Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

na
SAMWEL SITTA
maelezo aliyachapisha mapema, aliyasambaza kwa wajumbe wote.
 
Sitta anasema kuwa kumchagua yeye kuwa Mwenyekiti ni kama kumrejesha chura kwenye dimbwi alilolizoea
 
Kumweka yeye ktk uenyekiti ni sawa na kumrudisha chura kwenye dimbwi alilolizowea, anasema atakua msimamizi wa haki
 
Hapo maccm lazima wampigie kura Sitta hata kama hawamtaki maana wakimpigua Hashim Rungwe itawacost

RUNGWE na maneno ya kijiweni hawezi kuwa Mwenyekiti, akauze tu magari.
 
Kumbe Sita aligawa vipeperushi kabla ya huu uchaguzi!
 
Sita akitoa maelezo sasa hivi kuomba kura nafasi ya M.kiti
 

Attachments

  • 1394630889911.jpg
    1394630889911.jpg
    33.5 KB · Views: 123
Sitta amemaliza kwa kuomba kura kwa wajumbe wote akiwemo kificho, waziri mkuu, nk nk
 
Kwa jinsi atakavyosimamia shughuli za Bunge hata watanzania wataona haja ya Wabunge kupewa kinua mgongo watakapomaliza shughuli zao, hiyo ni Kauli ya SITTA.
 
SAMWEL SITTA anaomba kura mwanzoni kabisa!
 
Back
Top Bottom