Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Updates....swali kwa Rungwe: Mh. unaonekana hujielewi ktk maelezo. Sasa unaweza kuongoza kwa viwango....jibu: hakuna chuo cha kuongoza bunge; acha kutetemeka...naomba kura...niligombea urais kupitia NCCR na kupata Wabunge wa4...anasisitiza anaomba kura
 
...HASHIM RUNGWE ana omba kura! baada ya kujibu swali la mwisho!
 
Hapo maccm lazima wampigie kura Sitta hata kama hawamtaki maana wakimpigua Hashim Rungwe itawacost
 
Sita anatembea kwa ukakamavu...haoneshi kuwa aliugua
 
Tushirikishane Wakuu,.


Sifa Zipi Anazotakiwa Kuwa Nazo Mwenyekiti Wa Bunge Maalum La Katiba Mbali Na Kuelezea Historia Yake Ya Kitaaluma Na Maisha Yake Kwa Ujumla,.


Nawasilisha Kwenu Wana-Jamvi Tupate Kuelezana!!
 
Jamani naomb kujua utaratibu,akishapatikana mwenyekiti ndo anachaguliwa makamu toka zanzibar au wanaunganisha uchaguzi?
 
Sitta anaanza kwa kwa kujitambulisha na anasema maelezo yake ameshayagawa na anasema yeye ni mtu wa kujipanga.
 
Ukisoma emotion za wabunge, ni kama Sitta amepita
 
Back
Top Bottom