Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

An alert of end of Process of formulation the Tanzania New Constitution signaled by Lipumba.
 
Wadau,
kitendo cha UKAWA KUJITOA ktk majadiliano ya Katiba ya kuhalalisha ufidhuli wa Interahamwe - ccm na kundi Lao la 201 ni jambo la kishujaa sana na kinaungwa mkono na kitaungw mkono na umma WOTE.

kilichobakia ni TATIZO kuu ambalo ni TUME HURU YA UCHAGUZI. Hii TUME iliyopo sasa ni kundi la ccm na ndio limefanya matatizo kuwa makubwa mno ktk CHAGUZI zote mbazo ccm imelazimishia ushindi ikishirikina na TUME, na HIVYO kuip ccm nguvu ktk bunge kujihalalishia wingi na kujipitishia maamuzi na yaliyojaa kimagumashi na ufidhuli.

tunaomba UKAWA wasimame imara ili kuvunjwa TUME ya uchaguzi ili kupata TUME huru n itakayosimma KURA za moni kama tutafika hatua hiyo. Muda Ndio sasa...la sivyo hata ikitokea KURA za maoni, matatizo ya kuchakachua kwa kupitia TUME hii upo pal pale...Katiba Mpya ya HAKI itakwama.

nawasilisha.
 
Confirmed: Watanzania hatuko tayari kwa katiba mpya tufungashe virago na tuvunje bunge maalum la katiba tukiwa tayari na watu kuwa na utashi wa kutambua ipi mbichi ipi mbivu tutaanza tena mchakato wa katiba mpya hata kama ikiwa ni miaka 25 mbele
 
Tulishangaa sana kuona muda wa kutoa maoni kwa mujibu wa tume, na kwa mujibu wa sheria ya mabadiriko ya katiba ulikwisha mara tu baada ya kuundwa kwa bunge maalumu, chakushangaza sheria ilivunjwa wajumbe hawa waliendelea kutoa maoni badala ya kujadili rasimu ilyoletwa mbele yao, aibu! Aibu! aibu, ccm na sitta wenu
 
Daaa!!!
Mkuu mifano yako ni balaa.
Lakini hata hivyo, ukisema "mlemavu wa masikio" utakuwa umetoa malelezo. Huyo mlemavu wa masikio anaitwaje?
Anaitwa "kiziwi", ndio jina la ulemavu wake.
LABDA IWE HIVI......!!!
Kipofu-mlemavu wa macho.
Kiziwi-mlemavu wa masikio.
Bubu-mlemavu wa mdomo.
Kipara-mlemavu wa nywele.
Kitambi-mlemavu wa tumbo.
Mapengo-mlemavu wa meno. Wowowo-mlemavu wa matdko.
Lesbian-mlemavu wa knma.
Gay-mlemavu wa mbo.o
 
Tulishangaa sana kuona muda wa kutoa maoni kwa mujibu wa tume, na kwa mujibu wa sheria ya mabadiriko ya katiba ulikwisha mara tu baada ya kuundwa kwa bunge maalumu, chakushangaza sheria ilivunjwa wajumbe hawa waliendelea kutoa maoni badala ya kujadili rasimu ilyoletwa mbele yao, aibu! Aibu! aibu, ccm na sitta wenu

mawazo ya wananchi kuchakachuliwa liveeeeeee
 
We must sue all those who have brought menace of halting formulation of Tanzania New Constitution Process. ...They must pay heavily for this.
 
Ukifika muda wa kupata katiba mpya tutaipata tu kwa sasa bado!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mkuu, pole kwa usumbufu wowote ulojitokeza, sijakaa kimya makusudi bali nimetingwa kimajukumu. Vilevile hujaniambia ni audio ya nani unaitaka ili kama ninayo nikutundikie ama nikuelekeze pa kuipata. Natanguliza shukrani kwa kunielewa.

Shukraan,
Niliomba Audio ya Prof Lipumba ya jioni hii ilosababisha UKAWA kutoka nje.
 
Ebu jiulize viongozi wa zamali waliofanya mabadiliko sehemu mbalimbali wangekuwa kama UKAWA je wangefanikiwa?
basi kuanzia leo UKAWA ni zero yan sifuri kabisa,Mwanamme wa mabadiliko Hakimbii kiti bali hutumia kiti kufanya mabadiliko
kwa maneno mawili namaliza kabisa R.I.P UKAWA
 
hawa UKAWA WANA TAFUTA UMAARUFU LAZIMA WAITISHE MAANDAMANO NCHI NZIMA NA WATATOA TAMKO.

