Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Hawa wadada wa kizenj walijipanga hasa..hakuna cha matiko wala halima mdee wameufyata wote.
 
Naomba tufanye sala :_ Eee MUNGU mtakatifu uketiye mahali pajuu palipoinuka MUNGU mwenye nguvu MUNGU mwenye enzi yote MUNGU uliyeumba mbingu na nchi MUNGU unayayestahili kuabudiwa na kurukuzwa hakuna MUNGU kama wewe jina lako litukuzwe..... Angalia unafiki na uongo wa hawa wajumbe waliopewa jukumu la kuandaa na kuitayarisha katiba kwa ajili ya taifa letu la Tanganyika na Visiwa vya Zanzibar na Pemba....MUNGU unayewajua wanafiki , waongo , wanaofuata mkumbo bila kutumia akili zao , wenye akili za kuambiwa na wenye mawazo ya kula posho tu..... MUNGU pambana na wote wanaokwenda kinyume na matakwa ya Watanganyika na Wazanzibari duaa inaendlelea
 
UKAWA hawana maana hata kidogo,Mwanaume wa kutaka mabadiliko ya kweli Hakati tamaa,Wameonyesha udhaifu mkubwa sana,
 
wakuu anakashfiwa Yesu/Mtume sembuse Nyerere(kwa tafsiri ya origino gambaz
 
Matunda ya mgongano wa mawazo ya Jk-CCM na Warioba-wananchi.
Hatuna katiba.
 
hahahaha UKAWA WAMEINGIA MITINI.
mwenye uwezo wa kupata clip ya lukuvi akiwa huko kanisani atuwekee hili tuone na tusikie.
 
Hili ndio tatizo kujaza makada humo ndani kwa kitu muhimu katika nchi, walicholishwa ndicho watapikacho hapo.
Hawaongei hoja yoyote ya maana kutetea hiyo serikali mbili.
Ni mipasho, matusi na kejeli. Nilijua tu hawa watu waliopandikizwa humo ni vituko na hakuna katiba bora hapo ni upuuzi na kupoteza kodi za wananchi, bora hizo hela zingeenda kwenye huduma.za jamii.
 
Bi Amina mweta,
Anapendekeza kuwa uhujumu uchumi na ujangili pamoja na dhuruma zote ziondolewe nchini anapendekeza maneno haya yaingie kwenye katiba.
 
Mkuu Skype ndo nini kuketi kimya ama wajifanza hujaelewa ombi langu la Audio na pia tuongeze na ya Lukuvi

Mkuu, pole kwa usumbufu wowote ulojitokeza, sijakaa kimya makusudi bali nimetingwa kimajukumu. Vilevile hujaniambia ni audio ya nani unaitaka ili kama ninayo nikutundikie ama nikuelekeze pa kuipata. Natanguliza shukrani kwa kunielewa.
 
Hii style yao ya kususa haito wasaidia bora wangetumia njia nyingine kuliko hii kila leo.
Hivi posho watachukua?
Kesho watarudi?

Mimi nawaomba warudi makwao
chezea mipasho ya kizenj,kwakweli uvumilivu uliwashinda kabisa,kila mbunge anaesimama anaunga mkono mfumo uliopo.unategemea nini hapo kama si watu kukimbia kuepuka aibu wakati wa upigaji wa kura?
 
Hebu twambie kwanza wewe uko nchi gani Rais wako nani naona kama hujielewi hivi.
 
.....Hata kungekuwa na mbaramwezi kali kiasi gani, jogoo hawezi kuwika saa 6 usiku, atasubiri alfajiri hata kama giza limetanda.....
 
kinachoniuma ni hizo pesa tume walizotumia, mwanzoni sisiemu waliisifu sana hii tume pale ilipochaguliwa sasa mbona leo ccm wanawaponda tena??? Sasa walitaka tume isiwasikilize watanzania.. Kwa kweli inasikitisha sana tume imetumia zaidi ya bilioni 180, hivi ni madawati managapi?? Tungeshindwa hata kutoa mikopo ya chuo kikuu bure japo kwa mwaka mmoja?? Vijana wangapi/wafanyakazi wangeeajiriwa kwa hizo pesa?? Kwa kweli sielewi wadau imekuwaje leo tume si chochote., na hii katiba yao ya serikali 2 ikija kwa wananchi kishindikana itakuwaje??/

tanzania sijui tunashinda gani kwa kweli?? Kila kitu kwetu ni kubahatisha na kutumia pesa hovyo kabisa...
 
Ila jamaa wana timing....wamebwenga kwanza posho mpaka wakahakikisha zimebaki siku chache ndio wanasusa......
 
mkuu, pole kwa usumbufu wowote ulojitokeza, sijakaa kimya makusudi bali nimetingwa kimajukumu. Vilevile hujaniambia ni audio ya nani unaitaka ili kama ninayo nikutundikie ama nikuelekeze pa kuipata. Natanguliza shukrani kwa kunielewa.


kama sijakosea mdau aliomba ile ya lukuvi naskia akiwa church alieneza maneno ya chuki hivi na kidini
 
Mkuu hebu nisaidie UKAWA nje ya bunge imeishia wapi ambayo katibu wa ukawa huo ni dr slaa,hii ni wazi kuwa hata hawa wataishia sakafuni tu.
mwa 4
===>Subiri kuanzia kesho utawasikia,sio rahisi kwa CCM kutunga katiba bila upinzani.ni sawa na mwanamke kuzaa bila mbegu za kiume.
 
Last edited by a moderator:
wadau serikali 3 ni maraisi 3??/ Kuna mjumbe anawashawishi watu hivyo.... na anapigiwa makofi kabisa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…