Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Atimae Mzee Samuel Sita aibuka kidedea uwenyekiti Bunge la Katiba
Imani kubwa iko kwako kwa yaliyojitokeza hivi karibu..
Swali litabakia Sita Huyu ana jipya kwa watanzania?
 
Kificho ni mtu wa utani sana eeh!
Nimempenda.
 
...wale WANAWAKE wanaotoka Zanzibar wanaruhusiwa kwenda kuchukua fomu kwa ajili ya kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti.
 
Tangazo linatolewa kuwa akina Lowasa, Januari Makamba, Benard Membe, Magufuli, Wasira, Ngeleja na Sitta wakutane Dodoma Hotel
 
Kificho anaendelea na matangazo kua chama cha watunisha misuli wakutane na mwenyekiti wao wasira na katibu wao abdala sharia
 
Matangazo yanaendelea ila wajumbe ni kama wanaburudika
 
Kuna waheshmiwa wanatakiwa kukutana dodoma hotel
lowasa
wasira
ngereja
membe
makamba
magufuli
na sitta
Mkuu, hakika ni timu nzito sana hiyo. Tufuatilie ili kujua wanaenda kujadili nini
 
Wasira ni Mwenyekiti wa Chama cha Watunisha Misuli.
 
Naona kuna kundi la la watu wamejitengenezea vijitangazo ili tu kuwarusha watu roho.
Hasa kuhusu timu hii ya wagombea ubunge.
 
Tangazo lingne
wana Simba wote wanajulishwa kua kisomo cha halalulbadr kitafanyika kwa aden rage kesho sa6 usiku
 
Back
Top Bottom