MIMI NAOMBA WASIRUDI BUNGENI WAENDE WAKALALE
 
Napenda kuwapongeza wabunge waliojiepusha na unafiki wakatoka , wamefanya jambo la kishujaa na Historia itawakumbuka. Hakuna kinachoendelea bungeni ila njama za watu wenye nia mbaya wanaojivunia wingi wao lakini bila hoja. Nawasikitikia wazanzibar ambao wamekataa kudai haki yao, wanopenda utumwa na kupata kila kitu msaada au huruma ya bwana mkubwa (Tanganyikandani yakoti la muungano) . Poleni sana.
 
Hebu twambie kwanza wewe uko nchi gani Rais wako nani naona kama hujielewi hivi.

Wee naye hovyoo nikwambie na kina nani? Nikishakutajia nchi nayoishi halafu? Acha kuquote watu na kimbelembele chako, nilichoandika na ulichouliza hivi wewe unajiona uko sawa?
 
[h=1]Lukuvi anajenga hofu kwa wananchi’[/h]http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/-Lukuvi-anajenga-hofu-kwa-wananchi-/-/1597296/2281336/-/142nh4pz/-/index.html

Dar es Salaam. Siku chache baada ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu wa Bunge), William Lukuvi kudai kuwa iwapo mfumo wa serikali tatu utapita, jeshi litachukua nchi, wanazuoni wametafsiri kauli hiyo kuwa ni ya kuwajengea hofu wananchi.

Jumapili Lukuvi, akiwa katika Kanisa la Methodist, Jimbo la Dodoma alikokuwa mgeni rasmi akimwakilisha Waziri Mkuu, alisema muundo huo utasababisha nchi kutawaliwa na jeshi kwa kuwa Serikali ya Muungano haitakuwa na fedha za kulipa mishahara wanajeshi.

Lakini mhadhiri wa Sayansi ya Siasa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk Mohammed Bakari amesema kauli hiyo ilitolewa katika jukwaa lisilo sahihi hususan kwa kiongozi kama Lukuvi.

“Kila kauli ina mahala pake. Haikutakiwa kwa mtu mwenye madaraka kama yule kuzungumzia mambo nyeti kama hayo kanisani,” alisema Dk Bakari.

“Licha ya kwamba kauli yake si mpya ilishasemwa na Amiri Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete, lakini ilibidi ayaseme hayo ndani ya vikao vyao na si kanisani.”

Alisema pamoja na kwamba kiongozi huyo alitoa maoni yake binafsi, ilitakiwa aangalie kwanza kauli yake kabla ya kuitoa. “Unapokuwa na nafasi ya juu ya uongozi, uhuru wako wa kutoa maoni binafsi unapungua. Kwa hiyo kupitia nafasi hiyo itabidi uzingatie masuala ya kuzungumza ukiwa raia, pia kiongozi,” alisema.

Mwanasheria Harold Sungusia alisema watu wanaodai serikali mbili wamepungukiwa na hoja na ndiyo maana wanaanzisha masuala mengine yasiyo na tija. “Nimepitia sheria zote nikagundua kuwa mtu anayetetea hoja ya serikali mbili anakosa hoja za msingi ukizingatia tayari muundo huo wa Muungano umedumu kwa miaka 50.”

Hata hivyo, mhadhiri wa Siasa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk Alexander Makulilo alisema Watanzania hawatakiwi kuacha kufuata hoja za msingi na kutishika na propaganda. “Hizo ni propaganda kwa sababu hakuna utafiti uliofanywa na kugundua kuwa serikali tatu zitaleta vurugu.”

Mkazi wa Mbagala Mtongani, Isaiah Solomon alisema alichosema Lukuvi kinaweza kuwatisha raia hususan wale walio na uelewa mdogo juu ya masuala ya siasa.

“Si jambo jema kusemea mambo hayo kanisani. Pia alizungumzia kuhusu kugharimia jeshi, sifikiri kama ni wanajeshi pekee wanaoweza kuleta madhara iwapo fedha za kuwalipa zikiwa pungufu; wapo wafanyakazi wengine watakaoleta balaa,” alisema Solomon.

Mwenyekiti wa chama cha UDP Mkoa wa Dar es Salaam, Joackim Mwakitinga alisema woga wa wanasiasa wanaotaka serikali mbili ndiyo unaofanya watoe kauli za kuogofya wananchi.

“Naona ni woga tu wa wanasiasa wanaotaka kuleta mambo ambayo hayapo katika hoja za muundo wa Muungano,” alisema.
 
tayari wameanza kuibina wenyewe bungeni kuna mbunge kapoteza pochi yake
 
Ukisikiliza baadhi ya wachangiaji unapata shida sana juu ya uelewa wa hawa wabunge.
 
Ikipita serikali tatu jifue kwa mbio ndefu ukiwa umebeba mwanao/wanao bila kusahau jifunze kuchimba mahandaki na pia anza harakati za kutafuta ak47 yako baada tu ya uchaguzi uliofanywa ndani ya katiba mpya.
 
Back
Top Bottom