ni baada ya kuwaambia wajumbe watoke nje
Nakubaliana na wewe Mkuu.Huyo jamaa (Ali Omar) namjua ni bomu na hana ulemavu wa hivyo - alipata ajali mguu ukatenguka kidogo kajiingiza katika hilo kundi apate huo ubwabwa wa CCM.
Pengo ameshaweka bayana kuwa wakristo wanaunga mkono serikali mbili. Wewe ni mkristo gani unayeendekeza makwinyanzi?
Vipi ZITTO, MREMA na CHEYO nao wametoka?
Pengo ameshaweka bayana kuwa wakristo wanaunga mkono serikali mbili. Wewe ni mkristo gani unayeendekeza makwinyanzi?