Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Tunajua wanaotaka muungano uvunjike wengi ni waarabu, bado wanaitamani zanzibar... LAKINI SISI WAAFRICA WEUSI HATUTAKUBALI... MWARABU ARUDI TENA KULETA UKOLONI... Tuko tayari kwa mapambano... Wajaribu waone... Tutawashughulikia ipasavyo.

...mkuu' kwa hili, nina kuunga mkono "NI KWELI' WAARAB BADO WANAITAMANI ZANZIBAR, hasa wale walowezi wa kiarabu - mashombeshombe"
 
Na wote wenye mtazamo wa serikali tatu wana nia ya kuvunja muungano, acha wote wakumbwe na mfagio wa Mzee SITTA.

Serkali tatu si kuvunja muungano. Mimi naamini kuendelea kung'ang'nia serikali mbili ndio kunvunja muungano kwa sababu ya katiba ya Zanzibar ambayo imeitamka Znz kama nchi. Muungano utakaodumu ni ama wa serikali tatu au serikali moja tu. Serikali mbili ni maigizo
 
kwani wanaotaka serikali tatu ndo wanataka kuvunja muungano? naona hapa mnazungumzia vitu viwili tofauti. serikali tatu hakuvunji muungano bali unaweka usawa kwa nchi shirikishi. sita amezungumzia juu kuvunjika kwa muungano. tusimlishe maneno

Inaweza kuwa ndio au hapana, mfano Zanzibar ishinde CUF,Tanganyika CCM, Rais wa Muungano katoka CHADEMA, niambie tu hapo mambo yatakuwaje? labda wafanye mchakato mwingine hapo, mimi naona kama Muungano tunapenda iwe serikali moja tu, vinginevyo hamna kitu hapo.
 
Hii ni sehemu pekee ninayopata heshima ya kuitwa "mkuu".Idumu JF.

Mkuu hii heshima ya jf ni kubwa sana maana kuna mawazir kuna usalama na wengine wanafyonza mawazo yetu hivyo wanatuheshimu sana bla kusahau waandishi wa habari wanavyodurufu habari za jf.
 
Binafsi sijamwona ila kuna wadau humu jf wameripoti awali kua zito naye yumo
Mkuu, Zitto Kabwe leo yupo na amekaa karibu na Lipumba nyuma ya Lowasa. Hiyo ni taarifa rasmi mkuu
 
Mkuu hii heshima ya jf ni kubwa sana maana kuna mawazir kuna usalama na wengine wanafyonza mawazo yetu hivyo wanatuheshimu sana bla kusahau waandishi wa habari wanavyodurufu habari za jf.
Hakika Mkuu.
 
Back
Top Bottom