Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
We si ulisema upo dodoma?
Hukumuelewa pale Ilala kuna mtaa wa Dodoma, huyo mbwisi aende bungeni kwani wodi ya Milembe imehamishiwa pale?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We si ulisema upo dodoma?
Uko sahihi kabisa.Mazoea ya Sendeka kubebwa na spika na wenyeviti kwenye bunge la jamhuri yanamfanya ajisahau.Hii ni mara ya pili kaaibika kwa ajili ya kukurupuka.Juzi aliropoka kwa kelele nyingi kupinga article of union isiwekwe hadharani akaelezwa ile tayari ni public document.By design hakupaswa kuwa pale maana hakuwahi kuunga mkono katiba mpya ndio maana alimbana mwenyekiti wake kuhusu kukubali katiba mpya!Aibu iendelee kumwandama kwa kuwa lengo lake ni kuvuruga.
Leo mtoto hatumwi dukani.Leo, asiye na mwana aeleke jiwe.Leo,ukigeuka nyuma unakuwa jiwe la chumvi.Leo,macho mbele kama tochi. Leo,masikio na macho ni marafiki muhimu. Leo, kila kitu kina watu;wale wastaarabu na fyatu.Usisubiri kusimuliwa.Jionee au sikiliza mwenyewe leo.
Kwa nyaraka zilizopo,shughuli hiyo itakuwa jioni.Leo,Bunge la Katiba linafikia vifungu vya 37,38 na 39 vya Rasimu ya Kanuni za Bunge hilo ili kuvipitisha.Vifungu tajwa,pamoja na mambo mengine, vinazungumzia namna ya upigaji kura wa kupitisha Rasimu ya Katiba utakavyokuwa ndani ya Bunge hilo.Wapo wa KURA YA SIRI na KURA YA WAZI/DHAHIRI. Leo watajulikana vyema.
Lazima leo Bunge liamue kupitisha au kuviondosha vipengele hivyo vya Kanuni. Ni leo.Si kesho. Lakini, kupitisha SIRI au DHAHIRI kutafanywa kwa SIRI au DHAHIRI? Mwenyekiti wa muda ataongozwa na Kanuni au Taratibu zipi leo kuamua kuendesha kura za SIRI au DHAHIRI wakati itakapojitokeza haja ya kufanya hivyo? Leo kitaeleweka tu.Zege halilali!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (sasa Dodoma)
KabisaMbona tumeishaumia kaka,umeona leo walivyokuwa wanatunishiana misuli?Utadhani watoto wa shule,hii ni aibu kubwa kwa aliyewateua na aibu kwa watanzania pia.
Nakubaliana na mdau uliyemwita ole sendeka mbwa kwani ni bogus dog asiyestahili kuwa mbunge ata wa mbwa mwitu,anapenda kupinga kila kitu amabacho kinakinzana na CCM ata kama kina maslahi ya kitaifa.Na mshangaa sana mwenyekiti wa bunge hili kumpa nafasi mara Kwa Mara mtu asiyejua ata kujenga hoja hususani za kisheria,jamaa kutoka zenji kampa makavu live kwamba asione kila mtu anakili kama za watu wa kwao simanjiro huko.
hiyo hela inapaswa irudishwe. Hikufanyiwa kazi.wamevuta 300,000 wameahirisha kirahisi hivyo. Big result now ni ndoto za mchana
Tanzania
niliwahi kusema hapa jukwaani kuwa huyu simiyu yetu ni miongoni mwa raiya mizigo Tanzania.We si ulisema upo dodoma?