Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Mkuu, nipo kwa juu yake na namchungulia namuona anasoma vi.note fulani. Pengine ndo vimemo vya wabunge

Mimi nipo karibu na ndie nilipempelekea ni kaukurasa ka gazeti ra kiu ile sehemu ya mahaba. NKumbuka ni jioni tayari na supu ya pweza kwisha wiva
 
Hii ni kura ya kumchagua mtu siyo kura ya kupitisha vifungu, tofautisha hilo mkuu.

Kura ni kwenye box, iwe kumchagua mtu au jambo lolote lenye maslahi kwa jamii, ikiwemo decision making! That is Democracy!
 
kwani wanaotaka serikali tatu ndo wanataka kuvunja muungano? naona hapa mnazungumzia vitu viwili tofauti. serikali tatu hakuvunji muungano bali unaweka usawa kwa nchi shirikishi. sita amezungumzia juu kuvunjika kwa muungano. tusimlishe maneno
 
Mamwona Makonda kwa mbali na uso umemkunjaaaa, sijui kakwazika na kitu gani?
 
Hii ni sehemu pekee ninayopata heshima ya kuitwa "mkuu".Idumu JF.
 
Katika kuangaza huku na kule namwona hata John Komba naye yumo ukumbini
 
kwani wanaotaka serikali tatu ndo wanataka kuvunja muungano? naona hapa mnazungumzia vitu viwili tofauti. serikali tatu hakuvunji muungano bali unaweka usawa kwa nchi shirikishi. sita amezungumzia juu kuvunjika kwa muungano. tusimlishe maneno

Ila ni kweli, hata Rasimu haijataka kuvunja Muungano, na naamini hakuna anaetaka jambo hilo, kwani haina maana yoyote, isipokuwa ule muundo ambao utaondoa makandokando ndiyo hiyo serikali3, ijapokuwa kiukweli ilitakiwa serikali1, ila mbili HAPANA!
 
Katika kuangaza huku na kule namwona hata John Komba naye yumo ukumbini

Kwa mfano ikitokea dharula mnahitaji kutoka kwa kasi humo mjengoni.....unahisi ataweza?
 
Wasira pia yumo ukumbini akipiga soga na mbunge flani nadhani wa visiwani
 
Back
Top Bottom