Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Ni kweli mkuu, maana wajumbe wengi 201 waliobaki bungeni ni wapenzi au washabiki wa maccm! Wanashabikia serikali 2!
 
kuna mjumbe anatokea group la 201 zanzibar, anaunga mkono kuwa suala la uwazi, na uwajibikaji lisiwe tunu ya taifa


naona tutaibiwa sana milele yoote, sasa hivi ukipata chance wewe kula tu hata ukistukiwa usijiudhuru komaa tu, hakuna shida.
 
Skype
===>Kumbe huyu President Elect ndio mtaalamu wa Audio sio?Mwambie atuletee hapa tumalize ubishi,maana yeye (Lukuvi) kamwaga mboga UKAWA wanamwaga UGALI
===>Na lingesemwa na CHADEMA au CUF lingekuwa gumzo mpaka basi.
Hoja za kuokota mtaani mnaona ndiyo hoja hukumbuki kuwa Lipumba alikwenda kuomba kura msikitini lakini watu wakampuuza tu.
 
Wengine ni civil servants. Mmoja kajitambulisha kama yuko foreign affairs zanzibsr
 
Hoja za kuokota mtaani mnaona ndiyo hoja hukumbuki kuwa Lipumba alikwenda kuomba kura msikitini lakini watu wakampuuza tu.
mwa 4
===>Kwa hiyo na nyie mmeamua kwenda kuomba za kanisani?
===>Au ndio yale yale ya Church Catholic Movement aka Che Che EM?
 
Last edited by a moderator:
....

.....naunga mkono hoja !!!! Majina ni muhimu sana tuyaone ....
 
Tusisahau wakati tunataka katiba mpya ccm walitulazimu kuandamana ndo wakubali so kawaida yao kupinga jambo jema
 

Attachments

  • 1397663273821.jpg
    1397663273821.jpg
    8.4 KB · Views: 337
Wadau,
kitendo cha UKAWA KUJITOA ktk majadiliano ya Katiba ya kuhalalisha ufidhuli wa Interahamwe - ccm na kundi Lao la 201 ni jambo la kishujaa sana na kinaungwa mkono na kitaungw mkono na umma WOTE.

kilichobakia ni TATIZO kuu ambalo ni TUME HURU YA UCHAGUZI. Hii TUME iliyopo sasa ni kundi la ccm na ndio limefanya matatizo kuwa makubwa mno ktk CHAGUZI zote mbazo ccm imelazimishia ushindi ikishirikina na TUME, na HIVYO kuip ccm nguvu ktk bunge kujihalalishia wingi na kujipitishia maamuzi na yaliyojaa kimagumashi na ufidhuli.

tunaomba UKAWA wasimame imara ili kuvunjwa TUME ya uchaguzi ili kupata TUME huru n itakayosimma KURA za moni kama tutafika hatua hiyo. Muda Ndio sasa...la sivyo hata ikitokea KURA za maoni, matatizo ya kuchakachua kwa kupitia TUME hii upo pal pale...Katiba Mpya ya HAKI itakwama.

nawasilisha.

kwa hili naunga mkono hoja
 
Hili laweze kuwa wazo la "kijinga" ama la "kipumbavu"....msome 'mpuuzi' huyu anavyosema

......Eeh ndiyo...nilishasema toka mwanzo.... Utaratibu wa kuanzisha Mchakato wa katiba Mpya...ulikuwa ni mkakati madhubuti wa kuwaadhibu 'wakorofi-wapinga wateule wa nafasi nyeti wasiona uwezo'...na hata wale ambao wananyemelea nafasi nyeti za uongozi 2015...kinyume na matakwa ya 'wahusika washikadau'...

Kwanza kagua mwenendo wa jaji Warry toka mchakato wa urais...toka enzi hozi mpaka sasa alikuwa ana muunga mkono nani? je mwenendowake waweza kuhusishwa na alichokifanya kwa kuongoza mchakato wa sasa...na kurushiwa 'madongo'?

Pili, Mr. Mwakky...naye anatuhumiwa kuunga mkono Ukawa (rejea taarifa za runinga leo asubuhi)...eti S3 ndiyo suluhu...kinyume na kundi analotoka...anaadhibiwa tu...asisogelee wadhifa huo 2015...kwani kawaunga mkono ukawa...

Tatu, Mr. S. 6 yeye...mpango umesukwa mchakato huu uvunjikie mikononi mwake...na hii itakuwa imedhalilisha falisafa yake ya "esi esi"...na kumuondolea hadhi ya kuitwa 'mkuu'...eeh si mumeona Mr. Profesa kakimbia kikao na ukawa ...ni hatua za awali kuvunja mchakato.

Nne, Mr. Mambo ya Nje...naye zomea zomea imemkuba leo hasubuhi ...pia hiyo siyo dalili njema..ni dalili za kuadhibiwa..., haujiulizi...lini Mr. Eddy amechangia katika mchakato huu...

Wapo wengi wanaoadhibiwa....ngoja niendele kuwa tajia na nanmna wanavyoadhibiwa...

Agghrrr ....nimeshidwa kumsikiliza mpuuuzi huyu nami nimeondoka zangu...maana kazidi upuuzi.

T
 
Wakuu JF Amani iwe nanyi.


Bunge Maalum la katiba linaendelea kutufumbua macho as days goes on.
Leo tumekuja kujua kuwa Ndugu zetu wa Zanzibar pamoja na jeuri yao yote kumbe hawajiwezi na wamekiri kabisa kuwa wao Zanzibar kama Zanzibar hawawezi kufanya kitu bila Tanganyika.
Wamekiri kuwa hawajiwezi kabisa katika masuala mbali mbali, Umeme, Elimu, Madawa, Shule etc etc wengine mtakuja hapa kujazilizia.
Wameenda mbali zaidi na kusema kuwa wao hata wakipewa kiti UN Hawataweza kumgharimia huyo balozi wao huko ughaibuni.
Wa Zanzibar hao wanakiri kabisa kuwa ndani ya Miaka ya 50 ya Muungano wamefika hapa walipo kwa Fadhila za Tanganyika.
Haya yameelezwa na wabunge wa CCM kutoka Baraza la wawakilishi Zanzibar.


Waone Barubaru Pasco, Bobwe , dudus 50thebe n.k
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom