Sitta anajisifu kuwa yeye ni mtu wa kujipanga (wanacheka)....anasema yeye ni mbunge kwa miaka 29, na kaongoza Bunge al Viwango la 9....kwa hiyo akichaguliwa ni sawa na kumrejesha chura kwenye maji aliyoyazoea(wajumbe anacheka na kushangilia kwa nguvu....anaomba kura ya Pinda , Kificho, Bara na Visiwani na wote....Maswali....Kuna wajumbe wanakataa asiulizwe swali.....Kuna washamba wamewasha mic.......swali: kazi zote viwango na kasi ana maana gani...Jbu: ni falsafa ya ufanisi hususani katika kupata Katiba bora.....watu wanakataa asiulizwe maswali....wanaguna....hahaha.....