Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Heee kuna mwanamke anaanzisha wimbo hapa anasema, 'tuna imani na 6', ila kuna mwanaume anasema 'Lowasa'
 
Nilisema mtoto wa mjini Rungwe atavuka kura 50
 
Kificho anamkaribisha Rungwe kutoa neno la shukrani
 
..wale WAARAB WANAOTAKA Muungano uvunjike' wamekerwa sana kwa ushindi aliopata Sitta!
 
Rungwe amemaliza kushukuru sasa anakaribishwa Sitta kuja kutoa neno la shukrani,
 
Back
Top Bottom