Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, nipo kwa juu yake na namchungulia namuona anasoma vi.note fulani. Pengine ndo vimemo vya wabunge
Hii ni kura ya kumchagua mtu siyo kura ya kupitisha vifungu, tofautisha hilo mkuu.
Matula ni nani mkuu?
Hakuna cha serikali tatu wala muungano wa Mkataba. Jibu la Muungano wa kweli ni serikali mbili au moja.
Najua wewe hujui hata unachokisema. Kura ya kupitisha vifungu tangu lini ikawa ya siri?
kwani wanaotaka serikali tatu ndo wanataka kuvunja muungano? naona hapa mnazungumzia vitu viwili tofauti. serikali tatu hakuvunji muungano bali unaweka usawa kwa nchi shirikishi. sita amezungumzia juu kuvunjika kwa muungano. tusimlishe maneno
Mamwona Makonda kwa mbali na uso umemkunjaaaa, sijui kakwazika na kitu gani?
Katika kuangaza huku na kule namwona hata John Komba naye yumo ukumbini
Wasira pia yumo ukumbini akipiga soga na mbunge flani nadhani wa visiwani
Kwa mfano ikitokea dharula mnahitaji kutoka kwa kasi humo mjengoni.....unahisi ataweza?
Mamwona Makonda kwa mbali na uso umemkunjaaaa, sijui kakwazika na kitu gani?