Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Sitta ameahidi kuwashughulikia watakaovuruga muungano
 
Sita.....nilizushiwa kuwa mahututi...ni uongo....bado nadunda na ntautetea muungano
 
Lowassa kamkubali Sita kwakumpa mkono baada ya kumaliza muda wake, na tendo linalofuata ni upigaji kura!
 
Wewe kama Mwenyekiti endapo tutashindwa kuwafikiana wakati mjadala wa bunge unaendelea wewe kama Mwenyekiti utafanya nini? jibu: Kwanza hilo la kutoafikiana mwenyezi Mungu aliepushie mbali, ameahidi ku deal na wale wanaotaka muungano uvunjike.
 
Swali....anaweza kuongoza Bunge hili la kihistoria na kupata Katiba nzuri?....Jibu: NiNadhani muuliza swali kadhibitisha kuwa mimi ni muumini wa viwango.....Kuna wajumbe wanawasha mic na kusababisha vurugu......swali: Mgombea: Bunge lina Makundi; kanuni ya na 37, 38: kama Bunge litashindwa kuafikiana, atafanya nini? Jibu: Mungu utuepushe; ya nini tufike huko! Kwa msaada wa M. Mungu.....na huku kuna vichwa vilivyoteuliwa na Rais....Kuna wale wanataka kuvunja Muungano na wao nitaashughulika nao kikamilifu....Hawa waajua msimamo wangu kuhusu Muungano, na wamenizushia ugonjwa lakini nitapambana nao hivyo hivo.....makofi hapa....Sitta anaakaa
 
Uchaguzi wa mwenyekiti wa bunge malumu la katiba unaendelea mjini dodoma na mchuano ni kati ya hashimu rugwe na sita
 
Baada ya SITTA kumaliza kujieleza, Mh. EDWARD NGOYAYI LOWASSA akaamka na kumpa mkono.
 
Cha kufurahia wadau ni kuona Edward Lowasa akisimama kumpongeza Sitta na kumkaribisha akae kwenye kiti jirani na yeye
 
Jamani naomb kujua utaratibu,akishapatikana mwenyekiti ndo anachaguliwa makamu toka zanzibar au wanaunganisha uchaguzi?
 
Naombeni Contact za Hashim Rungwe nataka kununua gari!
 
Pointi sio njema kwa kweli:
"kuna kikundi cha watu wachache wanataka kuunjia mbali muungano wetu, sitta kasema atawashughulia ipasavyo na hayupo tayari kuona muungano uliodumu kwa miaka 50 ukivunjwa na watu kama hao.
 
Utaratibu wa uchaguzi
kila mjumbe atapewa karatasi yenye majina mawili ya Sitta na Rungwe na itatakiwa kuwekwa alama ya vema kwenye jina moja tu.
 
Sita anasema baadhi ya watu wamemzushia yuko mahututi hospital ila yeye ni mzima na anadunda. Tena ameenda mbali na kusema hizo ni njama za wachache wanaotaka muungano uvunjike kabisa.ila ameahidi ku deal nao kwa kusema haiwezekani tumeishi miaka yote hiyo leo mtu anataka muungano uvunjike.
 
Sitta anasema anataka kupigania muungano na c mawazo ya watanzania...hapo tu umeharibu.
 
Back
Top Bottom