Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Sitta bado anatoa maelezo machache na kasema kuna maneno hatasema mpaka akiapishwa
 
Samwel sitta, hilo ni jaribu lako toka mbinguni jamii yote ya watanzania wanakutegemea
kwa vizazi vijazo hivyo usitende zambi nyosha mambo
Amen
 
:ear::ear::ear:HAPA NDIPO NINAPOWASHANGAA WAWAKILISHI WETU HAWA WA BUNGE LA KATIBA!!!!:majani7:

KWENYE KUPIGA KURA ZA MWENYEKITI WANAFANYA SIRI LAKINI MAMBO MENGINE WANATAKA ZA WAZI.....
:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up: DEMOKRASIA ITATOKA WAPI............???????
 
Sitta: ".... Mimi na Andrew Chenge ni marafiki wa siku nyingi na ndiye niliyemteua kuwa mwanasheria mkuu...." HIVI KUMBE NCHI HII KAMA HUJULIKANI NDO BASI TENA
 
Sitta anamalizia kwa kumshukuru mkewe pia na mama yake na ndugu zake Paulo Sitta na Pita Sitta, na wale anaosali nao pale kinondoni
 
Sitta amemchagua Mhe Bahati kuwa wakala wake wa kuhesabu kura. Makonda kaonekana kukunja uso sijui alidhani atateuliwa yeye? Yaani huyo kijana ni poyoyo kweli kweli.

Sent from my iPad using JamiiForums

Hivi huyu Kakonda ni Mbunge hasa au ni mbunge wa Bunge la katiba!!?
 
yaani ki ukweli SAMWELI SITA anstahili coz ana uwezo na uzoefu mkubwa sana na shughuli za bunge hivyo sioni kikwazo chochote juu yake,na hata hao walio mpinga nahisi wanajua umahiri wake.MUCH CONGRATS TO HIM
:A S thumbs_up:
 
Sitta: ".... Mimi na Andrew Chenge ni marafiki wa siku nyingi na ndiye niliyemteua kuwa mwanasheria mkuu...." HIVI KUMBE NCHI HII KAMA HUJULIKANI NDO BASI TENA

Aliyemteua au Kupendekeza
 
Back
Top Bottom