kweli CCM inao wapiga debe maha.wani kabisa. Wewe ni mmoja wapo.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Proposal ya kifungu namba 58 cha Sendeka kilikuwa bora zaidi kuliko cha Mnyika, kwani cha Mnyika kilikuwa aki adddress imbalance ya bara vs visiwani na kuleta sura ya 50/50.
Tatizo ya sendeka ilitaka kuletwa kwa mlango wa nyuma.
Kificho alielewa hilo akataka kutumia busara na hekima kuliingiza hilo, bila kumshika mkono kipofu, Sendeka yeye akamshika mkono kipofu.
 
sendeka ----- tu, nimeona hayo majibizano na waziri wa sheria wa zanzibar
 
I think he has a point in this!

Which point? yeye siyo sehemu ya bunge? Facebook na twitter ndio bungeni kwenye kutengeneza kanuni? nyinyi ndio mmempotosha Zitto na kujikuta hapo alipo, Wale maprofesa na madoctor na professional wengi tu waliopo pale wote hawana akili ila yeye ndio ana akili?

Kwahiyo anasubili wenzake wamtungie kanuni haramu na siyo yeye kwenda kupambana kwa hoja?
 
Back
Top Bottom