Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Waliopiga 563....zilizoharibika 7.....Rungwe 69.......Sita 487
 
ndugu jf.
Naona kuna mapungufu sana katika kuchukua wajumbe wa bunge katiba mfano ivi je kwann kundi la vijana au watu wenye umri maslani kuanzia miaka 14 hadi 21 hakuna na wakati katiba hii inaruhusu binti wa miaka mfano 16 kuolewa na kuoa kwa mantiki kuwa ni mtu mzima binafsi cjapedwezwa na jinsi wazee walivyojazana bungeni wakati katiba yenyewe watao itumia ni vijana ambayo ndio watakao watakuwepo mda huo. Wazee wanapenda posho watak vijana wanalia mtaani hali ni ngumu wapewe fursa mhumi kama hizi za kufanya mabadiliko kwa faida yao

Ni maoni yangu tu bado sijaona huharali wa hili hapa.
 
Matokeo haya hapa

kura zilizopingwa jumla ni= 563

kura zilizoharibika ni =7

mh samwel sita kura = 487

mh hashim rungwe kura = 69
 
Hashimu Rungwe 69
Sitta 487
Zilizoharibika ni kura 7
 
Inaweza kuwa ndio au hapana, mfano Zanzibar ishinde CUF,Tanganyika CCM, Rais wa Muungano katoka CHADEMA, niambie tu hapo mambo yatakuwaje? labda wafanye mchakato mwingine hapo, mimi naona kama Muungano tunapenda iwe serikali moja tu, vinginevyo hamna kitu hapo.

everlenk, ikitokea hivyo tutapendekeza kura ya wazi kufikia mwafaka, hiyo ndo itatuvusha .
 
Jumla ya wajumbe 629
waliopiga kura 569
Zimeharibika kura 7
Hasheem Rugwe 69
Samuel Sitta 487.
 
Kuna ---- anasema posho hoyee tujuzeni wakuu ni nani huyo
 
Back
Top Bottom