Na mshindi ni ........!
Inaweza kuwa ndio au hapana, mfano Zanzibar ishinde CUF,Tanganyika CCM, Rais wa Muungano katoka CHADEMA, niambie tu hapo mambo yatakuwaje? labda wafanye mchakato mwingine hapo, mimi naona kama Muungano tunapenda iwe serikali moja tu, vinginevyo hamna kitu hapo.