Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Wameishiwa hoja watasema nini tena wakati matusi wametukana yameisha,kejeli wamefanya zimeisha,sasa watasema nini tena wameona bora watambae.
 
Wewe hayawani ongea mambo ya mashetani wrnzako mambo ya wakristo tuachie wenyewe, usidhani sisi ni tawi la mashetani ya ccm kama ilivyo bakwata.
We punguani mbona umehamaki kiasi hicho?
 
Intarahamwe na kiongozi wao waendelee na bunge lao la katiba..
 
Intarahamwe wamebaki ndani wanatengeneza katiba yao............
 
Hata jana nimesikiliza mnamlalamikia jaji walioba hivi kama wananchi hawakwenda wengi kutoa maoni mlitaka walioba awafuate majumbani? Mbona wakati wa uchaguzi mkichaguliwa na wananchi wachache hamkatai hizo nafasi kuwa mumechaguliwa na wananchi wachache? Iweje leo mumlalamikie walioba? Wakati walizunguka kata zote nchi nzima?
 
Nasikia hata humu jf kuna watu wamejitoa kwenye hii thread.
Nilijua tu lazima watu waweke mpira kwapani.

Kama mna ubavu endeleeni basi kutunga katiba mnayotaka hiyo ya serikali mbili, halafu mtasema hayo maoni mmeyatoa wapi?
 
Kama umemsikiliza vyema, ni CCM ndio imebomoa bunge. Kama imefikia hatua hadi waziri mkuu anawakilishwa kanisani kuanzisha mijadala ya kidini na kivita, hauoni kwamba Lipumba ameliokoa taifa na kumpa Rais fursa ya kurekebisha kasoro - kumfuta kazi Lukuvi na kuvunja BLK rasmi tuanze upya?



Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
hivi mle mjengoni kuna kijipub cha kuuza viroba???
 
Tunawapongeza sana ukawa...hapo ndipo wamesimama upande wa umma...tanganyika itapata uhuru tu...intarahamwe watashindwa.
Uma gani unaofuata watu wenye kufanya fujo kila siku pengine ni umma ya tengeru na machame.
 
Wewe hayawani ongea mambo ya mashetani wrnzako mambo ya wakristo tuachie wenyewe, usidhani sisi ni tawi la mashetani ya ccm kama ilivyo bakwata.
Wehu wenzio wametoka nje ya bunge wewe mwehu mwenzao unafanya nn humu jukwaani?
 
Mbona yeye amepita misikitini kueneza sumu yake ya serikali Tatu? Analalama nini?

Lipumba hajalalama kaja na ushahidi wa gazet la mwananchi kuhusu lukuv....km na wewe unafaham kuwa alienda kufanya kampen misikitin tupe ushahd mkuu...
 
"Huwezi kuandika Katiba mpya kama hakuna crisi". WAKO.
 
kafanya fair.. kiongoz wa kuigwa!! sio kupelekeshwa km wajnga mle.. km wao waliona katba ipo tyr na inapaswa kua vp wamewakarsha mle kufanya nn???
 
Ukawa tunawaunga mkono tumechoka unafiki wa miaka 50, kutishana sasa hivi siyo tija kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…