Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bunge limekuwa la ovyo sana, mwenyekiti Wa muda bw. Kificho anatoa matangazo bila kufikiri mantiki ya tangazo lenyewe. Hakika kificho kaonyesha sura halisi ya wazanzibar. Ni mzigo kuongozwa na watu hao, sipo tayari tena kurudia makosa.
Mimi ninawasiwasi na wajumbe, najua bunge limeja jaa wasomi wengi na waelewa ambao tuna wakubali, lakini kwahili la kualibika kura saba bado sijalipatia ufafanuzi tena linatia haibu sana. Ongera mh sitta kwa ushindi.
Sita anasema asiyependa mafanikio yake anaweza akatokea Dirishani kama akipenda (Nadhani anamsema ATM ya makanisa na misikiti)
Hivi Mtikila ni mwenyeji wa wapi?
Mkuu, hakuna ushindi usio na furaha. Walishindwa kujizuia
Sitta, ninakupa ushauri wa bure! You talk too much! Kificho ameweka standard mpya ya Spika (Mwenyekiti), so be careful, kazi yako ya nyuma inaweza kuingia mchanga. Biblia inasema katika MITHALI 10:19,"Katika wingi wa maneno hapakosi kuwa na maovu; bali yeye azuiaye midomo yake hufanya akili." Kificho yuko makini, hasemi maneno mengi, na ni mwangalifu sana katika kuchagua maneno ya kuzungumza. Mind you, kwa kila jambo sasa utapimwa katika mizani na kulinganishwa na Mwenyekiti wa muda, Kificho, na wala siyo Makinda! Mwenyekiti wa kudumu anatarajiwa na wengi, awe na uwezo na hekima zaidi, kuliko Mwenyekiti wa muda! Kumbuka kwamba kuanzia sasa, kila neno lako moja, lina tafsiri elfu moja, kwa maadui zako, na marafiki zako wa zamani! Neema ya Mungu ikufunike!
Mkuu, hakuna ushindi usio na furaha. Walishindwa kujizuia
Sumbawanga ila kama nimekosea niko tayari kurekebishwa.
Mimi nipo karibu na ndie nilipempelekea ni kaukurasa ka gazeti ra kiu ile sehemu ya mahaba. NKumbuka ni jioni tayari na supu ya pweza kwisha wiva