Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Sasa Mh Hashim anaulizwa maswali
 

Attachments

  • 1394630474081.jpg
    1394630474081.jpg
    27.3 KB · Views: 130
Nipo PINDI chuo ila nafuatilia mtanange hapa JF bila chenga.. Ahsante kwen Wakuu
 
HASHIM RUNGWE je biashara yako ya magari ulifanikiwa?
 
Swali la pili linaulizwa kua ktk biashara ya magari kama alifanikiwa ama alifilisika,

Rungwe anajibu kua biashara ya magari bado anaendelea nayo kwa style ya mtandao.
 
Rungwe anafanya biashara ya kuuza magari kwa style mpya!
 
TBC Taifa wanarusha Bunge live hapa.....Rungwe anaulizwa uzoefu wake wa kuuza magari na kuendesha Bunge una uhusiano gani.....jibu: uzoefu ni uzoefu; hata biashara ina kanuni kama Bunge....anasema kuwa yeye ni wakili wa High Court na kesi za jinai na madai anashinda,kwa hiyo yeye ni mwanasheria mzuri.......Swali: biashara ya magari alifanikiwa ua? Jibu...mfanya biashara ana njia mbili; si dynamic....biashara bado anafanya mitandaoni, na si kuyappnga kama Wajapani
 
HASHIM RUNGWE wakati anajieleze alisoma, maelezo yake hakuyatoa kichwani!
 
Kura ya siri ama ya Wazi kuchagua mwenyekiti?

Olesendeka na Dk. Gama wapige kura ya Wazi
 
Sitta ilibidi kupita bila kupingwa.
 
Swali la 3 ni kua kajieleza kwa kusoma karatasi na hakumaliza hadi muda ukaisha, je, akipewa uenyekiti atawezaje kumaliza shughuli kwa wakati?

Rungwe anajibu ana uzoefu kwa kua aliwahi kugombea urais. Amemaliza
 
Huyu RUBGWE kwa nini anapenda sana kwaambia watu waache kutetemeka?
 
Rungwe aligombea uraisi na kupata wabunge wanne

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom