Tunajua wanaotaka muungano uvunjike wengi ni waarabu, bado wanaitamani zanzibar... LAKINI SISI WAAFRICA WEUSI HATUTAKUBALI... MWARABU ARUDI TENA KULETA UKOLONI... Tuko tayari kwa mapambano... Wajaribu waone... Tutawashughulikia ipasavyo.
Vp mwanabadiliko Zitto yupo kweli?
Binafsi sijamwona ila kuna wadau humu jf wameripoti awali kua zito naye yumo
Na wote wenye mtazamo wa serikali tatu wana nia ya kuvunja muungano, acha wote wakumbwe na mfagio wa Mzee SITTA.
kwani wanaotaka serikali tatu ndo wanataka kuvunja muungano? naona hapa mnazungumzia vitu viwili tofauti. serikali tatu hakuvunji muungano bali unaweka usawa kwa nchi shirikishi. sita amezungumzia juu kuvunjika kwa muungano. tusimlishe maneno
Hii ni sehemu pekee ninayopata heshima ya kuitwa "mkuu".Idumu JF.
Binafsi sijamwona ila kuna wadau humu jf wameripoti awali kua zito naye yumo
Mkuu, Zitto Kabwe leo yupo na amekaa karibu na Lipumba nyuma ya Lowasa. Hiyo ni taarifa rasmi mkuu