Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

ETi ETI posho posho!! kwani ilikuwa hongo au zilikuwa za mama ya nani!? kama siyo kodi zetu tu!! yameachiwa majambazi kutengeneza siyo katiba tena "Sera ya UFISADI na UJambazi wa raslimali za Tanganyika na Zanzibar!
 
Nawapongeza sana Ukawa, huu mchakato umehujumiwa na ccm ili serikali 2 zibaki! Hongereni sana wapinzani!
 
ahh,kumbe ndo hivo,basi hana adabu yule babu!.
Nakubaliana na wewe Mkuu.Huyo jamaa (Ali Omar) namjua ni bomu na hana ulemavu wa hivyo - alipata ajali mguu ukatenguka kidogo kajiingiza katika hilo kundi apate huo ubwabwa wa CCM.
 
Mamilioni ya Pesa yamepotea na yanaendelea kupotea.., kitakachopatikana ni Katiba ile ile au mbaya zaidi ya ile.. Bora tungebaki na ile au kuiwekea viraka kwa gharama ndogo zaidi
 
Pengo ameshaweka bayana kuwa wakristo wanaunga mkono serikali mbili. Wewe ni mkristo gani unayeendekeza makwinyanzi?

Za kuambiwa changanya na zako!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Sababu ni kauli ya Lukuvi ambaye alimwakilisha Waziri Mkuu kanisani huko Iringa kuwa "Tukichagua serikali tatu jeshi litapindua serikali na kwamba zanzibar ikijitenga basi itakuwa nchi ya kiislamu....
 
Umoja wa vyama vya upinzani bungeni ukawa wamefanya kitendo cha kishujaa baada prfesa lipumba kutoa hoja kuwa wabunge wanawabagua wengine kwa kuwaita wapemba na waarabu wakati wakijua wazi kuwa ni watanzania hongera ukawa
 
Kilichosalia kazi ni jina jipya la ccm - intarahamwe, mithili ya kikosi cha ubaguzi na mauaji ya kikabila cha Rwanda
 
Walitaka hati za Muungano na kutukana waasisi wetu wa taifa, hati zimeletwa, wanakimbia nini?
 
ngoja nikafanye zangu mazoezi tu hapa napoteza muda wangu bure
 
Pengo ameshaweka bayana kuwa wakristo wanaunga mkono serikali mbili. Wewe ni mkristo gani unayeendekeza makwinyanzi?

Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
Pengo ndo anawakilisha wakristo wote Tz? Nani kakudanganya?au unafikiri wakristo ni romani Catholic tu?
N if so y lukuvi apite makanisani kuhamasisha wakristo wakubali serikali mbili?
Halafu. Mnajifanya hamtaki ubaguzi huku nyuma.mnapita Makanisani
 
No! hakuwaambia watoke ila ubaguzi unaoendelea kwenye bunge hilo ni kama kuna Ntirahamwe. Hivyo wametoka kutokana na kubaguliwa.
 
Back
Top Bottom