Yanayojiri Bunge la Katiba Dodoma leo 06/03/2014

Yanayojiri Bunge la Katiba Dodoma leo 06/03/2014

tunataka kura ya siri katika kupitisha katiba kama tunavyowachagua wabunge,rais, diwani
 
Uko sahihi kabisa.Mazoea ya Sendeka kubebwa na spika na wenyeviti kwenye bunge la jamhuri yanamfanya ajisahau.Hii ni mara ya pili kaaibika kwa ajili ya kukurupuka.Juzi aliropoka kwa kelele nyingi kupinga article of union isiwekwe hadharani akaelezwa ile tayari ni public document.By design hakupaswa kuwa pale maana hakuwahi kuunga mkono katiba mpya ndio maana alimbana mwenyekiti wake kuhusu kukubali katiba mpya!Aibu iendelee kumwandama kwa kuwa lengo lake ni kuvuruga.

Mkuu hiyo ndio aina ya wabunge wengi wa CCM. Kwao kutetea chama ni jambo la fahari sana yaani ni full kujikomba.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Mbona tumeishaumia kaka,umeona leo walivyokuwa wanatunishiana misuli?Utadhani watoto wa shule,hii ni aibu kubwa kwa aliyewateua na aibu kwa watanzania pia.
 
Leo mtoto hatumwi dukani.Leo, asiye na mwana aeleke jiwe.Leo,ukigeuka nyuma unakuwa jiwe la chumvi.Leo,macho mbele kama tochi. Leo,masikio na macho ni marafiki muhimu. Leo, kila kitu kina watu;wale wastaarabu na fyatu.Usisubiri kusimuliwa.Jionee au sikiliza mwenyewe leo.

Kwa nyaraka zilizopo,shughuli hiyo itakuwa jioni.Leo,Bunge la Katiba linafikia vifungu vya 37,38 na 39 vya Rasimu ya Kanuni za Bunge hilo ili kuvipitisha.Vifungu tajwa,pamoja na mambo mengine, vinazungumzia namna ya upigaji kura wa kupitisha Rasimu ya Katiba utakavyokuwa ndani ya Bunge hilo.Wapo wa KURA YA SIRI na KURA YA WAZI/DHAHIRI. Leo watajulikana vyema.

Lazima leo Bunge liamue kupitisha au kuviondosha vipengele hivyo vya Kanuni. Ni leo.Si kesho. Lakini, kupitisha SIRI au DHAHIRI kutafanywa kwa SIRI au DHAHIRI? Mwenyekiti wa muda ataongozwa na Kanuni au Taratibu zipi leo kuamua kuendesha kura za SIRI au DHAHIRI wakati itakapojitokeza haja ya kufanya hivyo? Leo kitaeleweka tu.Zege halilali!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (sasa Dodoma)

Katika vitu nisivo na hamu navyo ni hili bunge la katiba yaani ningekuwa na uwezo ningewarudisha wote nyumbani wakakae na wake/waume zao na siyo kumaliza hela za walipa kodi wetu
 
Nakubaliana na mdau uliyemwita ole sendeka mbwa kwani ni bogus dog asiyestahili kuwa mbunge ata wa mbwa mwitu,anapenda kupinga kila kitu amabacho kinakinzana na CCM ata kama kina maslahi ya kitaifa.Na mshangaa sana mwenyekiti wa bunge hili kumpa nafasi mara Kwa Mara mtu asiyejua ata kujenga hoja hususani za kisheria,jamaa kutoka zenji kampa makavu live kwamba asione kila mtu anakili kama za watu wa kwao simanjiro huko.

Kwa kujifanya mkereketwa pale bungeni hasimamii anachoamini.Hata leo hii CCM wakipendekeza wamasai wenzake wote wakatwe mkono ili kuwatofautisha na wakenya ataunga mkono tu bogus huyu.
 
Inaonekana taifa halikujipanga kwa katiba mpya, wajumbe wengi wako kisiasa zaidi kuliko maslahi ya taifa letu! Uccm, ucuf na hata uchadema umetawala zaidi! Wajumbe wanalipwa posho ya laki 3 kwa bure kabisa!
 
Wakuu salamu, Nimesikitishwa sana na namna bunge hili linavyoahirishwa mara kwa mara pasipo sababu maalum. Kwa mawazo yangu nafikiri hii inaweza ikaendelea kujirudiarudia kwa sababu wajumbe wanaingiza posho zao. Hivi kweli sisi wananchi tukikataa wasilipwe posho ambazo hawajazifanyia kazi jambo hili halitawezekana? Lengo la hoja hii ni kuleta hali ya bunge kuogopa kuahirisha kikao pasipo sababu maalum huku wakihofia kukosa posho zao. Naomba kutoa hoja!
 
Imefika wakati sasa niombe Msaada wa CV ya Ole Sendeka kabla sijatoa ya Moyoni kwanza.
Kwa kifupi nimeanza kumfuatilia Ole Sendeka kutoka kipindi kile cha Sakata la Richmond kwa michango yake iliyokuwa katika Mlengo wa Kati lakini kwa yanayoendelea leo Bungeni imenibidi niombe Msaada wa CV ikizingatia mambo yafuatayo.
1. Amesoma wapi Primary, Sekondari, Chuo na Proffesional yake pamoja na kazi yake ya kwanza kufanya.
2. Pia na uzoefu wake katika kazi hizo.
Naomba kuwasilisha.
 
Wakuu salamu, Nimesikitishwa sana na namna bunge hili linavyoahirishwa mara kwa mara pasipo sababu maalum. Kwa mawazo yangu nafikiri hii inaweza ikaendelea kujirudiarudia kwa sababu wajumbe wanaingiza posho zao. Hivi kweli sisi wananchi tukikataa wasilipwe posho ambazo hawajazifanyia kazi jambo hili halitawezekana? Lengo la hoja hii ni kuleta hali ya bunge kuogopa kuahirisha kikao pasipo sababu maalum huku wakihofia kukosa posho zao. Naomba kutoa hoja!
 
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1387.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Christopher[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Olonyokie[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Ole-Sendeka[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Simanjiro[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]P.O.Box 14384, Arusha[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 768 300000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]csendeka@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]1 January 1964[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]MS.TCDC & Kimage Manor College (IRELAND)[/TD]
[TD="align: center"]Community Development Course[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[TD="align: center"]DIPLOMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Oldmoshi High School[/TD]
[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1985[/TD]
[TD="align: center"]1987[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Monduli Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Naberera Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1974[/TD]
[TD="align: center"]1980[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY[/TH]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH]Company Name[/TH]
[TH="align: center"]Position[/TH]
[TH="align: center"]From[/TH]
[TH="align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania[/TD]
[TD]Member - Simanjiro Constituency[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Non-Government Organisations- NGO's[/TD]
[TD]Programme Coordinator/ Officer[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Prime Minister's Office[/TD]
[TD]Secretary[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi - CCM[/TD]
[TD]Head of Admnistration (UVCCM-HQ)[/TD]
[TD="align: center"]1999[/TD]
[TD="align: center"]2001[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi - CCM[/TD]
[TD]Member of National Executive Council(NEC)[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi - CCM[/TD]
[TD]Chairman - Simanjiro District[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]2007[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi - CCM[/TD]
[TD]Chairman -UVCCM[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi - CCM[/TD]
[TD]Leader of Student Union(UVCCM)[/TD]
[TD="align: center"]1975[/TD]
[TD="align: center"]1987[/TD]
[/TR]
[/TABLE]





 
Bunge hili linadhalilisha na kuchefua zaidi! Watu wameweka uchama mbele badala ya maslahi ya taifa. Nidhamu ni msamiati katika bunge hilo, maccm wengi wametanguliza zaidi maslahi ya chama!
 
Ni kweli, posho ya leo isitishwe. Tutafute njia ya kukataa wasilipwe posho maana wanafanya mzaha, asie fanya kazi asile, wazo langu tuingie mtaani kushinikiza, je kuna wazo tofauti?
 
Back
Top Bottom